Fuvu na Mifupa(Skull and Bones) Jamii ya Siri ya Kishetani inayoongoza Matukio ya Duniani

Salaam GT Eiyer. Pamoja na makala zako kuogopesha na kufikirisha zaidi huwa zinaelimisha sana.
Nimekuwa mmoja wa watu tunaojaribu kuitafuta dhana ya asili ya tofauti za rangi ila huishia kwenye maelezo ya kisayansi kitu ambacho hushindwa kukidhi kiu yangu. Nafahamu inaweza kuwa nje kidogo ya mada lakini naomba useme kidogo namna hii ilivyotokea walau kwa muhtasari ili nipate kufahamu kwanini kumetokea races.
Hilisuala la races ni gumu kulitoleamaelezo ya moja kwa moja kwasababu biblia iko kimya kuhusu chanzo chake lakini ukisoma kwa jicho la tatu madhara ya dhambi haswa ya Adamu na ya malaika waasi kufanya ngono na wanadamu utaona kwamba kuna mengi yalitokea na kubadilisha kabisa maisha na mazingira ya dunia hii ambayo tunaishi leo....

Kwanza kabisa binadamu alitenda kosa ambalo kimsingi lilimgharimu sana.Binadamu wa kwanza alikuwa na rangi moja,mweusi lakini baadaye walikuja kutokea watu weupe na hili aweza kusema ni kutokana na dhambi.Wataalam wa ngozi wanasema kwamba kadiri mtu anavyozidi kuwa mweupe ndivyo anavyozidi kupungukiwa melanin ambayo nsiyo inaifanya ngozi kuwa nyeusi na kuilinda na jua pamoja na maradhi mbali mbali na hii ni sababu kubwa mtu mweusi anaweza kuishi kwenye mazingira yoyote ya hali ya hewa....

Dhambi ilimfanya binadamu kupungua ubora wake,kupungua ubora ni pamoja na kutoishi milele [kifo],kuzeeka,maradhi ya aina zote ikiwemo ya ngozi[hapa ndipo inaingia ishu ya melanin ambayo ninaamini ndiyo sababu ya kuwepo watu weupe],kupoteza mamlaka ya kutawala duniani na mengine mengi sana.Kwa lugha nyepesi ni kwamba,kwa mtazamo wangu ni kwamba kuwepo kwa hizi races ni matokeo ya dhambi...
Halafu kuhusu bara la Atlantis na wakazi wake ambao ndio hawa wanaoendelea kusambaratisha dunia,walishindwa nini kuhamia bara nyingine kuendelea na maisha baada ya bara kuzamishwa(kama nilivyosikia kwenye sources nyingine). Asante mkuu.
Wakazi wa atlantis walikuwa ni Nephilims na fallen angels,gharika liliwaangamiza wale machotara wao ambao ni Nephilims lakini maandiko yanasema kwamba walikuja kuwepo baadaye na hii nadhani ilikuja kutokea kwasababu zile zile zilizoelezwa kwenye Mwanzo 6 maana Waisraeli walipambana nao walipokuwa wanaingia Kanaan kutokea utumwani Misri..

Kwa maana hii ni kwamba wale machotara waliokuwa bara Atlantis waliangamizwa na gharika ambalo lilienea maeneo yote duniani na hivyo walikuwa hawawezi kwenda popote.Wameendelea kuwepo leo lakini kwa style nyingine,wapo kwa kificho sana hadi watakapofikia hatua ya kujitokeza tena...
 
Hilisuala la races ni gumu kulitoleamaelezo ya moja kwa moja kwasababu biblia iko kimya kuhusu chanzo chake lakini ukisoma kwa jicho la tatu madhara ya dhambi haswa ya Adamu na ya malaika waasi kufanya ngono na wanadamu utaona kwamba kuna mengi yalitokea na kubadilisha kabisa maisha na mazingira ya dunia hii ambayo tunaishi leo....

Kwanza kabisa binadamu alitenda kosa ambalo kimsingi lilimgharimu sana.Binadamu wa kwanza alikuwa na rangi moja,mweusi lakini baadaye walikuja kutokea watu weupe na hili aweza kusema ni kutokana na dhambi.Wataalam wa ngozi wanasema kwamba kadiri mtu anavyozidi kuwa mweupe ndivyo anavyozidi kupungukiwa melanin ambayo nsiyo inaifanya ngozi kuwa nyeusi na kuilinda na jua pamoja na maradhi mbali mbali na hii ni sababu kubwa mtu mweusi anaweza kuishi kwenye mazingira yoyote ya hali ya hewa....

