FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

===
Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya ameendelea kulipa madeni mbalimbali kwa makampuni binafsi au taasisi,
===
Kwakuanzia tu mwaka huu pekee Rais Samia analipa madeni yenye thamani ya Jumla ya zaidi ya TZS11.17623Trilioni.
===
Watanzania mnapoambiwa Rais Samia ni levels zingine muelewe pamoja na kulipa madeni yote haya miradi yote ya maendeleo Mipya na yazamani inaendelea kwa speed,Pitia hii listi ya malipo

1 . Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 111.41BL ili kuwalipa watumishi wa Serikali wanaoidai Serikali,
===
Tunafahamu malipo haya yataongeza ari na nguvu zaidi kwa watumishi hawa wa Serikali kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kuwatumikia Watanzania ambao ndio waajiri wao, Je! hili si jambo jema?

2. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 264.23BL kwaajili ya kuwalipa wakandarasi wetu mbalimbali wa nje na ndani waliokuwa wanaidai Serikali,
==!
Hii itaongeza imani na uaminifu kwao katika kuendelea kutoa huduma kwa Serikali yetu ya JMT, Je! hili si jambo jema?

3. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 70.49BL kwaajili ya kuwalipa Wazabuni wetu mbalimbali waliotoa bidhaa na huduma kwa Serikali yetu,
===
Sote ni mashahidi Wazabuni wengi walikuwa wakilalamika kudaiwa mikopo benki naamini wamefuraha sasa na Wataendelea kutekeleza ilani ya CCM ya 2020-2025 bila kinyongo, Je! hili si jambo jema?

4. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 2.17BL ili kuwalipa watoa huduma mbalimbali waliokuwa wanaidai Serikali kutoka katika Wizara mbalimbali,
===
Hakika mama huyu anajicho la pekee kama hujaelewa unakwenda wapi na Rais Samia basi ni wazi wewe hujui unakotaka kwenda-Je! hili si jambo jema?

5. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 67.93BL kwaajili ya hukumu na fidia mbalimbali ambazo Serikali inadaiwa baada ya kushindwa kesi mbalimbali ili kutengeneza imani kwa wawekezaji wa ndani na nje pamoja na watu binafsi,Je! hili si jambo jema?

6. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 10.66Trilioni ili kulipia deni la Serikali pamoja na mikopo mingine kwa uwezo wa Manani kupitia Rais Samia na timu yake tutafika tena kwa kuwahi sana, Je! hili si jambo jema?

316658ce7f9d5000c44620b6fe87a53d.jpg
Safi Sana hiie
 
Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya ameendelea kulipa madeni mbalimbali kwa makampuni binafsi au taasisi
Mkuu huwa unapotosha sana, budget allocation na utekelezaji ni vitu viwili tofauti. Ni vizuri useme ni projections tu ili mwakani sasa baada ya mwaka wa bajeti kuingia last quarter ndio uje na evaluation otherwise utakua unatupa matumaini hewa.

Hata Enzi za JPM na Kikwete ilikua hivi hivi bajeti zikisomwa bungeni watu wanapiga makofi weee ila baada ya mwaka unaambiwa bajeti ya maendeleo imetekelezwa below 70% tena kwa wizara nyeti kma kilimo unakuta below 20%!!
 
Weka orodha ya waliolipwa sio kubwabwaja bila ushahidi yakini, je kama mnasingizia kulipa madeni wake mnatia mfukoni?

Kulipa madeni ya nyuma na ya sasa kwa kadri ya kuiva kwake ni kanuni ya mfumo wa kifedha kwa hiyo yeye sio mtu wa kwanza kulipa.

Mwinyi na Mkpa alikuwa akilipa madeni ya Nyerere Kikwete alikuwa akilipa madeni ya Mwinyi na Mkapa. JPM alikuwa akilipa madeni ya Mkapa na Kikwete. Samia ataendelea kulipa madeni ya Kikwete maana hayajaisha. Madeni ya JPM yatalipwa kuanzia awamu ya saba kama ipo.
 
