chipaka.com
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,883
- 1,189
Watashindana lakini hawatashinda,,Mungu atabaki kuwa Mungu na atawafukuza katika uso wa dunia,days ago.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikasali kwa Gwajima ili iwe nini yani..!? Nimekuliza swali jingine unakuja na upuzi mwingine..Nenda ofisini kwake utapata majibu. Ukikosa Jpili kasali kwa Gwajima.
Hebu mkuu tupatie lishe hiyo bwana ya hayo mambo, tufungukie mkuu mambo matamu...!!!!Umepapasa tu kuhusu ukweli wa dunia na anayeiendesha....
Endelea kujifunza na utajua hao Skull and Bones ni sisimizi tu,hata Freemason na Illuminati ni sisimizi tu...
Jifunze kuhusu Pindar utapata mwanga kidogo....
Mpuuzi na maswali yako ya kipuuzi.Nikasali kwa Gwajima ili iwe nini yani..!? Nimekuliza swali jingine unakuja na upuzi mwingine..
Jesu bado ni bingwa,mimi namwabudu YESU"Hii dunia tunaishi ila kuna watu
wanaiendesha na kupanga
matukio mbalimbali. Kuna watu
wanaamua nani awe rais na kwa
sababu zao wao. Ni mambo
machache sana ambayo yanatokea pasipo watu flan kuwa
wamepanga yawe."
Unafikiri watu hao hawajakupangia hata kile unachokiabudu..?
Ningelikuwa nahaja ya kuuliza nani na nani ni bingwa ningeliuliza.. sijui niseme umebaka swali au limekubaka!!Jesu bado ni bingwa,mimi namwabudu YESU
Aseee....Mkuu Eiyer naona umewaacha wengi kwenye mataa kuhusu Pindar. Kifupi tu, Pindar ni kiongozi mkuu wa Illuminati hapa duniani. Kiongozi huyu anatoka katika familia 13 ambazo ndio waanzilishi wa Illumianti kwa sasa hivi inasadikika kuwa anatokea kwenye familia ya Rothschild. Pindar ni kifupi cha Pinnacle of the Draco, vile vile ikifahamika kama Penis of the Dragon. Kiongozi huyu ndio nguvu ya juu kabisa hapa duniani anayetawala (control) anayehakikisha kupanuka,na kuratibu mashambulizi ya ki-Illuminati na kutia hofu uma. Hizi familia 13 ni familia zenye nguvu ya kifedha na ushawishi mkubwa kwa serikali zote za dunia hii. Asili ya hizi familia si ya kawaida kwani wana vinasaba (DNA) za nyoka (Reptilian DNA)
Mkuu kwa hyo wanafanana na nyoka.....Mkuu Eiyer naona umewaacha wengi kwenye mataa kuhusu Pindar. Kifupi tu, Pindar ni kiongozi mkuu wa Illuminati hapa duniani. Kiongozi huyu anatoka katika familia 13 ambazo ndio waanzilishi wa Illumianti kwa sasa hivi inasadikika kuwa anatokea kwenye familia ya Rothschild. Pindar ni kifupi cha Pinnacle of the Draco, vile vile ikifahamika kama Penis of the Dragon. Kiongozi huyu ndio nguvu ya juu kabisa hapa duniani anayetawala (control) anayehakikisha kupanuka,na kuratibu mashambulizi ya ki-Illuminati na kutia hofu uma. Hizi familia 13 ni familia zenye nguvu ya kifedha na ushawishi mkubwa kwa serikali zote za dunia hii. Asili ya hizi familia si ya kawaida kwani wana vinasaba (DNA) za nyoka (Reptilian DNA)
Mkuu kwa hyo wanafanana na nyoka.....
Naona sijaeleweka na baadhi ya watu wamechukulia post yangu negatively kiasi kwamba nimejikuta nashangaa sana tena sana na wengine kama wewe wametaka kujua kuhusu nilichoandika,nitaeleza sababu za mimi kuandika post kama ile ili wale ambao wanahitaji kujifunza wajifunze....mkuu fanya kutupa hao pindar tuwajue
Kwenye kifo cha JFK ni kwamba yule aliuawa akiwa anajua kuwa atauawa kwasababu naye alikuwa kwenye hivi vyama vya siri..Kwa hiyo CIA waliungana na skull and bones kumuua J.F Kennedy.!
Familia 13 za Illuminati hazina race ya Reptilian kwa ujumla wao isipokuwa wale walioko juu sana ambao niwachache sana tena sana...Mkuu femus asili ya hizi familia 13 ipo na mchanganyiko mwingi (complex). Lakini kifupi ni kuwa hawa sio watu wa kawaida kama mimi na wewe, ni watu ambao wana raslimali kubwa sana na wana ushawishi mkubwa kwenye serikali zote za dunia. Kama nilivyosema katika miili yao wana mchanganyiko wa vinasaba vya binadamu na vya kundi la nyoka (reptiles) kuonyesha kuwa wao si binadamu wa kawaida. Wanalinda sana damu zao (bloodline) haswa kwenye kupanga ndoa na wanamwabudu shetani na kutoa kafara za binadamu.