Dhambi ilimfanya binadamu kupungua ubora wake,kupungua ubora ni pamoja na kutoishi milele [kifo],kuzeeka,maradhi ya aina zote ikiwemo ya ngozi[hapa ndipo inaingia ishu ya melanin ambayo ninaamini ndiyo sababu ya kuwepo watu weupe],kupoteza mamlaka ya kutawala duniani na mengine mengi sana.Kwa lugha nyepesi ni kwamba,kwa mtazamo wangu ni kwamba kuwepo kwa hizi races ni matokeo ya dhambi...

Wakazi wa atlantis walikuwa ni Nephilims na fallen angels,gharika liliwaangamiza wale machotara wao ambao ni Nephilims lakini maandiko yanasema kwamba walikuja kuwepo baadaye na hii nadhani ilikuja kutokea kwasababu zile zile zilizoelezwa kwenye Mwanzo 6 maana Waisraeli walipambana nao walipokuwa wanaingia Kanaan kutokea utumwani Misri..

Kwa maana hii ni kwamba wale machotara waliokuwa bara Atlantis waliangamizwa na gharika ambalo lilienea maeneo yote duniani na hivyo walikuwa hawawezi kwenda popote.Wameendelea kuwepo leo lakini kwa style nyingine,wapo kwa kificho sana hadi watakapofikia hatua ya kujitokeza tena...

Mkuu nimekupata vizuri ila hapo kwenye red unaweza kunisaidia hzo data umetoa wap kwenye Bible...c'se uelewa wangu ni tofauti kidogo tunaweza kushare idea..
 
Suala la malaika waasi na ngono na wanawake wanadamu limeandikwa kwenye biblia likisemwa kuwa "Wana wa Mungu walijitwalia wake miongoni mwa wanadamu",angalia Mwanzo 6.Lakini suala hili limeandikwa vizuri sana katika kitabu cha Enoch....

Suala la rangi ya mwanadamu wa kwanza limelieleza kwa mantiki kwenye post uliyoi quote lakini pia nimeongezea nyama kutoka vyanzo vingine mbali mbali....

Binadamu kuwa mweupe ni kupungukiwa na madini fulani,Mungu hakumuumba binadamu aliyepungukiwa na chochote...
 
Kwangu mimi ninavyoelewa Malaika (wabaya au wema) hawaoi wala kuolewa, hata hivyo hawana jinsia mathayo 22:30 hivyo kauli ya wana wa Mungu kuoana na wana wanadamu Mwanzo 6..haimaanishi Malaika waovu kuoana na wanadamu badala yake humaanisha Wana wa Mungu Waliotokana na kizazi cha sethi watu ambao walishikilia maagizo ya Mungu na wana wa wanadamu wakiwa ni Uzao wa kaini ambao haukufata maagizo ya Mungu..kitendo hki huondoa tofauti kati ya Mungu na shetani 2Wakoritho 6:14...

Kwenye issue ya rangi Mungu hakuumba mtu Mweusi, Kwa sababu jamii ambapo ndo mtu wa kwanza aliumbwa (Middle East) ni weupe na hata Yesu mwenyewe alikuwa Mweupe....
Rangi tofauti ni controversial issue.. lakini bible inadokeza kitu ambacho wakristo wengi wanaamini...Mwanzo 9-10 inadokeza jambo hapo kuhusiana na Nuhu na wanawe, Makosa aliyoyafanya Hamu mtoto wa Nuhu na laana ambayo Nuhu aliitoa kwa mwanae huyo..laana iliyoishia kwa uzao wa Hamu kuwa mtumwa wa ndugu zake wawili (Shemu na Yafethi)...Watoto wa Hamu walikuwa Putu, Kushi na Misri...Wengi huamini kuwa uzao wa Hamu ndo bara la Afrika lilipotokea kwa sababu zifuatazo;

