Rais wa Matajiri
JF-Expert Member
- Sep 14, 2018
- 1,522
- 643
Rais Samia ajengewe mnara haraka, wazo langu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😍😍😍
Hamna kitu waluwe luwe tu. Ni JK tu ndiye aliyeweza kunufaisha wengi. Hawa wengine waendekeza matabaka tu!Kwamiezi sita tu ya awamu ya sita Rais Samia ameongeza Jumla ya wanafunzi wanufaika 29,117 wa HESLB,Mtakumbuka miaka mitano ya awamu ya tano tuliongeza wanafunzi 32,583,God's Good
Mpaka awamu ya nne inaondoka madarakani FY2015|16 kulikuwa na Jumla ya wanafunzi 98'300 walionufaika na mikopo ya elimu ya juu ( HESLB ),Pia mpaka FY2020|21 wanafunzi wanufaika wa HESLB walifikia 130'883 sawa na ongezeko la wanafunzi wapya 32,583 hii ni kwa miaka mitano mfululizo ya awamu ya tano ,Maajabu ni miezi sita ya Rais Samia idadi ya wanufaika wa HESLB wamefikia 160,000 sawa na ongezeko la wanafunzi wapya 29,177 hii ni miezi sita tu ya huyu mama,Hakika mama anastahili maombi ya nguvu sana,
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Jumapili, Oktoba 17, 2021) orodha ya Awamu ya Kwanza yenye wanafunzi 37,731 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 99.9 bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo.
Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. Abdul-Razaq Badru amesema kuwa kati ya wanafunzi hao (37,731), wanaume ni 23,379 sawa na 62% na wanawake ni 14,352 sawa na 38%.
Badru ameongeza kuwa HESLB imeanza kupeleka fedha za wanafunzi waliopangiwa mikopo katika vyuo mbalimbali na kuwataka wanafunzi kupata taarifa za kina katika akaunti walizotumia kuomba mkopo maarufu kama SIPA (Student’s Individual Permanent Account) na kujiandaa kwenda vyuoni kwa ajili ya kujisajili.
“Serikali imeshatupatia fedha na tumeanza kuzipeleka vyuoni … lengo letu ni kuhakikisha wanafunzi wanaopangiwa wanazikuta fedha vyuoni ambako watajisajili na kupokea ili watimize ndoto zao,” amesema Badru.
Tarehe ya kutolewa orodha ya Awamu ya Pili
Kuhusu kutangazwa kwa orodha ya Awamu ya Pili, Badru amesema imepangwa kutolewa Alhamisi, Oktoba 21|2021 baada ya kukamilisha uchambuzi wa maombi unaoendelea na kuwataka waombaji mikopo kutembelea akaunti zao ya SIPA kupata taarifa kuhusu maombi yao.
“Orodha hii ya kwanza inajumuisha wanafunzi wenye sifa zikiwemo kuwa wahitaji, wameomba kwa usahihi na wana udahili wa chuo kimoja … tunakamilisha uchambuzi wa maombi mengine na tutaoa orodha ya pili katika siku mbili zijazo, yaani Jumatamo, Oktoba 20|2021” amesema Badru.
TZS 570 Bilioni zimetengwa kwa mikopo ya elimu ya juu FY2021|2022 Kutoka 450B za FY2020|21 na 348.7B za mwaka 2015|16,Hii ni sawa na kusema Rais Samia kwa miezi sita ameongeza Tshs 120B wakati awamu iliyopita kwa miaka mitano iliongeza Tshs 101.3B tu,Hata kama akili huna picha huoni?
Kwa mujibu wa Badru, Serikali imetenga TZS 570 bilioni kwa ajili ya mikopo ya jumla ya wanafunzi 160,000. Kati yao, wanafunzi 70,000 watakuwa ni wanufaika wapya na wanafunzi zaidi ya 90,000 ni wale wanaoendelea na masomo baada ya kufaulu mitihani yao ya mwaka.
