Fuvu na Mifupa(Skull and Bones) Jamii ya Siri ya Kishetani inayoongoza Matukio ya Duniani

Mkuu,ni kweli lakini nashindwa hata niandike kitu gani maana ni mengi sana.Nitajitahidi kufikiria cha kuandika siku moja mkuu ambacho kitakuwa na nyama za kutosha ili msomaji aweze kusoma na kuelewa mkuu....
Usisahau kunitag mkuu
 
hakika thamani ya mwafrika mbele za Mungu imehujumiwa kiasi kikubwa
Mkuu unaposema mwafrica ni mkazi na mzawa wa bara la Africa ambapo ndani ya bara la Africa wapo wazawa ambao ni Arabs,Indians na white mfano nchi za kusini wa Africa kuna wazungu kule ambao wanajitambulisha ni waafrica Kaskazini wa Bara ya Africa kuna waarabu nao wanajitambulisha kuwa ni waafrica

Thamani ya weusi(blacks) ndio wanahujumiwa na Race zingine (Black) hii ndio race ambayo inajumuisha watu weusi wote ambao wako ndani ya Africa na nje ya Africa
 
Kuna watu wanavichekesho sana...
 
Madini gani hayo..??? Aliyesema madini yanahusika na rangi ya mtu nani..?

Acha kutudanganya
Hahahah mkuu bora na wewe umekuja, anakuambia mungu hakuumba binadamu aliepungukiwa na chochote, kwahiyo walemavu mungu hakuhusika na uumbaji wao
 
eiyer mimi nataka kuuliza jambo lililo nje ya mada..
maana nmeona umezungumzia mambo ya viumbe..

hivi hawa vampires/zombies
hivi viumbe vipo kweli au ni mpango unaokuja?
maana wamekazana kutuaminisha kupitia movie
 
Hahahah mkuu bora na wewe umekuja, anakuambia mungu hakuumba binadamu aliepungukiwa na chochote, kwahiyo walemavu mungu hakuhusika na uumbaji wao
Nina uhakika alimaanisha Mungu alimuumba binadamu akiwa mkamilifu lakini baada ya kupotea kwenye dhambi matokeo yake ndio kama hivyo kuna; ulemavu,chuki,vita,magonjwa nk.
 
Mkuu Eiyer mimi ni miongoni mwa wasomaji hasa hii post nmejifunza mengi na nmenufaika na mengi kwanza najivunia kuwa mweusi tena kutoka tanganyika leo hii Tanzania...nafurahia urithi wetu,natamani watu wafahamu ukweli na wajikubali kwa kile walichonacho...tukuze vya kwetu tuvithamini na kuvitetea popote pale...Heritage Of Tanzania.
 
Mkuu Eiyer asante kwa darasa..,Ivi sisi weusi tutajikomboa vipi mbele ya hawa wanaoendesha hii dunia
 
Mkuu hongera kwa utafiti wako ila ninaomba nibishe nadhalia yako ya ulichosema kuhusu wana wa mungu kujitwalia wake kwa wanadam,anachosema mkuu eiyer ndicho nachokijua nakukiamini,baadhi ya biblia wamekazia hayo maneno mwanz:6 sasa ikawa kwamba hesabu ya wanadamu ilipoanza kuongezeka usoni pa nchi nao wakazaa mabinti, ndipo wana wa Mungu wa kweli wakaanza kuwaona mabinti wa wanadamu kwamba ni wenye sura ya kupendeza; nao wakajichukulia wake, yaani wote waliowachagua.so kimsingi namuunga mkono mkuu eiyer ila nae natofautiana nae aliposema malaika walioasi ndio walizaa na wanawake binadamu hapa nimeweka fungu lote sioni walioasi zaidi ni wana wa mungu wa kweli.
 
Mkuu nakuelewa nami nakwambia hao wana wa mungu sio malaika walioasi ndo walizaa na wanawake binadamu
 
 
Mkuu Wangu Eiyer naomba nikopy post yako namba 219., naiweka kwa cm na pc for my own references. imenisafisha macho kweri kweri, naisoma mara ya sita saizi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…