Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Usisisimkwe mkuu,hii ndiyo dunia yetu na haya ndiyo maisha tunayoishi...Eiyer.... Had nasisimuka navozisoma hizi mambooo zako daah.. Dunia ina siri sana
Hatupaswi kuogopa bali kumjua adui na kujipanga kukabiliana naye tu maana hakuna namna....