  • Misri ipo bara la Africa
  • Kushi pia anawaklisha Africa, alisambaa kupitia iraq, syria akafika mpaka afrika na inasemekana Sudani na Ethiopia zinawakilisha vizur kabisa ufalme wa kushi.
  • Ukisoma Hesabu 12..utakutana na kisa cha Miriamu na Haruni ndugu zake Musa, walianza kumsengenya Musa sababu kuu ikiwa ni wivu wa madaraka zidi ya ndugu yao, pia sababu nyingine ni kuhusu mke wa Musa inasemekana alikuwa Mweusi (Mkushi) ulikuwa ni ubaguzi wa rangi
  • Katiaka Yeremia 13:23..Mungu anamwambia Yeremia kuhusu mkushi kubadili ngozi yake...hii humaanisha kuwa baadhi ya wazao wa kushi walikuwa na ngozi tofauti na watu wengine, bila shaka walikuwa weusi
  • Katika Matendo 8:26...mtume filipo anaambiwa na malaika aende upande wa kusini (nadhani kusini tunajua kuna bara gani) na huko anakutana na mkushi akirejea nyumbani toka Yerusalemu kuabudu...
  • Bara la Africa ndo bara lilio nyuma kwa kila nyanja ya maendeleo ukilinganisha na mabara mengine...na kwa hakika Africa ni watumwa kabisa, zidi ya mabara mengine...na hii inaleta picha halisi ya laana ya Nuhu miaka melfu iliyopita.
Japo bado nipo kwenye investigation ila hzi sababu nachelea kukubaliana na uwepo wa watu weusi, na pia kama nembo ya laana kimaendeleo kulinganisha na rangi zingine....

Labda kama kuna incovinience sehemu waweza nirekebisha
 
"Hii dunia tunaishi ila kuna watu
wanaiendesha na kupanga
matukio mbalimbali. Kuna watu
wanaamua nani awe rais na kwa
sababu zao wao. Ni mambo
machache sana ambayo yanatokea pasipo watu flan kuwa
wamepanga yawe."

Unafikiri watu hao hawajakupangia hata kile unachokiabudu..?
kwenye haya maneno nimejifunza kitu hapa
 
Kwangu mimi ninavyoelewa Malaika (wabaya au wema) hawaoi wala kuolewa, hata hivyo hawana jinsia mathayo 22:30 hivyo kauli ya wana wa Mungu kuoana na wana wanadamu Mwanzo 6..haimaanishi Malaika waovu kuoana na wanadamu badala yake humaanisha Wana wa Mungu Waliotokana na kizazi cha sethi watu ambao walishikilia maagizo ya Mungu na wana wa wanadamu wakiwa ni Uzao wa kaini ambao haukufata maagizo ya Mungu..kitendo hki huondoa tofauti kati ya Mungu na shetani 2Wakoritho 6:14...

Kwenye issue ya rangi Mungu hakuumba mtu Mweusi, Kwa sababu jamii ambapo ndo mtu wa kwanza aliumbwa (Middle East) ni weupe na hata Yesu mwenyewe alikuwa Mweupe....
Rangi tofauti ni controversial issue.. lakini bible inadokeza kitu ambacho wakristo wengi wanaamini...Mwanzo 9-10 inadokeza jambo hapo kuhusiana na Nuhu na wanawe, Makosa aliyoyafanya Hamu mtoto wa Nuhu na laana ambayo Nuhu aliitoa kwa mwanae huyo..laana iliyoishia kwa uzao wa Hamu kuwa mtumwa wa ndugu zake wawili (Shemu na Yafethi)...Watoto wa Hamu walikuwa Putu, Kushi na Misri...Wengi huamini kuwa uzao wa Hamu ndo bara la Afrika lilipotokea kwa sababu zifuatazo;

  • Misri ipo bara la Africa
  • Kushi pia anawaklisha Africa, alisambaa kupitia iraq, syria akafika mpaka afrika na inasemekana Sudani na Ethiopia zinawakilisha vizur kabisa ufalme wa kushi.
  • Ukisoma Hesabu 12..utakutana na kisa cha Miriamu na Haruni ndugu zake Musa, walianza kumsengenya Musa sababu kuu ikiwa ni wivu wa madaraka zidi ya ndugu yao, pia sababu nyingine ni kuhusu mke wa Musa inasemekana alikuwa Mweusi (Mkushi) ulikuwa ni ubaguzi wa rangi
  • Katiaka Yeremia 13:23..Mungu anamwambia Yeremia kuhusu mkushi kubadili ngozi yake...hii humaanisha kuwa baadhi ya wazao wa kushi walikuwa na ngozi tofauti na watu wengine, bila shaka walikuwa weusi
  • Katika Matendo 8:26...mtume filipo anaambiwa na malaika aende upande wa kusini (nadhani kusini tunajua kuna bara gani) na huko anakutana na mkushi akirejea nyumbani toka Yerusalemu kuabudu...
  • Bara la Africa ndo bara lilio nyuma kwa kila nyanja ya maendeleo ukilinganisha na mabara mengine...na kwa hakika Africa ni watumwa kabisa, zidi ya mabara mengine...na hii inaleta picha halisi ya laana ya Nuhu miaka melfu iliyopita.
Japo bado nipo kwenye investigation ila hzi sababu nachelea kukubaliana na uwepo wa watu weusi, na pia kama nembo ya laana kimaendeleo kulinganisha na rangi zingine....

