FY2021|22 HESLB imesajili wanafunzi wapya elfu 29 tofauti na elfu 32 wapya waliosajiliwa FY2016|2020

Unamaanisha Mkurugenzi HESLB anaongpa?
Waziri wa fedha ameongopa kusema ametenga Tshs 570b
Namaanisha kuwa mpaka sasa watu wengi sana wamepewa nusu nusu unakuta accommodation na meals tu au na asimilia 10,to 50 ngoja tuone batch zijazo ila kwa hapa sijaona bado aliyekosa mwaka jana hapa wamekosa tena tena.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mama samia angefata baada ya jk wa pili tungekua mbali,yule jamaa wa chato aendelee tu kupumzika...tangu ale michango ya bukoba wahaya hatuna hamu kabisa...viva mama samia
 
unafanya siasa wewe,

Mikopo imetolewa hata kama mtapewa in instalments ni sawa tu,

Policy haijabalika
Installment gani unayo zungumzia wewe mtu asha pata asilimia 20% kuna installation tena Apo iyo ni kwa wasiopata

Inahitajika akili ya ziada kuielewa jamii kwanini iko kama ilivyo

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Namaanisha kuwa mpaka sasa watu wengi sana wamepewa nusu nusu unakuta accommodation na meals tu au na asimilia 10,to 50 ngoja tuone batch zijazo ila kwa hapa sijaona bado aliyekosa mwaka jana hapa wamekosa tena tena.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kaka we ndo unajua uhalisia yaani almost wametupa boom tu yan hatuelewi n wataongeza au ndo imetoka??
Afya wengi tumepewa boom tu ada asilimia kubwa sana ni zero hawajatupa kitu[emoji17][emoji17]
 
Mtapewa tu 570B sio mchezo,

Restructuring haiwezi kufanyika katikati ya mkopo,

Back
Top Bottom