Madeni mpaka China na USA wanadaiwa. Hawapati madeni kwa nia ya kujifurahisha tu ni katika kutimizamalengo ya muda mfupi na mrefu.
Ingekuwa mada inaarifu kuhusu juhudi za dhati za kulipa deni la ndani isingekuwa taabu. Lakini msisitizo umekuwa kwenye kulipa madeni “yaliyoshindikana muda mrefu” na hivyo kuwa kero kubwa kwa wanaodai kiasi cha kuwakatisha tamaa “kutekeleza ilani ya CCM”!

You have to wonder: who was the villain? Nani huyo aliyewatesa makandarasi, wazabuni na watumishi bila sababu ya msingi. Unatutaka tu tumshukuru Mama kwa kutoa mabilioni kulipa madeni na kumtambua kama kiongozi wa kipekee. Anatoa wapi kirahisi hayo mabilioni?

Chama kipi kilikuwa madarakani hayo madeni yakiingiwa na malipo kupuuzwa? Kututaka tu tuanze kuimba sifa kwa Mama “kwa uamuzi wake” wa kulipa madeni ni kutufanyia dharau: insulting our intelligence.
 
Mkuu huwa unapotosha sana, budget allocation na utekelezaji ni vitu viwili tofauti. Ni vizuri useme ni projections tu ili mwakani sasa baada ya mwaka wa bajeti kuingia last quarter ndio uje na evaluation otherwise utakua unatupa matumaini hewa.

Hata Enzi za JPM na Kikwete ilikua hivi hivi bajeti zikisomwa bungeni watu wanapiga makofi weee ila baada ya mwaka unaambiwa bajeti ya maendeleo imetekelezwa below 70% tena kwa wizara nyeti kma kilimo unakuta below 20%!!
Projection kwenye kulipa Deni?

Umesoma uchumi gani mkuu,

Tunaweza kusimamisha miradi ya maendeleo ila sio deni hasa la Serikali,

Jamaa yuko sahihi sana namsifu kwa kufukua fukua
 
Weka orodha ya waliolipwa sio kubwabwaja bila ushahidi yakini, je kama mnasingizia kulipa madeni wake mnatia mfukoni?

Kulipa madeni ya nyuma na ya sasa kwa kadri ya kuiva kwake ni kanuni ya mfumo wa kifedha kwa hiyo yeye sio mtu wa kwanza kulipa.

Mwinyi na Mkpa alikuwa akilipa madeni ya Nyerere Kikwete alikuwa akilipa madeni ya Mwinyi na Mkapa. JPM alikuwa akilipa madeni ya Mkapa na Kikwete. Samia ataendelea kulipa madeni ya Kikwete maana hayajaisha. Madeni ya JPM yatalipwa kuanzia awamu ya saba kama ipo.
Uko sahihi kabisa chief ila ndio hivyo mwaka huu Samia atalipa 11T,

Shida iko wapi au sijaelewa
 
Mazoea hujenga tabia ila pia tuko sahihi tunaosema hivi kwani tunamaanisha Rais Samia kama Taasisi sio Rais Samia kama Rais Samia
Rais Samia sio taasisi. Huo ni utambulisho wake binafsi. Kimarekani unaweza kumuita: Madam President.

Rais wa JMT (President of the URT) ndio taasisi.

MUHIMU: iwe kibinafsi au kitaasisi, Rais hatoi wala hagawi pesa. Ni kazi ya Bunge na Serikali. Labda kama tumefikia viwango vya Mobutu aliyefikia hatua ya kupanga na kulipa mishahara serikalini kadiri anavyojisikia.
 
Ni serikali au mama hii nchi inaendeshwa na serikali sio mtu binafsi
 
Ingekuwa mada inaarifu kuhusu juhudi za dhati za kulipa deni la ndani isingekuwa taabu. Lakini msisitizo umekuwa kwenye kulipa madeni “yaliyoshindikana muda mrefu” na hivyo kuwa kero kubwa kwa wanaodai kiasi cha kuwakatisha tamaa “kutekeleza ilani ya CCM”!

You have to wonder: who was the villain? Nani huyo aliyewatesa makandarasi, wazabuni na watumishi bila sababu ya msingi. Unatutaka tu tumshukuru Mama kwa kutoa mabilioni kulipa madeni na kumtambua kama kiongozi wa kipekee. Anatoa wapi kirahisi hayo mabilioni?

