Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkusanyaji wa hizo zote ni JPMKhaaaa,
Miaka 5 wanafunzi wapya 32,000
Miezi 6 wanafunzi wapya 29,000
Samia ni moto mkali aiseeeee
Sio wote halafu mkopo wametoa nusu nusu mno that why wameongezeka eb ngoja batch zote ziiishe ndo tuongee vizuri
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Budget sio shida shida ni wanufaika wamenufaika kama zinavyosema media si tuataamini vp kweli iyo pesa imetengwa bila kuona vijana wakipata kwa utimilifuKama ni nusu hebu onyesha tofauti kwenye kiwango cha pesa uone bado mama kampiga Mwendazake gap kubwa.
Duh wale waliokuwa wanalia hawajapata mikopo wallikuwa wa Nchi gani?Ikumbukwe wanafunzi wanazidi kuongezeka kila mwaka idadi ya wanafunzi last years sio sawa na mwaka huu
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Umeongea point kubwa sana,yaani wengi wamepata asilimia 30%Sio wote halafu mkopo wametoa nusu nusu mno that why wameongezeka eb ngoja batch zote ziiishe ndo tuongee vizuri
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hawa ni wapiga mapambio,na shida kubwa iliyopo sasa hivi waandishi wanaongwa wasiandike kitu kibaya,hii awamu ni mbaya zaidiUkisoma taarifa hii ni Nzuri sana Literally lakini mmejaribu kufatilia hizo hela njisi zilivyotolewa kwa hao Vijana??
Kitu ambacho kinashitua Allocation kwa wanafunzi wote zimetoka za mwaka Mmoja swali linakuja Je Miaka Mingine vipi itakuaje?...
Hakuna mwaka toka system ya mikopo ianze, wanafunzi wote wakapata 100%. Mabest zangu wote toka A-level wamepata mkopo, na aliyepata kiwango cha chini kabisa ni 70%. Wengi wetu ni 100%, Ni full kicheko kwetu sote hata hao wa 70%.Sio wote halafu mkopo wametoa nusu nusu mno that why wameongezeka eb ngoja batch zote ziiishe ndo tuongee vizuri
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂 nchi inaenda kubaya zaidi,kumbuka hapo wanajitahidi kupambana na benchmark iliyoachwa,fikiria wangekuwa hawana benchmark hali ingekuwa mbaya zaidiasilimia 50 ya wanafunzi wamepewa boom tuuu.... sasa haya kama ni mafanikio sawa..... yani uwe na wanafunzi karibu elfu 50 wanapewa boom tuu halafu yawe mafanikio kweli? wengi wanashindwa kulipa ada...
Hiyo takwimu ya 50% umeipata wapi? Au ndio kwa kuwapigia marafiki na kujua wamepata ngapi? Tafadhali kabla sijaenda mbali kujadili hoja, nakusihi uzishushe takwimu na chanzo.asilimia 50 ya wanafunzi wamepewa boom tuuu.... sasa haya kama ni mafanikio sawa..... yani uwe na wanafunzi karibu elfu 50 wanapewa boom tuu halafu yawe mafanikio kweli? wengi wanashindwa kulipa ada..
Acheni kutoa hoja kwa hisia. Unasema utakuta.... Hivi ukweli upo vipi?Ni kweli hili nalo linaweza kuwa neno yaani unaweza kuta mwanafunzi ni masikini lakini kapewa hela ya accomodation na meal tena nusu na ada hapewi na unaweza kuta mwanafunzi kwao wanajiweza ila kapewa mkopo wote au asilimia kubwa.