Labda kama kuna incovinience sehemu waweza nirekebisha
Jarib kua neutral halaf ndo uanze jiuliza maswal,..usifanye referenc kokote,tumia tuu akili yako halaf utakapofikia then tafuta referenc
 
Kwan nimekosea kip...
Unarefer mambo kutoka kwenye bible tht means ukienda mwelewesha mchina atakuuliza same thing nachokwambia,au ukienda kwa muslim atakuuliza pia au hata kwa muhind,so anza na utash wako kwanza,kwa mfano,jiulize,kwanin kuna utofaut wa races,..black and whites,.pia jiulize nin kilipelekea kukawa na utofaut mkubwa wa maendeleo btn mweus na mweupe,pia jiulize nan purpose ya kusambaa kwa dini,ni mweus alimpelekea mweupe mafundisho au ni mweupe alipeka mafundisho kwa mweus,..y mweupe alimslave mweus,.y kuna maneno ya mtaan kua sjui illuminat,freemason etc,ni stories tuu au kuna ukwel ndan yake,jiulize je matukio meng yanayotokea ni planned ishuz au la,.wars ,terrorism,etc..soma stor ya wanephill kwenye bible af jiulize kama vile viumbe vilikuepo,vilienda wap?na maswal mengne jiulize mwenyew
 
Mkuu,bado najifunza mambo haya na naona kama hata robo sijafika na kuna hatua nikiifikia nitaandika kitabu au nitatafuta namna ya kutengeneza documentary ambayo atakayeitaka nitampa bure kabisa....

Ninapoongelea haya huwa nashindwa nianzie wapi maana ni mengi sana.Kwa mfano uki trace Freemason utajikuta unaishia kwa akina Albert Pike na imani ya ya G.A.O.T.U basi,uki trace back Illuminati utaishia kwa wakuu 13 walioko juu na kama utakuwa siyo mvivu utaishia kwa Pindar baasi,ukifuatilia Theosophical society utajikuta unaishia kwa akina Ms Blavaski n.k,utajikuta unawaona hao ndiyo wanaiongoza dunia kama wengi wanavyofikiri wakati kuna wakubwa zaidi...

Kimsingi unatakiwa utafute vyanzo zaidi vya kutafiti,Mainly P. Hall aliwahi kusema kwamba wanampango wa kuirudisha bara la Atlantis katika ubora wake,sasa hapo ndiyo tujiulize huko Atlantis kulikuwa na nini na bara hilo leo halipo kwasababi ipi?

Hapo nawashauri ni pazuri kuanzia maana utaenda mbele kisha utarudi hadi wakati wa zamani sana na utajua mengi sana ambayo nikiandika hapa ni mengi sana....

View attachment 503070
Ramani ya dunia ikionesha bara la Atlantis...

de9f782da829f0b931126868506bb2e1.jpg
20d34de69576707934d27342fd25aa71.jpg
5b30329fb19203f2449f0f68d36aa0f4.jpg
637fc89cca717477d57e66faafbe51a2.jpg
 
Unarefer mambo kutoka kwenye bible tht means ukienda mwelewesha mchina atakuuliza same thing nachokwambia,au ukienda kwa muslim atakuuliza pia au hata kwa muhind,so anza na utash wako kwanza,kwa mfano,jiulize,kwanin kuna utofaut wa races,..black and whites,.pia jiulize nin kilipelekea kukawa na utofaut mkubwa wa maendeleo btn mweus na mweupe,pia jiulize nan purpose ya kusambaa kwa dini,ni mweus alimpelekea mweupe mafundisho au ni mweupe alipeka mafundisho kwa mweus,..y mweupe alimslave mweus,.y kuna maneno ya mtaan kua sjui illuminat,freemason etc,ni stories tuu au kuna ukwel ndan yake,jiulize je matukio meng yanayotokea ni planned ishuz au la,.wars ,terrorism,etc..soma stor ya wanephill kwenye bible af jiulize kama vile viumbe vilikuepo,vilienda wap?na maswal mengne jiulize mwenyew

Mimi nilikuwa nawekana sawa na Mkuu Eiyer pale juu..mana alitoa reference ya kwenye bible....kama kuna mtu haamini bible...huyo sina shida nae apite tu..ajiulize na ajijibu mwenyewe kwa uelewa wake bila reference
 
Kimsingi tunapaswa kuwa makini sana hasa kwenye hizi imani na ukiendelea kufanya utafiti wako kuna dini utaziona kuwa ni za kutoka sehemu moja tu lakini zinatofautiana majina tu....

