Fuvu na Mifupa(Skull and Bones) Jamii ya Siri ya Kishetani inayoongoza Matukio ya Duniani

Wengi waliuawa kama Phil Schneider na wengine waliishia kuishi maisha ya kukimbia kimbia tu wakihofia usalama wao....

Timothy Alberino aliwahi kuwekewa sumu kwenye chakula na aliponea hospital.Aliwahi kuponea chupuchupu kuangamizwa yeye na familia yake....

Wengi walijua kitakachowapata lakini waliamua tu waseme kweli maana walikuwa wanasumbuliwa sana ndani yao na ukweli huu....
Mkuu Eiyer hata ivi virusi vya ukimwi vililetwa hili kizazi cha afrika kifutike kwenye uso wa dunia na ndio maana uko kwao ugonjwa huu aujaathili sana kwao
 
Mengine ni upuuzi, uzushi na kutisha tu watu, mtu akishasoma kwenye hayo mavitabu na mitandaoni basi mtu anabeba na kuyaamini, sasa mtu anakuambia kuna mji chini ya ardhi, viwanja vya ndege, na trni inayotembea kwa spidi ya light, duh... bado kuna watu wanakuambia mkuu lete nondo, tumieni ata akili ya kawaida kuhoji, mengine hayaingii akilini kabisa
Kwanza unadanganya,nani amesema kuhusu viwanja vya ndege huko ardhini? Unaandika mawazo yako halafu unataka kuyapachika kwa wengine?

Pili,nikushauri tu kwamba kama kitu hukijui usibishe ni afadhali ukakaa kimya tu maana utaonesha namna usivyojua mambo.Ukiacha hayo majiji ambayo ni makuwa sana yaliyoko huko ardhini,kuna maeneo mengi tu siyo ya siri yamejengwa majengo makubwa na maeneo makubwa ya kufanyia kazi yapo chini ya ardhi kwenye nchi nyingi tu,wewe kwasababu ya ujinga [kutokujua] kwako unakuja hapa na kusema hayaingii akilini....

Inawezekana akili yako ni ndogo sana labda,nisikukatalie....
 
Mkuu labda kwa kifupi tu nikuambie kuwa hakuna kirusi chochote kinachosababisha upungufu wa kinga ya mwili [UKIMWI] bali kuna udanganyifu mkubwa sana kwenye suala hili.Hili ni mada nyingine mkuu tutakutana siku kukiwa na mada kama hii....
 
Asante mkuu nimekuelewa
 
mkuu hiyo maada naisubiri kwa hamu sana
 
Mengine ni upuuzi, uzushi na kutisha tu watu, mtu akishasoma kwenye hayo mavitabu na mitandaoni basi mtu anabeba na kuyaamini, sasa mtu anakuambia kuna mji chini ya ardhi, viwanja vya ndege, na trni inayotembea kwa spidi ya light, duh... bado kuna watu wanakuambia mkuu lete nondo, tumieni ata akili ya kawaida kuhoji, mengine hayaingii akilini kabisa
Hauna haja kuwa na jazba, km huamini basi Wacha wanaoelewa waendelee kuamini. Kwasababu hata vitabu vya shuleni vyanzo vyake vyajulikana na unaamini kuvisoma vinakuobgezea maarifa.... Mimi si mvivu napenda jifunza mwache tu jamaa atupe nondo huku tukiendelea kufanya udadisi kwa maana si dhambi
 
Kwanza unadanganya,nani amesema kuhusu viwanja vya ndege huko ardhini? Unaandika mawazo yako halafu unataka kuyapachika kwa wengine?

Pili,nikushauri tu kwamba kama kitu hukijui usibishe ni afadhali ukakaa kimya tu maana utaonesha namna usivyojua mambo.Ukiacha hayo majiji ambayo ni makuwa sana yaliyoko huko ardhini,kuna maeneo mengi tu siyo ya siri yamejengwa majengo makubwa na maeneo makubwa ya kufanyia kazi yapo chini ya ardhi kwenye nchi nyingi tu,wewe kwasababu ya ujinga [kutokujua] kwako unakuja hapa na kusema hayaingii akilini....

Inawezekana akili yako ni ndogo sana labda,nisikukatalie....
Mkuu punguza umagumashi hakuna kitu kama icho, hakuna mji ulio chini ya ardhi hata mmoja, nani alienda kutembea
 
Mkuu labda kwa kifupi tu nikuambie kuwa hakuna kirusi chochote kinachosababisha upungufu wa kinga ya mwili [UKIMWI] bali kuna udanganyifu mkubwa sana kwenye suala hili.Hili ni mada nyingine mkuu tutakutana siku kukiwa na mada kama hii....
Sorry kwa kurudia,kama siyo virusi ni sumu au naomba kwa ufupi tu ninadukuduku au hata link nisome
 
Mkuu punguza umagumashi hakuna kitu kama icho, hakuna mji ulio chini ya ardhi hata mmoja, nani alienda kutembea
Duniani hakuna kazi rahisi kama kupinga,lakini kusema sababu ya kupinga kwa kujenga hoja ni kazi ngumu sana,Tangu umekuwepo hapa wewe unakansha tu....

