Sorry kwa kurudia,kama siyo virusi ni sumu au naomba kwa ufupi tu ninadukuduku au hata link nisome
Ishu nzima ya HIV/AIDS imekaa kama series,kila season ina mambo yake na hadithi yake...
Wakati wa miaka ya 90 watu walikuwa wanakufa kwa mtindo fulani unaofanana,kukonda sana,kutapika na kuharisha ikiambatana na kukohoa.Hizi ni dalili za TB.Miaka ile elimu kuhusu TB ilikuwa ndogo sana hivyo watu walikufa sana na TB.Unapokuwa na TB ni lazima watu wako wa karibu utawaambukiza tu,kabla ya elimu ya TB kuenea sana watu walikuwa wakichangia vitu na wagonjwa wa TB kitu kilichosababisha na wao kuipata.Wanandoa waliokuwa na wenza wagonjwa wa maradhi haya waliwaambukiza kwasababu ya ukaribu waliokuwa nao na ndiyo maana alianza huyu na baadaye akafuata mwingine.
Lakini watu wenye malengo yao wakaja na dhana kwamba kilichowaua watu hao ni ugonjwa mpya uliokuwa unaambukizwa kwa njia ya ngono kwasababu waliambukizana virusi wanaosababisha ugonjwa huo.Baada ya kuletwa kwa dhana hii wakaja na dawa zilizokuwa zinaitwa AZT kwaajili ya wagonjwa hao na hapo likaibuka tatizo la kunyonyoka nywele na madonda kwenye ngozi.Matatizo haya hayakuwepo kabla.
Kwenye miaka ya 2000 elimu alianza kuenea sana kuhusu TB na kuanza kuipunguza kwa kasi kubwa lakini wale waliopimwa na kukutwa na "maradhi haya" waliendelea kupewa madawa hayo ambayo baadaye yalikuja kupewa jina la ARV.Pamoja na madawa hayo waliotumia walianza kupata maradhi kama ya kansa,ini kufeli,kupungua damu na maradhi mengine.Kwenye karatasi inayokuwepo kwenye bozi la dawa hizo limeandikwa side efect kwa mtumiaji na maradhi yote hayo yameandikwa humo...
Madawa haya hayachagui kuwa hizo side efect anazipata huyu na yule hazimpati kama maradhi mengine bali wote waliotumia wanazipata.Ukitaka kuthibitisha hili nenda pale ocea road kaangalie waathirika wengi wa kansa wanatumia ARVs...
Kwa kifupi ARVs ndiyo tatizo na hakuna kirusi yoyote anayesababisha UKIMWI.Kile wanachopima ni antibody.Hizi antibody mwili unatoa kwenye mazingira fulani fulani kama vile mwanamke akiwa na ujauzito na siyo kwasababu kuna kirusi kimemuingia mtu.Wao wakikupima wakakukuta na hizi antibody wanakuambia umeathirika wakati siyo kweli.
Hakuna binadamu aliyewahi kumuona kirusi huyo mahalipopote achilia mbali kwenye damu ya mtu.Mwili unapotoa kinga kwaajili ya maradhi [antibody] hii inamaana mtu ni salama sasa wao wamebadilisha kabisa na kuanza kusema kinyume.Huwa wanasema kwamba hizo antibody wanazopima ni specific kwaajili ya HIV lakini hapo hapo huyo HIV hajawahi kufanyiwa isolation popote dunani halafu wanasema hizo antibody ni specific kwaajili ya HIV,kituko hiki....
Ni hivyo kwa kifupi ndugu yangu....