Jambo hilo wengi hatulijui haswa sisi wa huku Afrika maana hatupendi kusoma na kufuatilia mambo mengi kwa kina na ndiyo hapo tunamalizwa kiulaini kabisa na wale wachache ambao wanajisomea na kutafiti zaidi wanaonekana vichaa pale wanapoongelea mambo fulani ambayo yanaonekana kama hayawezekanini....

Kimsingi hiyo ndiyo shabaha ya wakuu wa ulimwengu huu ili ifike mahali wale wanaozungumza ukweli waonekane vichaa na wasisikilizwe.Sitakuja kusahau nilipokuwa namueleza bro wangu kuhusu Freemason mwaka 2010 aliniangalia tu na baadaye akawa anaongea na rafiki yangu mmoja akimuuliza kama nilikuwa nimeanza kuvuta bangi....

Baada ya mtu mmoja maarufu kufariki hapa Bongo ndipo habari za hao jamaa zilianza kumwagika sana na akaelewa japokuwa wakati namuambia kuhusu hao jamaa nilikuwa naongelea basics tu na siyo yale makubwa na nadhani angesema kabisa wazi wazi kuwa nilikuwa ni kichaa....

Tupende kujisomea tutapona....
Mkuu tufafanulie tu hizo dini tujue mbivu na mbichi kudadaadeki!
 
Kwangu mimi ninavyoelewa Malaika (wabaya au wema) hawaoi wala kuolewa, hata hivyo hawana jinsia mathayo 22:30 hivyo kauli ya wana wa Mungu kuoana na wana wanadamu Mwanzo 6..haimaanishi Malaika waovu kuoana na wanadamu badala yake humaanisha Wana wa Mungu Waliotokana na kizazi cha sethi watu ambao walishikilia maagizo ya Mungu na wana wa wanadamu wakiwa ni Uzao wa kaini ambao haukufata maagizo ya Mungu..kitendo hki huondoa tofauti kati ya Mungu na shetani 2Wakoritho 6:14...
Suala au dhana ya kwamba wana wa Mungu ni watoto wa Seth ni assumption ambayo haina back up ya Biblia hata sehemu moja.Dhana hii naifahamu sana na kuna watu wengi wanadhaniahivyo lakini ukweli ni kinyume kabisa kwasababu zifuatazi...

1;Hakuna mahali Mungu aliwakataza wana wa Seth kuoana na wana wa Kaini
2;Hakuna anayeweza kueleza ni kwanini baada ya kuingiliana kwa wana wa Seth na Kaini kingono kukasababisha kuzaliwa viumbe wa ajabu kuliko binadamu
kwasababu Seth na Kaini wote walikuwa ni binadamu wa kawaida kabisa

Kwa upande wangu mimi madai yangu kuwa wana wa MUNGU ni malaika yana back up ya maandiko...

Ayubu 1:6
6 Ilikuwa, siku moja ambayo hao wana wa Mungu walikwenda kujihudhurisha mbele za Bwana, Shetani naye akaenda kati yao
.

Hao hapo malaika wanaitwa wana wa Mungu.Dhana ya Seth na uzao wake kuwa ni wana wa Mungu ni ya kutunga tu....

Hakuna mahali ambapo biblia inasema kuwa malaika hawana jinsia,andiko uliloleta linasema "hakuna kuoa wala kuolewa kama malaika",kusema hakuna kuoa na kuolewa haimaanishi huna jinsia.Kwa upande mwingine inathibitisha kuwa wana jinsia maana kama wasingekuwa na jinsia wasingetaja kuu ya kutokuwepo kuoa na kuolewa.Mapadri hawaoi,je hawana jinsia kwasababu wamekatazwa kuoa na kuolewa?
Kwenye issue ya rangi Mungu hakuumba mtu Mweusi, Kwa sababu jamii ambapo ndo mtu wa kwanza aliumbwa (Middle East) ni weupe na hata Yesu mwenyewe alikuwa Mweupe....
Umenifanya nimecheka sana kwa maelezo yako haya.Unatakiwa ujifunze sana juu ya historia ya dunia hii,hapa sizungumzii hiztoria uliyosoma shuleni,nenda zaidi ya hapo...

