FY2021|22 HESLB imesajili wanafunzi wapya elfu 29 tofauti na elfu 32 wapya waliosajiliwa FY2016|2020

Hamna kitu waluwe luwe tu. Ni JK tu ndiye aliyeweza kunufaisha wengi. Hawa wengine waendekeza matabaka tu!
 
Huwa tuna haraka ya kusifia halafu badae tunabaki na mshangao hahaha wabongo wepesi sana kusahau wallahi.
 
Hongera
 
Hongera sana mama Samia
 
tafteni pesa achen kutegemea mikopo iwasomeshe, serkali inafanya biashara kwenye bodi ya mikopo ndyomaana hakuna usawa wala hawajali sana umuhimu kwa walengwa(masikini&mayatima).

utashangaa wasio na vigezo kupata mikopo na wenye vigezo kukosa, sasa tofaut mikopo ya serkali na mikopo ya mabenki kudai vithibitisho vya ajira&udhamini il ukopesheke, ni nin kama sio biashara?

taften pesa na muache kulia lia, mikopo sio haki ya kila mtu, bali ni bahati ya watu ktk kundi la watu..

ukishindwa kusoma bila madeni rudi mtaani ufanye mambi mengine, acha kujaza nafasi vyuon kam huns uwezo
 
Unamaanisha tusisome?

Au kama kunasera kingamizi zitatuliwe?
 
Nimekuelewa sana Mkuu hapa
 
Huyu mama hata kama utamchukia ila utampenda tu,

Huyu Rais kwakweli sio mbinafsi na anapenda watu wake kwa thati,

Tunakupenda sana Mama Samia,
 
Hongera sana Rais Samia mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu hiki kilikuwa ni kilio cha Watanzania wa kipato cha

Eb acha siasa kwa boom la wa 25 wawape nusu nusu watu 40 alafu useme wameongeza. nini sasa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Uko sahihi kabisaa yaan walichofanya ni kuchukua hela ya kuwapa wanafunzi wa5 then wanazigawa kwa wanafunzi 20 na ada zenyewe zilizolipwa ni ndogo xana kiac kwamba kwa wengine itakuwa ngumu kuanza chuo kwa kigezo cha kuxhindwa kulipa nuxu ada inayohitajika ili mwanafunzi axajiliwe
 
Safi sana
 
zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…