Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,202
- 4,653
Eb acha siasa kwa boom la wa 25 wawape nusu nusu watu 40 alafu useme wameongeza. nini sasaInstalments sio shida,
Hoja ni kwamba boom limecheka?
Eb acha siasa kwa boom la wa 25 wawape nusu nusu watu 40 alafu useme wameongeza. nini sasa
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Namaanisha kuwa mpaka sasa watu wengi sana wamepewa nusu nusu unakuta accommodation na meals tu au na asimilia 10,to 50 ngoja tuone batch zijazo ila kwa hapa sijaona bado aliyekosa mwaka jana hapa wamekosa tena tena.Hebu elezea vizuri hii mkuu
Namaanisha kuwa mpaka sasa watu wengi sana wamepewa nusu nusu unakuta accommodation na meals tu au na asimilia 10,to 50 ngoja tuone batch zijazo ila kwa hapa sijaona bado aliyekosa mwaka jana hapa wamekosa tena tena.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kwenye uhalisia uku bado sijaona achana na maswala ya media, Mimi aapa na na wasiliana na vijana wengi wa pre university sijaona badoUnamaanisha Mkurugenzi HESLB anaongpa?
Waziri wa fedha ameongopa kusema ametenga Tshs 570b
Kwahiyo unapinga?Umaskini wetu uko vichwani mwetu.
Installment gani unayo zungumzia wewe mtu asha pata asilimia 20% kuna installation tena Apo iyo ni kwa wasiopataunafanya siasa wewe,
Mikopo imetolewa hata kama mtapewa in instalments ni sawa tu,
Policy haijabalika
Hebu zungumzia wewe, Nikuelewe vizuriInstallment gani unayo zungumzia wewe mtu asha pata asilimia 20% kuna installation tena Apo iyo ni kwa wasiopata
Inahitajika akili ya ziada kuielewa jamii kwanini iko kama ilivyo
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kaka we ndo unajua uhalisia yaani almost wametupa boom tu yan hatuelewi n wataongeza au ndo imetoka??Namaanisha kuwa mpaka sasa watu wengi sana wamepewa nusu nusu unakuta accommodation na meals tu au na asimilia 10,to 50 ngoja tuone batch zijazo ila kwa hapa sijaona bado aliyekosa mwaka jana hapa wamekosa tena tena.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ndo tayari apo hakuna nyongeza labda uapeelKaka we ndo unajua uhalisia yaani almost wametupa boom tu yan hatuelewi n wataongeza au ndo imetoka??
Afya wengi tumepewa boom tu ada asilimia kubwa sana ni zero hawajatupa kitu[emoji17][emoji17]
Kaka we ndo unajua uhalisia yaani almost wametupa boom tu yan hatuelewi n wataongeza au ndo imetoka??
Afya wengi tumepewa boom tu ada asilimia kubwa sana ni zero hawajatupa kitu[emoji17][emoji17]
Mtapewa phase two jombaNdo tayari apo hakuna nyongeza labda uapeel
The more Kila mtu ashinde mechi zake
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app