Usichojua ni kwamba wakazi wa hilo eneo unaloliita wewe kuwa ni mashariki ya kati halikuwa na watu weupe bali weusi na halikuwahi kuitwa "mashariki ya kati" bali lilikuwa linaitwa "North east Africa".Weupe unaowaona eneo hilo walitokea Ulaya na Uturuki na hawakuwa wakazi wa eneo hilo tangu mwanzo na walipofika huko walikuwa wakiwaua sana watu weusi ambao ndiyo walikuwa wakazi halisi wa eneo hili.Historia ya eneo hilo inafanana na ya Misri.Misri haikuwa ya watu weupe bali hao ni watu wa kuja tu..
Rangi tofauti ni controversial issue.. lakini bible inadokeza kitu ambacho wakristo wengi wanaamini...Mwanzo 9-10 inadokeza jambo hapo kuhusiana na Nuhu na wanawe, Makosa aliyoyafanya Hamu mtoto wa Nuhu na laana ambayo Nuhu aliitoa kwa mwanae huyo..laana iliyoishia kwa uzao wa Hamu kuwa mtumwa wa ndugu zake wawili (Shemu na Yafethi)...Watoto wa Hamu walikuwa Putu, Kushi na Misri...Wengi huamini kuwa uzao wa Hamu ndo bara la Afrika lilipotokea kwa sababu zifuatazo;

  • Misri ipo bara la Africa
  • Kushi pia anawaklisha Africa, alisambaa kupitia iraq, syria akafika mpaka afrika na inasemekana Sudani na Ethiopia zinawakilisha vizur kabisa ufalme wa kushi.
  • Ukisoma Hesabu 12..utakutana na kisa cha Miriamu na Haruni ndugu zake Musa, walianza kumsengenya Musa sababu kuu ikiwa ni wivu wa madaraka zidi ya ndugu yao, pia sababu nyingine ni kuhusu mke wa Musa inasemekana alikuwa Mweusi (Mkushi) ulikuwa ni ubaguzi wa rangi
  • Katiaka Yeremia 13:23..Mungu anamwambia Yeremia kuhusu mkushi kubadili ngozi yake...hii humaanisha kuwa baadhi ya wazao wa kushi walikuwa na ngozi tofauti na watu wengine, bila shaka walikuwa weusi
  • Katika Matendo 8:26...mtume filipo anaambiwa na malaika aende upande wa kusini (nadhani kusini tunajua kuna bara gani) na huko anakutana na mkushi akirejea nyumbani toka Yerusalemu kuabudu...
  • Bara la Africa ndo bara lilio nyuma kwa kila nyanja ya maendeleo ukilinganisha na mabara mengine...na kwa hakika Africa ni watumwa kabisa, zidi ya mabara mengine...na hii inaleta picha halisi ya laana ya Nuhu miaka melfu iliyopita.
Japo bado nipo kwenye investigation ila hzi sababu nachelea kukubaliana na uwepo wa watu weusi, na pia kama nembo ya laana kimaendeleo kulinganisha na rangi zingine....

Labda kama kuna incovinience sehemu waweza nirekebisha
Kwanza ni kweli kabisa kuwa Hamu alitenda kosa ulilolisema hapo juu na alipewa laana na hao ni wana wake.Sasa jibu hoja zifuatazo...

1;Hao ambao umesoma historia unayoikubali wanakataa kuwa Misri haikuwahi kukaliwa na watu weusi,kama huyo mtoto wa Hamu ambaye ni Misri hakuwa mweusi? Kama alikuwa mweusi inakuwaje hao walioandaa hiyo historia yako wakataa jambo hilo?

2; Kama Misri ilikuwa na watu weusi kama unavyosema halafu Yesu alikuwa mtu mweupe kama unavyodai,inawezekanaje Yesu aje kujificha Misri wakati ule alipokuwa akitafutwa na Herode auwawe wakati akiwa mtoto mchanga ambapo alikimbilia huku yeye na wazazi wake?Inawezekanaje mtu mweupe aje kujificha katikati ya watu weusi na asifahamike?

