Fuvu na Mifupa(Skull and Bones) Jamii ya Siri ya Kishetani inayoongoza Matukio ya Duniani

Fuvu na Mifupa(Skull and Bones) Jamii ya Siri ya Kishetani inayoongoza Matukio ya Duniani

Eiyer Mbona umeingia mitini leo mkuu!! Tumwagie nondo.
 
jesuits
freemson
illuminat
pindar
skull n bones
mafia

boss wao nani haya makundi ya kidunia??....na malengo yao ni tofauti au lengo lao ni moja....
wanataka hii dunia iweje sasa..???..mpaka sasa wamefanikiwa kiasi gani na malengo yao.?
Mkuu mafia watoe hapo,wao wapo against government system which is oppressive
 
Kupinga ni rahisi sana lakini kuelezea ni kwanini unapinga ni jambo gumu kwawengi...

Bahati mbaya umesema huamini na mimi siwezi kushindana na imani ya mtu labda aweke hoja ndipo nitahangaika na hoja lakini mambo ya kuamini hayo ni yako binafsi mkuu,siwezi kuyaingilia...
Mkuu danganya yote ila si kutuambia kuna mji chini ya ardhi na treni zinazotembea kwa spidi ya light hiyo hapana, hamna kitu kama hicho
 
10475831_1485216628394365_444642282981455214_n.jpg

Bujibuji ndio uchafu gani huu
 
"Hii dunia tunaishi ila kuna watu
wanaiendesha na kupanga
matukio mbalimbali. Kuna watu
wanaamua nani awe rais na kwa
sababu zao wao. Ni mambo
machache sana ambayo yanatokea pasipo watu flan kuwa
wamepanga yawe."

Unafikiri watu hao hawajakupangia hata kile unachokiabudu..?

Hawajakupangia direct, wamekupa options; ulipo, wapo.
 
Umepapasa tu kuhusu ukweli wa dunia na anayeiendesha....

Endelea kujifunza na utajua hao Skull and Bones ni sisimizi tu,hata Freemason na Illuminati ni sisimizi tu...

Jifunze kuhusu Pindar utapata mwanga kidogo....
Tuletee makala ya iyo pindar bas tupate kufaham
 
Mkuu Eiyer kama mambo haya ni siri ni nani aliyefanikiwa kufichua siri hizi na kutoa maandiko kama haya ?Na je nn kilimpata baada ya kutoa siri hizi?
 
Mengine ni upuuzi, uzushi na kutisha tu watu, mtu akishasoma kwenye hayo mavitabu na mitandaoni basi mtu anabeba na kuyaamini, sasa mtu anakuambia kuna mji chini ya ardhi, viwanja vya ndege, na trni inayotembea kwa spidi ya light, duh... bado kuna watu wanakuambia mkuu lete nondo, tumieni ata akili ya kawaida kuhoji, mengine hayaingii akilini kabisa
 
Tuletee makala ya iyo pindar bas tupate kufaham
Nataka nikushauri tu...

Unapoanza kusoma thread halafu ukaona ina page zaidi ya moja,ukikuta post yoyote inakusababisha uulize swali usiuliza kwanza,soma thread yote maana unaweza kukuta jibu la swali lako limeshajibiwa humo kwenye hiyo thread na ukaokoa muda kuuliza kitu ambacho kimeshajibiwa tayari...

Ukiangalia ulichouliza kimeshajibiwa tayari hivyo hukuwa na haja ya kuuliza tena wakati tayari kimeshajibiwa....
 
Mkuu Eiyer kama mambo haya ni siri ni nani aliyefanikiwa kufichua siri hizi na kutoa maandiko kama haya ?Na je nn kilimpata baada ya kutoa siri hizi?
Wengi waliuawa kama Phil Schneider na wengine waliishia kuishi maisha ya kukimbia kimbia tu wakihofia usalama wao....

Timothy Alberino aliwahi kuwekewa sumu kwenye chakula na aliponea hospital.Aliwahi kuponea chupuchupu kuangamizwa yeye na familia yake....

Wengi walijua kitakachowapata lakini waliamua tu waseme kweli maana walikuwa wanasumbuliwa sana ndani yao na ukweli huu....
 
Back
Top Bottom