Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Baadhi ya vyanzo vya habari vinasema kwamba Aliens wanakuja kutoka nje ya dunia lakini hiyosiyo kweli.Aliens wapo hapa na hawajawahi kutoka nje ya dunia na hawajawahi kuja kutoka nje ya dunia hata mara moja...Vp kuhusu Aliens mkuu? Wanajihusisha na hizi societies au hawana mpango na kucontrol dunia?
Aliens ni viumbe ambao walitengenezwa mahususi na fallen angels kuwasaidia binadamu katika sayansi ili binadamu awe na uwezo fulani hivi kwasababu maalum....
Aliens wapo kwenye D.U.M.Bs [Deep Underground Military Bases] nyingi zilizoko maeneo mbali mbali duniani ambako kuna majiji makubwa hatari kabisa.robo tatu ya jiji la New York kwa mfano lipo juu ya jiji lingine lililoko chini ya ardhi.Ni watu wachache sana ambao wana access huko lakini majority ya walioko huko ni Aliens na wanafanya mambo mengi sana huko...
Kuna tren inayokwenda kasi kwa speed ya mwanga huko.Kuna majiji makubwa sana kuliko haya yaliyoko huku juu.Kuna silaha za hatari kabisa huko kiasi kwamba huwezi kuamini kama kuna silaha za namna hiyo.Jamaa wana choper ambayo inaweza kuruka umbaliwa mita 3000 hadi 6000 na bado ikaweza kujua ndani ya nyumba yako kuna nani na mko wangapi na wenye jinsia gani na jeshi la Marekani lina chper hizi 60,000 lakini hazijaanza kutumika bado....
Kuna sayansi ya hatari huko acha kabisa na hii inafanywa na Aliens...
Hatuko salama kabisa kama tunavyodhani....