3; Kama Misri ilikuwa na watu weusi kama ambavyo unadai,iweje mtoto Musa ambaye alikuwa mweupe kwa mtazamo wako aende akalelewe kwenye nyumba ya Farao na asijulikane kuwa ni Muisraeli?

4; Kama Misri ilikuwa inakaliwa na watu weusi ni kwanini ndugu zake Yusuph walishindwa kumtambua ndugu yao walipokwenda Misri kutafuta chakula wakati kwa unavyodai wewe walikuwa ni weupe? Yaani inakuwaje washindwe kumtambua mtu mweupe katikati ya weusi?

5;Kama unakataa kuwa Wamisri wa kale walikuwa siyo weusi maswali yote hapo yanajifia,lakini linazaliwa swali lingine kubwa zaidi ambalo linasambaratisha hoja yako yote ya laana na dhana ya kuwa watoto Hamu walikuwa ni weusi kwasababu kama utasema kuwa Misri hakuwa mweusi ni kwanini udai wengine ni weusi?

6; Kama unadai watoto wa Hamu walikuwa ni weusi,vipi kuhusu mtoto wa Hamu anayeitwa Kanaani ambaye ni baba wa Wakanaani?Waisraeli walipokuwa wanarudi nchi hiyo ya ahadi ambayo ilikuwa inakaliwa na watoto wa Hamu ambao ni Kanaani,walipambana nao,je walikuwa weusi kama watoto wengine wa Hamu? Kama walikuwa weusi ni kwanini unadai watu wa mashariki ya kati walikuwa weupe wakati hao walikuwa weusi? Kama hawakuwa weusi ni kwanini watoto wengine wa Hamu wawe weusi na wengine wasiwe weusi?

Mkuu maswali ni mengi sana na sidhani kama utaweza kuyajibu yote lakini ninachotaka kukueleza tu ni kwamba dhana ya watu weusi kuwa ndiyo watoto wa hamu tu inajifia yenyewe ukiangalia hoja zote nilizokuuliza na nyingine nyiingi sana ambazo sijakuuliza....

Na hoja hizo zinasambaratisha hizo hoja zako zoote ulizoandika hapo juu...

Hoja ya umaskini wa Africa ina majibu yake mengine lakini siyo hiyo dhana yako ambayo ililetwa na hawa hawa weupe ambao wamekufanya na wewe kudhani kuwa Yesu alikuwa mweupe....

Acha nikuchape na haya maneno ya Suleiman hapa kwanza...

Songs of songs 1:5
5 I am black, but comely, O ye daughters of Jerusalem, as the tents of Kedar, as the curtains of Solomon.

Nikutakie tafakari njema....
 
Suala au dhana ya kwamba wana wa Mungu ni watoto wa Seth ni assumption ambayo haina back up ya Biblia hata sehemu moja.Dhana hii naifahamu sana na kuna watu wengi wanadhaniahivyo lakini ukweli ni kinyume kabisa kwasababu zifuatazi...

1;Hakuna mahali Mungu aliwakataza wana wa Seth kuoana na wana wa Kaini
2;Hakuna anayeweza kueleza ni kwanini baada ya kuingiliana kwa wana wa Seth na Kaini kingono kukasababisha kuzaliwa viumbe wa ajabu kuliko binadamu
kwasababu Seth na Kaini wote walikuwa ni binadamu wa kawaida kabisa

Kwa upande wangu mimi madai yangu kuwa wana wa MUNGU ni malaika yana back up ya maandiko...

Ayubu 1:6
6 Ilikuwa, siku moja ambayo hao wana wa Mungu walikwenda kujihudhurisha mbele za Bwana, Shetani naye akaenda kati yao
.

Hao hapo malaika wanaitwa wana wa Mungu.Dhana ya Seth na uzao wake kuwa ni wana wa Mungu ni ya kutunga tu....

Hakuna mahali ambapo biblia inasema kuwa malaika hawana jinsia,andiko uliloleta linasema "hakuna kuoa wala kuolewa kama malaika",kusema hakuna kuoa na kuolewa haimaanishi huna jinsia.Kwa upande mwingine inathibitisha kuwa wana jinsia maana kama wasingekuwa na jinsia wasingetaja kuu ya kutokuwepo kuoa na kuolewa.Mapadri hawaoi,je hawana jinsia kwasababu wamekatazwa kuoa na kuolewa?

Umenifanya nimecheka sana kwa maelezo yako haya.Unatakiwa ujifunze sana juu ya historia ya dunia hii,hapa sizungumzii hiztoria uliyosoma shuleni,nenda zaidi ya hapo...

