Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
mkuu hii post yako sikuiona kabla sikajukiji hapo juu....Mkuu Eiyer naona umewaacha wengi kwenye mataa kuhusu Pindar. Kifupi tu, Pindar ni kiongozi mkuu wa Illuminati hapa duniani. Kiongozi huyu anatoka katika familia 13 ambazo ndio waanzilishi wa Illumianti kwa sasa hivi inasadikika kuwa anatokea kwenye familia ya Rothschild. Pindar ni kifupi cha Pinnacle of the Draco, vile vile ikifahamika kama Penis of the Dragon. Kiongozi huyu ndio nguvu ya juu kabisa hapa duniani anayetawala (control) anayehakikisha kupanuka,na kuratibu mashambulizi ya ki-Illuminati na kutia hofu uma. Hizi familia 13 ni familia zenye nguvu ya kifedha na ushawishi mkubwa kwa serikali zote za dunia hii. Asili ya hizi familia si ya kawaida kwani wana vinasaba (DNA) za nyoka (Reptilian DNA)
Umeelezea vizuri lakini Pindar anapokea maelekezo pia na siyo yeye anaamua kila kitu...
Hiyo Penis of the Draco ni Penis of the Dragon,hapo wakiwa wanamaanisha ile Obelisk iliyoko pale Manhattan ambayo inawakilisha uume wa Nimrod ambao haukupatikana wakati Semiramis alipokusanya viungo vya Nimrod baada ya kuuawa vibaya na babu yake.Semiramis ambaye anajulikana pia kama Queen of heaven naye anaabudiwa na vyama hivi vya siri na ndiye mwenye sanamu ile pale Manhattan inayojulikana kama statue of liberty....
Obelisk ya USA,New York..
Statue of Liberty,Manhattan USA...