Chama kipi kilikuwa madarakani hayo madeni yakiingiwa na malipo kupuuzwa? Kututaka tu tuanze kuimba sifa kwa Mama “kwa uamuzi wake” wa kulipa madeni ni kutufanyia dharau: insulting our intelligence.
Kwanini hao waliolipwa hawakulipwa kabla?

Hoja hapa ni uimara wa Samia katika kuongoza nchi na kuondoa kero mbalimbali,

Ona pesa anayolipa madeni, ona pesa anayojenga miradi mipya na yazamni,

Rais Samia anastahili pongezi

Chama weka pembeni tunazungumzia watu hapa,
 
Rais Samia sio taasisi. Huo ni utambulisho wake binafsi. Kimarekani unaweza kumuita: Madam President.

Rais wa JMT (President of the URT) ndio taasisi.

MUHIMU: iwe kibinafsi au kitaasisi, Rais hatoi wala hagawi pesa. Ni kazi ya Bunge na Serikali. Labda kama tumefikia viwango vya Mobutu aliyefikia hatua ya kupanga na kulipa mishahara serikalini kadiri anavyojisikia.
Unasemaje kuhusu 34BL za machinga Complex,

Rais ni taasisi, Samia kwa sasa ni taasisi mjomba kichwa kigumu sana hiki
 
Projection kwenye kulipa Deni?

Umesoma uchumi gani mkuu,

Tunaweza kusimamisha miradi ya maendeleo ila sio deni hasa la Serikali,

Jamaa yuko sahihi sana namsifu kwa kufukua fukua
Sasa hayo mapato ya trillion 11 yako realised tayari by October?? Yaani hizo ni projections kutokama na makadirio ya mapato na matumizi.

So angemsifia kwa allocation lakini jinsi anavyo ripoti taarifa zake utasikia Maji yamepelekwa Billion mia kitu..... Utadhani zote zimeshaingizwa kwenye mradi kutoka hazina!! Hiko ndio napinga.

Tutakuja hapa March tusikie kuwa Maji walipewa 15% ya bajeti ya maendeleo tu!! Maana hili tatizo CAG keshalisema kwa ripoti zake zote tokea enzi za JK but halifanyiwi kazi afu mnarudia same mistake
 
Hakuna awali mbovu mkuu Nondo,
 
===
Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya ameendelea kulipa madeni mbalimbali kwa makampuni binafsi au taasisi,
===
Kwakuanzia tu mwaka huu pekee Rais Samia analipa madeni yenye thamani ya Jumla ya zaidi ya TZS11.17623Trilioni.
===
Watanzania mnapoambiwa Rais Samia ni levels zingine muelewe pamoja na kulipa madeni yote haya miradi yote ya maendeleo Mipya na yazamani inaendelea kwa speed,Pitia hii listi ya malipo

1 . Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 111.41BL ili kuwalipa watumishi wa Serikali wanaoidai Serikali,
===
Tunafahamu malipo haya yataongeza ari na nguvu zaidi kwa watumishi hawa wa Serikali kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kuwatumikia Watanzania ambao ndio waajiri wao, Je! hili si jambo jema?

2. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 264.23BL kwaajili ya kuwalipa wakandarasi wetu mbalimbali wa nje na ndani waliokuwa wanaidai Serikali,
==!
Hii itaongeza imani na uaminifu kwao katika kuendelea kutoa huduma kwa Serikali yetu ya JMT, Je! hili si jambo jema?

3. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 70.49BL kwaajili ya kuwalipa Wazabuni wetu mbalimbali waliotoa bidhaa na huduma kwa Serikali yetu,
===
Sote ni mashahidi Wazabuni wengi walikuwa wakilalamika kudaiwa mikopo benki naamini wamefuraha sasa na Wataendelea kutekeleza ilani ya CCM ya 2020-2025 bila kinyongo, Je! hili si jambo jema?

4. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 2.17BL ili kuwalipa watoa huduma mbalimbali waliokuwa wanaidai Serikali kutoka katika Wizara mbalimbali,
===
Hakika mama huyu anajicho la pekee kama hujaelewa unakwenda wapi na Rais Samia basi ni wazi wewe hujui unakotaka kwenda-Je! hili si jambo jema?

5. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 67.93BL kwaajili ya hukumu na fidia mbalimbali ambazo Serikali inadaiwa baada ya kushindwa kesi mbalimbali ili kutengeneza imani kwa wawekezaji wa ndani na nje pamoja na watu binafsi,Je! hili si jambo jema?

6. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 10.66Trilioni ili kulipia deni la Serikali pamoja na mikopo mingine kwa uwezo wa Manani kupitia Rais Samia na timu yake tutafika tena kwa kuwahi sana, Je! hili si jambo jema?

316658ce7f9d5000c44620b6fe87a53d.jpg

apenda nitoe mawazo yangu kwenye mikopo ya serikali. Nitaelezea kwa mtiririko wa utekelezaji ili niwasaidie Serikali badala ya kulalamika na kupigiana madongo

  • Mikopo yote ya serikali bila kujali awamu iangaliwe kwa kujua muda wa kulipa mikopo na riba za mikopo
  • Group 1: Mikopo yote yenye riba ndogo na miaka mingi ya kulipa. Hii ndiyo mikopo mizuri. Mfano kama una mkopo wa 5% kwa miaka 20 huu ni mkopo mzuri.
  • Group 2. Mikopo ya pili ni mikopo yenye riba ndogo lakini muda mfupi. Hii nayo ni mizuri lakini muda ndiyo tatizo
  • Group 3. Mikopo yanye riba ya juu ambayo ni zaidi ya 10% lakini muda mfupi. Hapa tatizo kubwa ni riba na huu ni mkopo mbaya
  • Group 4. Mikopo yenye riba ya juu zaidi ya 10% na ya muda mrefu. Hii ndiyo mikopo mibaya kuliko yote.
Serikali fanyeni hizi

  • Mikopo Group 3 fanyeni mpango kama mnaweza kujadili malipo kwa njia ya refinance. Hii ni kama kutafuta wawekezaji/bank ambayo inaweza kulipa hili deni na kukupa muda zaidi wa kulipa na riba nafuu. Inavyotokea ni kwamba hii bank au watoa mikopo wanalipa mkopo wote na lile deni linakuwa mkopo mpya nafuu na wa muda mrefu. Kama ni mkopo wa serikali chukueni hii mikopo na mpeni Raisi aweze kuongea na hiyo serikali husika. Wizara inatakiwa kumpa Raisi kitu ambacho kimekamilika ili akaongee nao. Mfano kama ni mkopo wa serikali ya Japan raisi anaweza kuongea na waziri mkuu wa Japan lakini ni lazima kwanza wizara ifanye kazi yake na kuwa na data zote za mikopo kwbla ya kupeleka kwa Raisi. Tatizo hakuna ubunifu na watendaji wa wizara wanabaki tu na utekelezaji badala ya kuwa wabunifu
  • Mikopo Group 4. Hii mikopo yote inabili kila mmoja uangaliwe upya na kutafuta njia zote za ku refinance. Hii ni kutafuta mkopo wa nafuu wa kulipa huu mkopo mbaya halafu mkopo mpya unakuwa wa muda mrefu zaidi na riba ya chini. Kama ni mikopo ya nchi muhusisheni Raisi!

What Is a Refinance?​

A refinance, or "refi" for short, refers to the process of revising and replacing the terms of an existing credit agreement, usually as it relates to a loan or mortgage. When a business or an individual decides to refinance a credit obligation, they effectively seek to make favorable changes to their interest rate, payment schedule, and/or other terms outlined in their contract. If approved, the borrower gets a new contract that takes the place of the original agreement.

Borrowers often choose to refinance when the interest-rate environment changes substantially, causing potential savings on debt payments from a new agreement.

Mwigulu Nchemba
 
Na vyema ueleze kuwa pia ana faida ya ziada kuwa atatumia financial instruments + assets, political and institutional assets, social and economic stability, infrastructural networks yoote hiyo ikiwa ni kazi ya mtangulizi wake
 
Analipa kutokea pesa yake mfukoni?

Tunaomba mtuwekee hapa vivid documents anavuta kiasi gani..

Pia expenses zake kwa siku tu ambazo ni kodi za wananchi
 
Back
Top Bottom