Fedha zimeanza kutumwa vyuoni
Wakati huohuo, Badru amesema HESLB imeshapokea fedha kwa ajili ya malipo ya wanafunzi na taratibu za malipo zimeanza ili fedha hizo ziwe zimefika vyuoni kuanzia Jumanne, Oktoba 19|2021
Aidha, Bodi inapenda kuwasihi waombaji wa mikopo kuwa watulivu wakati mchakato wa upangaji wa mikopo kwa wanafunzi wenye sifa kwa awamu inayofuata ukiendelea.
Sio kweli kila mtu anapata mkopo vizuri tena kwa wakatiHamna kitu waluwe luwe tu. Ni JK tu ndiye aliyeweza kunufaisha wengi. Hawa wengine waendekeza matabaka tu!
😍😍Mama ananipa raha sana aise
😍😍
HongeraKwamiezi sita tu ya awamu ya sita Rais Samia ameongeza Jumla ya wanafunzi wanufaika 29,117 wa HESLB,Mtakumbuka miaka mitano ya awamu ya tano tuliongeza wanafunzi 32,583,God's Good
Mpaka awamu ya nne inaondoka madarakani FY2015|16 kulikuwa na Jumla ya wanafunzi 98'300 walionufaika na mikopo ya elimu ya juu ( HESLB ),Pia mpaka FY2020|21 wanafunzi wanufaika wa HESLB walifikia 130'883 sawa na ongezeko la wanafunzi wapya 32,583 hii ni kwa miaka mitano mfululizo ya awamu ya tano ,Maajabu ni miezi sita ya Rais Samia idadi ya wanufaika wa HESLB wamefikia 160,000 sawa na ongezeko la wanafunzi wapya 29,177 hii ni miezi sita tu ya huyu mama,Hakika mama anastahili maombi ya nguvu sana,
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Jumapili, Oktoba 17, 2021) orodha ya Awamu ya Kwanza yenye wanafunzi 37,731 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 99.9 bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo.
Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. Abdul-Razaq Badru amesema kuwa kati ya wanafunzi hao (37,731), wanaume ni 23,379 sawa na 62% na wanawake ni 14,352 sawa na 38%.
Badru ameongeza kuwa HESLB imeanza kupeleka fedha za wanafunzi waliopangiwa mikopo katika vyuo mbalimbali na kuwataka wanafunzi kupata taarifa za kina katika akaunti walizotumia kuomba mkopo maarufu kama SIPA (Student’s Individual Permanent Account) na kujiandaa kwenda vyuoni kwa ajili ya kujisajili.
“Serikali imeshatupatia fedha na tumeanza kuzipeleka vyuoni … lengo letu ni kuhakikisha wanafunzi wanaopangiwa wanazikuta fedha vyuoni ambako watajisajili na kupokea ili watimize ndoto zao,” amesema Badru.
Tarehe ya kutolewa orodha ya Awamu ya Pili
Kuhusu kutangazwa kwa orodha ya Awamu ya Pili, Badru amesema imepangwa kutolewa Alhamisi, Oktoba 21|2021 baada ya kukamilisha uchambuzi wa maombi unaoendelea na kuwataka waombaji mikopo kutembelea akaunti zao ya SIPA kupata taarifa kuhusu maombi yao.
“Orodha hii ya kwanza inajumuisha wanafunzi wenye sifa zikiwemo kuwa wahitaji, wameomba kwa usahihi na wana udahili wa chuo kimoja … tunakamilisha uchambuzi wa maombi mengine na tutaoa orodha ya pili katika siku mbili zijazo, yaani Jumatamo, Oktoba 20|2021” amesema Badru.
TZS 570 Bilioni zimetengwa kwa mikopo ya elimu ya juu FY2021|2022 Kutoka 450B za FY2020|21 na 348.7B za mwaka 2015|16,Hii ni sawa na kusema Rais Samia kwa miezi sita ameongeza Tshs 120B wakati awamu iliyopita kwa miaka mitano iliongeza Tshs 101.3B tu,Hata kama akili huna picha huoni?
Kwa mujibu wa Badru, Serikali imetenga TZS 570 bilioni kwa ajili ya mikopo ya jumla ya wanafunzi 160,000. Kati yao, wanafunzi 70,000 watakuwa ni wanufaika wapya na wanafunzi zaidi ya 90,000 ni wale wanaoendelea na masomo baada ya kufaulu mitihani yao ya mwaka.
