Hili jibu nimelipenda sana, Nchi hazina shida ila dini na ukabila ndio unatugawanya Watu. Nchi ni miliki za ardhi tu kama vijiji ndani ya Wilaya moja.Naondoa Dini na ukabila
Haipaswi kuwepo duniani.😂 kwa hiyo hata Tanzania utaki kuiona kwenye uso wa ramani ya Dunia
Mbona povu mkuu, jamaa amekupa ushauri mzuri tu. Na jambo jingine punguza mihemko una utoto mwingi.Hizo Content za maana andika wewe... Mimi nitakuja kuchangia, tusipangiane cha kuandika... Mimi sio Galillei Galileo kukuandika hapa mada za kuumiza kichwa
Kwa hiyo wewe mwenye mwenye ajira humu unafanya nini sasa... Si uende ukafanye kazi. Husilazimishe kila mtu kufanya unachopenda wewe, moja haki ya kikatiba ni Freedom of Expression, naleta mada nayotaka mimi, sio unayotaka wewe.... Hii ni account yangu, mambo yako ya Ukosefu wa ajira peleka kwenye Forums za ajira huko.... Hii ni forum ya habari mchanganyikoUlosefu wa ajira unaliumiza sana hili taifa.
[emoji16][emoji16][emoji16]uzi tu unataka kumwaga damukwa ulimwengu wa sasa uwezi kufuta nchi.
wewe ona uzi wako wa kutaja nchi za kufuta ugomvi umeanza humu kwenye hatua ya kuzifuta itakuaje!
Umepanic broKwa hiyo wewe mwenye mwenye ajira humu unafanya nini sasa... Si uende ukafanye kazi. Husilazimishe kila mtu kufanya unachopenda wewe, moja haki ya kikatiba ni Freedom of Expression, naleta mada nayotaka mimi, sio unayotaka wewe.... Hii ni account yangu, mambo yako ya Ukosefu wa ajira peleka kwenye Forums za ajira huko.... Hii ni forum ya habari mchanganyiko
Hakuna Povu hapo ofisaa... Na mimi nimempa Ushauri mzuri tu kwamba akitaka mada anazopenda yeye, basi aende kwenye Forums zinazotoa mada anazotaka yeye...Mbona povu mkuu, jamaa amekupa ushauri mzuri tu. Na jambo jingine punguza mihemko una utoto mwingi.
We jamaa unautoto sana, sasa nchi mbili zifutwe kwa ajili ya nini, na kwa mamlaka ya nani? Na hata nikitoa maoni itasaidia nini, kwenye kupunguza hizo nchi?Huna cha kukazia hapo, unapoteza muda tu... Huo muda ulioandika hayo, ungeandika Nchi mbili ambazo husingeoenda kuziona kwenye Dunia kidogo tungekuelewa...
N A K A Z I AUlosefu wa ajira unaliumiza sana hili taifa.
Husitake kufanya swali liwe complicated ofisaa... Uwezi kujibu acha, hilo swali ni Poll tu ya kujua Nchu zipi zinachukiwa na watu wengi... Uwezi kujibu achana nalo, hujashikiwa kibokoWe jamaa unautoto sana, sasa nchi mbili zifutwe kwa ajili ya nini, na kwa mamlaka ya nani? Na hata nikitoa maoni itasaidia nini, kwenye kupunguza hizo nchi?
Sasa kama hutaki nikazie kwenye uzi wako, kulikua na haja gani ya kuuleta humu kwenye jukwaa huru. Kutofautiana mtazamo na wewe sio kosa, sasa kama hutaki kukosolewa nenda kajadili nyumbani.Unapoteza muda tu, Kakazie kwenye Uzi wako
Nchi iliyoko kaskazini mwa Msumbiji.Ukiambiwa uziondoe Nchi mbili, zisiwepo kwenye uso wa Dunia utaziondoa Nchi zipi?
USANa mimi hapa, ungependa Nchi zipi mbili husizione kwenye uso wa Dunia
Mi niniona hiyo pekee.Na ya pili hipi?
Mzee una shida kichwani.Hizo Content za maana andika wewe... Mimi nitakuja kuchangia, tusipangiane cha kuandika... Mimi sio Galillei Galileo kukuandika hapa mada za kuumiza kichwa