Wafuge kabisa tuanze upya, tumechoka kuzika kila siku Ndugu zetu na ulemavu kwa ajali za kijingaMadereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu.
Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu.
View: https://www.youtube.com/live/zMHVdZ-Qe6U?si=soBjcS7fFO4m2RS_
Wewe sio dereva hata ukonda huwezi?Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu.
Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu.
View: https://www.youtube.com/live/zMHVdZ-Qe6U?si=soBjcS7fFO4m2RS_
naunga mkono hoja 100%Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu.
Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu.
View: https://www.youtube.com/live/zMHVdZ-Qe6U?si=soBjcS7fFO4m2RS_
🙆Mie ndio OP au Moderators??
Wewe sio dereva labda wa kutoa kigari chako nyumbani na kwenda sokoni..Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu.
Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu.
View: https://www.youtube.com/live/zMHVdZ-Qe6U?si=soBjcS7fFO4m2RS_
Hivi kugoma kumeanza ghafla tu hawakuwasilisha kweli malalamiko yao kwa njia mbalimnali hapo kabla? Kugoma si suala zuri naunga mkono, lakini anayesababisha wagome kwa kutowasikiliza naye achukuliwe hatua maan ndiye chanzo. SUALA la LaTra Vipi? Wana hoja maderea ama la?futa leseni zao kabisa na kama waligoma
naunga mkono hoja 100%
Samia alivyogombea uraisi 2025 alifuata utaratibu wa chama chetu cha CCM?Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu.
Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu.
View: https://www.youtube.com/live/zMHVdZ-Qe6U?si=soBjcS7fFO4m2RS_
Mliwakusanya wote Mbezi, Sasa leo mgomo umetokea na wanaonekana kirahisi wakiwa hapo msando anahaha kuwafukuza Tena hapo. Tatueni tatizo acheni michezo ya paka na panyaaMadereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu.
Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu.
View: https://www.youtube.com/live/zMHVdZ-Qe6U?si=soBjcS7fFO4m2RS_
Huyu ndo mleta uzi himself
Huyu ndo mleta uzi himself