Fedha zimeanza kutumwa vyuoni
Wakati huohuo, Badru amesema HESLB imeshapokea fedha kwa ajili ya malipo ya wanafunzi na taratibu za malipo zimeanza ili fedha hizo ziwe zimefika vyuoni kuanzia Jumanne, Oktoba 19|2021
Aidha, Bodi inapenda kuwasihi waombaji wa mikopo kuwa watulivu wakati mchakato wa upangaji wa mikopo kwa wanafunzi wenye sifa kwa awamu inayofuata ukiendelea.
Hongera sana mama SamiaKwamiezi sita tu ya awamu ya sita Rais Samia ameongeza Jumla ya wanafunzi wanufaika 29,117 wa HESLB,Mtakumbuka miaka mitano ya awamu ya tano tuliongeza wanafunzi 32,583,God's Good

Ever yaani,
DaahHamna kitu waluwe luwe tu. Ni JK tu ndiye aliyeweza kunufaisha wengi. Hawa wengine waendekeza matabaka tu!
Unamaanisha tusisome?tafteni pesa achen kutegemea mikopo iwasomeshe, serkali inafanya biashara kwenye bodi ya mikopo ndyomaana hakuna usawa wala hawajali sana umuhimu kwa walengwa(masikini&mayatima).
utashangaa wasio na vigezo kupata mikopo na wenye vigezo kukosa, sasa tofaut mikopo ya serkali na mikopo ya mabenki kudai vithibitisho vya ajira&udhamini il ukopesheke, ni nin kama sio biashara?
taften pesa na muache kulia lia, mikopo sio haki ya kila mtu, bali ni bahati ya watu ktk kundi la watu..
ukishindwa kusoma bila madeni rudi mtaani ufanye mambi mengine, acha kujaza nafasi vyuon kam huns uwezo
Unamaanisha tusisome?
Au kama kunasera kingamizi zitatuliwe?aji
Nimekuelewa sana Mkuu hapaMama anasema kwenye historia yake hajawahi shindana na mtu akashidwa 😃😃..
Watu wa dizaini yake huwa ni wachache sana,nimewahi kuwa na mwanamke wa aina yake yaani wenye nyota zao toka kwa mzazi wake alikuwa anatunza pesa za familia yaani baba hampi mke wake ila binti yake.
Shuleni kiongozi sio hata kwamba eti kupanga wala,popote akowapo anaaminika haraka Sana na ushuhuda huu haukuishia kwenye hayo tuu hadi biashara na chochyanachofanya kinafanikiwa..
Nilimuogopa nikakimbia maana mkuu unaweza kuolewa 🤣🤣..
Sasa hivi huyo dada ana pesa zake za kutosha ila mambo ya ndoa ndio hayajakaa sawa hapo ndipo kwenye mateso yake ila sio pesa..
Kwa hiyo watu wenye nyota huwa wapo na huwa zaidi kwa wanawake kwa wanaume sio Sana maana tuna mambo mengi vichwani.
Huyu mama hata kama utamchukia ila utampenda tu,Kwamiezi sita tu ya awamu ya sita Rais Samia ameongeza Jumla ya wanafunzi wanufaika 29,117 wa HESLB,Mtakumbuka miaka mitano ya awamu ya tano tuliongeza wanafunzi 32,583,God's Good
Mpaka awamu ya nne inaondoka madarakani FY2015|16 kulikuwa na Jumla ya wanafunzi 98'300 walionufaika na mikopo ya elimu ya juu ( HESLB ),Pia mpaka FY2020|21 wanafunzi wanufaika wa HESLB walifikia 130'883 sawa na ongezeko la wanafunzi wapya 32,583 hii ni kwa miaka mitano mfululizo ya awamu ya tano ,Maajabu ni miezi sita ya Rais Samia idadi ya wanufaika wa HESLB wamefikia 160,000 sawa na ongezeko la wanafunzi wapya 29,177 hii ni miezi sita tu ya huyu mama,Hakika mama anastahili maombi ya nguvu sana,
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Jumapili, Oktoba 17, 2021) orodha ya Awamu ya Kwanza yenye wanafunzi 37,731 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 99.9 bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo.
Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. Abdul-Razaq Badru amesema kuwa kati ya wanafunzi hao (37,731), wanaume ni 23,379 sawa na 62% na wanawake ni 14,352 sawa na 38%.
Badru ameongeza kuwa HESLB imeanza kupeleka fedha za wanafunzi waliopangiwa mikopo katika vyuo mbalimbali na kuwataka wanafunzi kupata taarifa za kina katika akaunti walizotumia kuomba mkopo maarufu kama SIPA (Student’s Individual Permanent Account) na kujiandaa kwenda vyuoni kwa ajili ya kujisajili.
“Serikali imeshatupatia fedha na tumeanza kuzipeleka vyuoni … lengo letu ni kuhakikisha wanafunzi wanaopangiwa wanazikuta fedha vyuoni ambako watajisajili na kupokea ili watimize ndoto zao,” amesema Badru.
Tarehe ya kutolewa orodha ya Awamu ya Pili
Kuhusu kutangazwa kwa orodha ya Awamu ya Pili, Badru amesema imepangwa kutolewa Alhamisi, Oktoba 21|2021 baada ya kukamilisha uchambuzi wa maombi unaoendelea na kuwataka waombaji mikopo kutembelea akaunti zao ya SIPA kupata taarifa kuhusu maombi yao.
“Orodha hii ya kwanza inajumuisha wanafunzi wenye sifa zikiwemo kuwa wahitaji, wameomba kwa usahihi na wana udahili wa chuo kimoja … tunakamilisha uchambuzi wa maombi mengine na tutaoa orodha ya pili katika siku mbili zijazo, yaani Jumatamo, Oktoba 20|2021” amesema Badru.
TZS 570 Bilioni zimetengwa kwa mikopo ya elimu ya juu FY2021|2022 Kutoka 450B za FY2020|21 na 348.7B za mwaka 2015|16,Hii ni sawa na kusema Rais Samia kwa miezi sita ameongeza Tshs 120B wakati awamu iliyopita kwa miaka mitano iliongeza Tshs 101.3B tu,Hata kama akili huna picha huoni?
Kwa mujibu wa Badru, Serikali imetenga TZS 570 bilioni kwa ajili ya mikopo ya jumla ya wanafunzi 160,000. Kati yao, wanafunzi 70,000 watakuwa ni wanufaika wapya na wanafunzi zaidi ya 90,000 ni wale wanaoendelea na masomo baada ya kufaulu mitihani yao ya mwaka.
Fedha zimeanza kutumwa vyuoni
Wakati huohuo, Badru amesema HESLB imeshapokea fedha kwa ajili ya malipo ya wanafunzi na taratibu za malipo zimeanza ili fedha hizo ziwe zimefika vyuoni kuanzia Jumanne, Oktoba 19|2021
Aidha, Bodi inapenda kuwasihi waombaji wa mikopo kuwa watulivu wakati mchakato wa upangaji wa mikopo kwa wanafunzi wenye sifa kwa awamu inayofuata ukiendelea.
Hongera sana Rais Samia mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu hiki kilikuwa ni kilio cha Watanzania wa kipato cha
Uko sahihi kabisaa yaan walichofanya ni kuchukua hela ya kuwapa wanafunzi wa5 then wanazigawa kwa wanafunzi 20 na ada zenyewe zilizolipwa ni ndogo xana kiac kwamba kwa wengine itakuwa ngumu kuanza chuo kwa kigezo cha kuxhindwa kulipa nuxu ada inayohitajika ili mwanafunzi axajiliweEb acha siasa kwa boom la wa 25 wawape nusu nusu watu 40 alafu useme wameongeza. nini sasa
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Safi sanaKwamiezi sita tu ya awamu ya sita Rais Samia ameongeza Jumla ya wanafunzi wanufaika 29,117 wa HESLB,Mtakumbuka miaka mitano ya awamu ya tano tuliongeza wanafunzi 32,583,God's Good
Mpaka awamu ya nne inaondoka madarakani FY2015|16 kulikuwa na Jumla ya wanafunzi 98'300 walionufaika na mikopo ya elimu ya juu ( HESLB ),Pia mpaka FY2020|21 wanafunzi wanufaika wa HESLB walifikia 130'883 sawa na ongezeko la wanafunzi wapya 32,583 hii ni kwa miaka mitano mfululizo ya awamu ya tano ,Maajabu ni miezi sita ya Rais Samia idadi ya wanufaika wa HESLB wamefikia 160,000 sawa na ongezeko la wanafunzi wapya 29,177 hii ni miezi sita tu ya huyu mama,Hakika mama anastahili maombi ya nguvu sana,
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Jumapili, Oktoba 17, 2021) orodha ya Awamu ya Kwanza yenye wanafunzi 37,731 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 99.9 bilioni kwa mwaka wa masomo 2021/2022 unaotarajiwa kuanzia wiki ijayo.
Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. Abdul-Razaq Badru amesema kuwa kati ya wanafunzi hao (37,731), wanaume ni 23,379 sawa na 62% na wanawake ni 14,352 sawa na 38%.
Badru ameongeza kuwa HESLB imeanza kupeleka fedha za wanafunzi waliopangiwa mikopo katika vyuo mbalimbali na kuwataka wanafunzi kupata taarifa za kina katika akaunti walizotumia kuomba mkopo maarufu kama SIPA (Student’s Individual Permanent Account) na kujiandaa kwenda vyuoni kwa ajili ya kujisajili.
“Serikali imeshatupatia fedha na tumeanza kuzipeleka vyuoni … lengo letu ni kuhakikisha wanafunzi wanaopangiwa wanazikuta fedha vyuoni ambako watajisajili na kupokea ili watimize ndoto zao,” amesema Badru.
Tarehe ya kutolewa orodha ya Awamu ya Pili
Kuhusu kutangazwa kwa orodha ya Awamu ya Pili, Badru amesema imepangwa kutolewa Alhamisi, Oktoba 21|2021 baada ya kukamilisha uchambuzi wa maombi unaoendelea na kuwataka waombaji mikopo kutembelea akaunti zao ya SIPA kupata taarifa kuhusu maombi yao.
“Orodha hii ya kwanza inajumuisha wanafunzi wenye sifa zikiwemo kuwa wahitaji, wameomba kwa usahihi na wana udahili wa chuo kimoja … tunakamilisha uchambuzi wa maombi mengine na tutaoa orodha ya pili katika siku mbili zijazo, yaani Jumatamo, Oktoba 20|2021” amesema Badru.
TZS 570 Bilioni zimetengwa kwa mikopo ya elimu ya juu FY2021|2022 Kutoka 450B za FY2020|21 na 348.7B za mwaka 2015|16,Hii ni sawa na kusema Rais Samia kwa miezi sita ameongeza Tshs 120B wakati awamu iliyopita kwa miaka mitano iliongeza Tshs 101.3B tu,Hata kama akili huna picha huoni?
Kwa mujibu wa Badru, Serikali imetenga TZS 570 bilioni kwa ajili ya mikopo ya jumla ya wanafunzi 160,000. Kati yao, wanafunzi 70,000 watakuwa ni wanufaika wapya na wanafunzi zaidi ya 90,000 ni wale wanaoendelea na masomo baada ya kufaulu mitihani yao ya mwaka.
Fedha zimeanza kutumwa vyuoni
Wakati huohuo, Badru amesema HESLB imeshapokea fedha kwa ajili ya malipo ya wanafunzi na taratibu za malipo zimeanza ili fedha hizo ziwe zimefika vyuoni kuanzia Jumanne, Oktoba 19|2021
Aidha, Bodi inapenda kuwasihi waombaji wa mikopo kuwa watulivu wakati mchakato wa upangaji wa mikopo kwa wanafunzi wenye sifa kwa awamu inayofuata ukiendelea.
zoteUko sahihi kabisaa yaan walichofanya ni kuchukua hela ya kuwapa wanafunzi wa5 then wanazigawa kwa wanafunzi 20 na ada zenyewe zilizolipwa ni ndogo xana kiac kwamba kwa wengine itakuwa ngumu kuanza chuo kwa kigezo cha kuxhindwa kulipa nuxu ada inayohitajika ili mwanafunzi axajiliwe