Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Kwani ada ya chuo unachokwenda ni ngapi? Uliwahi soma Private sec school?Stratergy walotumia n kugawa kidogokidogo, mm na classmates zangu( mechanical ,marine & mechatronics) hakuna aliyepata hata 90% , how will we study🤔 something is wrong with their staratergy , wengi hatotoenda kusoma
View attachment 1977858
Uko sahihi kabisa, na ndio maana kodi kapiga mpaka 1.9 trl.Awamu ya tano alikuta hazina makabati tu
Awamu ya sita kakuta Mwendazake kamkusanyia kila kitu.
Ajabu Nini hapo sasa.yeye mwenyewe Hangaya kasema viatu vya Jiwe vyimepwaya kwanini mnapambana kumuonya Hangaya awe Bora kuliko Jiwe?
Mkuu unajua kitu inaitwa loan alocation? au utakuwa hukupita huko?Acheni kutoa hoja kwa hisia. Unasema utakuta.... Hivi ukweli upo vipi?
Naijua sana tu hiyo kitu. Kwani unataka kusemaje?Mkuu unajua kitu inaitwa loan alocation? au utakuwa hukupita huko?
Watapewa kila wanachostahili,Ukisoma taarifa hii ni Nzuri sana Literally lakini mmejaribu kufatilia hizo hela njisi zilivyotolewa kwa hao Vijana??
Kitu ambacho kinashitua Allocation kwa wanafunzi wote zimetoka za mwaka Mmoja swali linakuja Je Miaka Mingine vipi itakuaje???
Au serikali haina Hela za kutosha Maana wale Continuous miaka yao wote allocation zilikua zinatoka kama na 3 Or 4 Years inakua allocated pia kitu kingine wanafunzi wachache sana waliopata Asilimi 100 kama miaka mingine,,, karibia Asilimia 80 ya waliopata ni Hela ya Meals and Accomodations tu'
Kabla ya kufurahia Taarifa zinazotolewa tujitahidi hata kuwa tuangalia Practically.
Utalipa tuKwamiezi sita tu ya awamu ya sita Rais Samia ameongeza Jumla ya wanafunzi wanufaika 29,117 wa HESLB,Mtakumbuka miaka mitano ya awamu ya tano tuliongeza wanafunzi 32,583,God's Good
Mpaka awamu ya nne inaondoka madarakani FY2015|16 kulikuwa na Jumla ya wanafunzi 98'300 walionufaika na mikopo ya elimu ya juu ( HESLB ),Pia mpaka FY2020|21 wanafunzi wanufaika wa HESLB walifikia 130'883 sawa na ongezeko la wanafunzi wapya 32,583 hii ni kwa miaka mitano mfululizo ya awamu ya tano ,Maajabu ni miezi sita ya Rais Samia idadi ya wanufaika wa HESLB wamefikia 160,000 sawa na ongezeko la wanafunzi wapya 29,177 hii ni miezi sita tu ya huyu mama,Hakika mama anastahili maombi ya nguvu sana,
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Jumapili, Oktoba 17, 2021) orodha ya Awamu ya Kwanza yenye wanafunzi 37,731 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 99.9 bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo.
Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. Abdul-Razaq Badru amesema kuwa kati ya wanafunzi hao (37,731), wanaume ni 23,379 sawa na 62% na wanawake ni 14,352 sawa na 38%.
Badru ameongeza kuwa HESLB imeanza kupeleka fedha za wanafunzi waliopangiwa mikopo katika vyuo mbalimbali na kuwataka wanafunzi kupata taarifa za kina katika akaunti walizotumia kuomba mkopo maarufu kama SIPA (Student’s Individual Permanent Account) na kujiandaa kwenda vyuoni kwa ajili ya kujisajili.
“Serikali imeshatupatia fedha na tumeanza kuzipeleka vyuoni … lengo letu ni kuhakikisha wanafunzi wanaopangiwa wanazikuta fedha vyuoni ambako watajisajili na kupokea ili watimize ndoto zao,” amesema Badru.
Tarehe ya kutolewa orodha ya Awamu ya Pili
Kuhusu kutangazwa kwa orodha ya Awamu ya Pili, Badru amesema imepangwa kutolewa Alhamisi, Oktoba 21|2021 baada ya kukamilisha uchambuzi wa maombi unaoendelea na kuwataka waombaji mikopo kutembelea akaunti zao ya SIPA kupata taarifa kuhusu maombi yao.
“Orodha hii ya kwanza inajumuisha wanafunzi wenye sifa zikiwemo kuwa wahitaji, wameomba kwa usahihi na wana udahili wa chuo kimoja … tunakamilisha uchambuzi wa maombi mengine na tutaoa orodha ya pili katika siku mbili zijazo, yaani Jumatamo, Oktoba 20|2021” amesema Badru.
TZS 570 Bilioni zimetengwa kwa mikopo ya elimu ya juu FY2021|2022 Kutoka 450B za FY2020|21 na 348.7B za mwaka 2015|16,Hii ni sawa na kusema Rais Samia kwa miezi sita ameongeza Tshs 120B wakati awamu iliyopita kwa miaka mitano iliongeza Tshs 101.3B tu,Hata kama akili huna picha huoni?
Kwa mujibu wa Badru, Serikali imetenga TZS 570 bilioni kwa ajili ya mikopo ya jumla ya wanafunzi 160,000. Kati yao, wanafunzi 70,000 watakuwa ni wanufaika wapya na wanafunzi zaidi ya 90,000 ni wale wanaoendelea na masomo baada ya kufaulu mitihani yao ya mwaka.
Fedha zimeanza kutumwa vyuoni
Wakati huohuo, Badru amesema HESLB imeshapokea fedha kwa ajili ya malipo ya wanafunzi na taratibu za malipo zimeanza ili fedha hizo ziwe zimefika vyuoni kuanzia Jumanne, Oktoba 19|2021
Aidha, Bodi inapenda kuwasihi waombaji wa mikopo kuwa watulivu wakati mchakato wa upangaji wa mikopo kwa wanafunzi wenye sifa kwa awamu inayofuata ukiendelea.
Magufuli ameacha standard ambayo kujua kama unapatia au unakosea inabidi umrejeree alifanya nin?Kwamiezi sita tu ya awamu ya sita Rais Samia ameongeza Jumla ya wanafunzi wanufaika 29,117 wa HESLB,Mtakumbuka miaka mitano ya awamu ya tano tuliongeza wanafunzi 32,583,God's Good