Usichojua ni kwamba wakazi wa hilo eneo unaloliita wewe kuwa ni mashariki ya kati halikuwa na watu weupe bali weusi na halikuwahi kuitwa "mashariki ya kati" bali lilikuwa linaitwa "North east Africa".Weupe unaowaona eneo hilo walitokea Ulaya na Uturuki na hawakuwa wakazi wa eneo hilo tangu mwanzo na walipofika huko walikuwa wakiwaua sana watu weusi ambao ndiyo walikuwa wakazi halisi wa eneo hili.Historia ya eneo hilo inafanana na ya Misri.Misri haikuwa ya watu weupe bali hao ni watu wa kuja tu..

Kwanza ni kweli kabisa kuwa Hamu alitenda kosa ulilolisema hapo juu na alipewa laana na hao ni wana wake.Sasa jibu hoja zifuatazo...

1;Hao ambao umesoma historia unayoikubali wanakataa kuwa Misri haikuwahi kukaliwa na watu weusi,kama huyo mtoto wa Hamu ambaye ni Misri hakuwa mweusi? Kama alikuwa mweusi inakuwaje hao walioandaa hiyo historia yako wakataa jambo hilo?

2; Kama Misri ilikuwa na watu weusi kama unavyosema halafu Yesu alikuwa mtu mweupe kama unavyodai,inawezekanaje Yesu aje kujificha Misri wakati ule alipokuwa akitafutwa na Herode auwawe wakati akiwa mtoto mchanga ambapo alikimbilia huku yeye na wazazi wake?Inawezekanaje mtu mweupe aje kujificha katikati ya watu weusi na asifahamike?

3; Kama Misri ilikuwa na watu weusi kama ambavyo unadai,iweje mtoto Musa ambaye alikuwa mweupe kwa mtazamo wako aende akalelewe kwenye nyumba ya Farao na asijulikane kuwa ni Muisraeli?

4; Kama Misri ilikuwa inakaliwa na watu weusi ni kwanini ndugu zake Yusuph walishindwa kumtambua ndugu yao walipokwenda Misri kutafuta chakula wakati kwa unavyodai wewe walikuwa ni weupe? Yaani inakuwaje washindwe kumtambua mtu mweupe katikati ya weusi?

5;Kama unakataa kuwa Wamisri wa kale walikuwa siyo weusi maswali yote hapo yanajifia,lakini linazaliwa swali lingine kubwa zaidi ambalo linasambaratisha hoja yako yote ya laana na dhana ya kuwa watoto Hamu walikuwa ni weusi kwasababu kama utasema kuwa Misri hakuwa mweusi ni kwanini udai wengine ni weusi?

6; Kama unadai watoto wa Hamu walikuwa ni weusi,vipi kuhusu mtoto wa Hamu anayeitwa Kanaani ambaye ni baba wa Wakanaani?Waisraeli walipokuwa wanarudi nchi hiyo ya ahadi ambayo ilikuwa inakaliwa na watoto wa Hamu ambao ni Kanaani,walipambana nao,je walikuwa weusi kama watoto wengine wa Hamu? Kama walikuwa weusi ni kwanini unadai watu wa mashariki ya kati walikuwa weupe wakati hao walikuwa weusi? Kama hawakuwa weusi ni kwanini watoto wengine wa Hamu wawe weusi na wengine wasiwe weusi?

Mkuu maswali ni mengi sana na sidhani kama utaweza kuyajibu yote lakini ninachotaka kukueleza tu ni kwamba dhana ya watu weusi kuwa ndiyo watoto wa hamu tu inajifia yenyewe ukiangalia hoja zote nilizokuuliza na nyingine nyiingi sana ambazo sijakuuliza....

Na hoja hizo zinasambaratisha hizo hoja zako zoote ulizoandika hapo juu...

Hoja ya umaskini wa Africa ina majibu yake mengine lakini siyo hiyo dhana yako ambayo ililetwa na hawa hawa weupe ambao wamekufanya na wewe kudhani kuwa Yesu alikuwa mweupe....

Acha nikuchape na haya maneno ya Suleiman hapa kwanza...

Songs of songs 1:5
5 I am black, but comely, O ye daughters of Jerusalem, as the tents of Kedar, as the curtains of Solomon.

Nikutakie tafakari njema....

Ngoja niagize Novida ya baridi..af nitakurudia mkuu
 
Back
Top Bottom