Yaani wewe umechagua tu kusema hakuna hiki wala kile bila kujenga hoja....

Kwanini hakuna?

Unaweza kukanusha wewe siyo binadamu lakini kusema ni kwanini wewe siyo binadamu ndipo penye shida...
 
"Hii dunia tunaishi ila kuna watu
wanaiendesha na kupanga
matukio mbalimbali. Kuna watu
wanaamua nani awe rais na kwa
sababu zao wao. Ni mambo
machache sana ambayo yanatokea pasipo watu flan kuwa
wamepanga yawe."

Unafikiri watu hao hawajakupangia hata kile unachokiabudu..?
Utawala unaanza kifamilia, Kisha Unakuwa Mpaka kufikia kutawala Dunia. Kwa kukosa Maarifa tumeendelea kulaghaiwa.

Wachache waliogundua Uwezo Mkubwa alopewa Mwanadamu wanatumia Kila mbinu kutuficha.
 
Sorry kwa kurudia,kama siyo virusi ni sumu au naomba kwa ufupi tu ninadukuduku au hata link nisome
Ishu nzima ya HIV/AIDS imekaa kama series,kila season ina mambo yake na hadithi yake...

Wakati wa miaka ya 90 watu walikuwa wanakufa kwa mtindo fulani unaofanana,kukonda sana,kutapika na kuharisha ikiambatana na kukohoa.Hizi ni dalili za TB.Miaka ile elimu kuhusu TB ilikuwa ndogo sana hivyo watu walikufa sana na TB.Unapokuwa na TB ni lazima watu wako wa karibu utawaambukiza tu,kabla ya elimu ya TB kuenea sana watu walikuwa wakichangia vitu na wagonjwa wa TB kitu kilichosababisha na wao kuipata.Wanandoa waliokuwa na wenza wagonjwa wa maradhi haya waliwaambukiza kwasababu ya ukaribu waliokuwa nao na ndiyo maana alianza huyu na baadaye akafuata mwingine.

Lakini watu wenye malengo yao wakaja na dhana kwamba kilichowaua watu hao ni ugonjwa mpya uliokuwa unaambukizwa kwa njia ya ngono kwasababu waliambukizana virusi wanaosababisha ugonjwa huo.Baada ya kuletwa kwa dhana hii wakaja na dawa zilizokuwa zinaitwa AZT kwaajili ya wagonjwa hao na hapo likaibuka tatizo la kunyonyoka nywele na madonda kwenye ngozi.Matatizo haya hayakuwepo kabla.

Kwenye miaka ya 2000 elimu alianza kuenea sana kuhusu TB na kuanza kuipunguza kwa kasi kubwa lakini wale waliopimwa na kukutwa na "maradhi haya" waliendelea kupewa madawa hayo ambayo baadaye yalikuja kupewa jina la ARV.Pamoja na madawa hayo waliotumia walianza kupata maradhi kama ya kansa,ini kufeli,kupungua damu na maradhi mengine.Kwenye karatasi inayokuwepo kwenye bozi la dawa hizo limeandikwa side efect kwa mtumiaji na maradhi yote hayo yameandikwa humo...

Madawa haya hayachagui kuwa hizo side efect anazipata huyu na yule hazimpati kama maradhi mengine bali wote waliotumia wanazipata.Ukitaka kuthibitisha hili nenda pale ocea road kaangalie waathirika wengi wa kansa wanatumia ARVs...

Kwa kifupi ARVs ndiyo tatizo na hakuna kirusi yoyote anayesababisha UKIMWI.Kile wanachopima ni antibody.Hizi antibody mwili unatoa kwenye mazingira fulani fulani kama vile mwanamke akiwa na ujauzito na siyo kwasababu kuna kirusi kimemuingia mtu.Wao wakikupima wakakukuta na hizi antibody wanakuambia umeathirika wakati siyo kweli.

Hakuna binadamu aliyewahi kumuona kirusi huyo mahalipopote achilia mbali kwenye damu ya mtu.Mwili unapotoa kinga kwaajili ya maradhi [antibody] hii inamaana mtu ni salama sasa wao wamebadilisha kabisa na kuanza kusema kinyume.Huwa wanasema kwamba hizo antibody wanazopima ni specific kwaajili ya HIV lakini hapo hapo huyo HIV hajawahi kufanyiwa isolation popote dunani halafu wanasema hizo antibody ni specific kwaajili ya HIV,kituko hiki....

Ni hivyo kwa kifupi ndugu yangu....
 
Da nimekuelewa sana bro.nashukuru kwakunizingatia
 
mkuu nakubaliana na points zako na naelewa unachokizungumzia.Siajaweza kuchimbua kiasi hicho cha kwako lakini nina document moja kwa wale wanaopenda kusoma wanaweza kuangalia kuhusu issue nzima ya cancer hapa Worldwithoutcancer ,utaona hayo makundi kazi yao na wanavyo-control kila kitu kuanzia,medical school,pharmaceutical industries,medical registration boards, burea of standards,biashara kubwa duniani,
 
Attachments

Back
Top Bottom