Ingawa kuna kundi la wachache wanataka kumkwamishà Mama.Kwamiezi sita tu ya awamu ya sita Rais Samia ameongeza Jumla ya wanafunzi wanufaika 29,117 wa HESLB,Mtakumbuka miaka mitano ya awamu ya tano tuliongeza wanafunzi 32,583,God's Good

Wameshashindwa kabla ya kuanzaIngawa kuna kundi la wachache wanataka kumkwamishà Mama.
Tunajivunia kuwa na weweKwamiezi sita tu ya awamu ya sita Rais Samia ameongeza Jumla ya wanafunzi wanufaika 29,117 wa HESLB,Mtakumbuka miaka mitano ya awamu ya tano tuliongeza wanafunzi 32,583,God's Good

Watapewa chief Rais Samia hapendi manyanyasoKuna ujinga mkubwa sana HESLB na pia maamuzi ya kipuuzi kabisa.
Wanawapa wanafunzi mkopo wa chakula na malazi bila masomo?
Mtu mwenye uelewa atatoa kwa kipaumbele;
1. Tuition
2. Meals
3. Accommodation.
watapewa kila wanachostahiliNdio mmewalipia watoto ada 10K katika ada zaidi ya 1M wengi wengi ili ionekane mmetoa idadi kubwa?
Haya umeyatoa wapi?Kuna ujinga mkubwa sana HESLB na pia maamuzi ya kipuuzi kabisa.
Wanawapa wanafunzi mkopo wa chakula na malazi bila masomo?
Mtu mwenye uelewa atatoa kwa kipaumbele;
1. Tuition
2. Meals
3. Accommodation.
Common senseHaya umeyatoa wapi?