Futa Nchi mbili kwenye Uso wa Dunia

Sema Mkuu Kama hauna content au maudhui ni Bora uwe msomji maan unaandika pumba sana sijui ni ugeni wa kuingia JF au ? Hiyo nimekupa constructive criticism
Huyo si muhaya mwenzako mkuu 😃
 
Basi nimekupata vyema... Na mimi nakupa choice yoyote wewe utakayoona inafaa katika muktadha wowote wa kufuta Nchi, futa then unipe na sababu zilizokufanya ufute
Ukinipa choice yoyote umeshindwa kuniuliza swali.
 
Unalilia nini wewe si ulianza kunitukana, tuendelee na ulicho kianza acha kuomba omba huruma za admn, au hata huku pia huna nguvu mpaka ukapake mkongo ndo uje uanze kutukana.
Tulia upigwe Ban hapo... Admin wanapitia conversation kuona nani kaanza kutukana
 
Sawa kabisa... Ila nae ulitakiwa kumuelimisha kuwa hii ni free platform, na hii ni forum ya Habari Mchanganyiko.
Ila ulipaniki kidogo. Jifunze kuwa na kifua mitandaoni humu. Yeye hakukupangia ila alitoa tu maoni yake lakini wewe sasa ulienda mbali mpaka kumtukana. Hukuwa na haja ya kufanya hivyo japo ni kweli humu hatufahamiani lakini tabia ya dhati ya mtu hupimwa kwa jinsi anavyowatendea ambao ama hawajui au anaodhani kuwa hawatakaa kuwa na msaada maishani mwake. You are still immature emotionally!
 
Emotional maturity ni nzuri kama itaheshimiwa, ila kama utadharauliwa basi Emotional Immaturity itawafaha zaidi... Wao walikuja na jumbe za kunidhiaki na kukashifu content zangu.

Braza kaka, i dont tolerate shit nowdays, ukiwa humble sometimes people take you for granted.

Mimi ukimwaga mboga, simwagi ugali bali nabutua ugali. Mtandaoni kuna bullies nyingi, na mimi swezi kuwa mnyonge, tutakula sahani moja
 
Nimekupata sana bro. Hiyo nayo ni option nzuri maana kuna wakati mtu anakuzonga utafikiri ushamchapia demu wake 😁

Na nilikuwa nategemea kuwa pengine utaniporomoshea matusi pia lakini imekuwa kinyume.

Thenki yu!
 
Yani hakuna chaguo la kukataa... Yani unapaswa lazima ufute nchi mbili kwenye Uso wa Dunia
Bora ufutike wewe mwenye mawazo ya kufuta mamilion ya maisha ya watu ambao hawajakukosea lolote.

Futika mkuu. A month is given and surely ypu will perish
 
unabishana na ndugu yako? Ni mhaya mwenzako huyo
 
Kweli civil war haitakaa iishe duniani,Sasa DR HAYA LAND na Mhaya si ndugu nyie?mbona naona kila mtu anamchana mwenzio na kumwambia mshamba akalime ndizi,imekuwaje hapa mbona wenzenu wachaga wanapendana na kuheshimiana ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…