FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

Watakuja wote chama kimeshakufa

Hayo ndio matamanio yako cdm ife. Kwa bahati mbaya sana ccm sio chama cha kizazi hiki, hivyo hizo nguvu za dola haziwezi kuibeba ccm, wala kuiua cdm kwani kwetu cdm ni imani. Nadhani unazidi kuona jinsi wananchi wanavyopungua kwenye box la kura, baada ya kuona ccm wanalazimisha kukaa madarakani kwa shuruti bila ridhaa yao. Huo ni ushahidi kuwa ccm sio chama cha kizazi hiki.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK

Upo kama msukule vile hongera
 
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾🙌🏾

Analipa madeni kisha amekopa 1.3t! Uza ubongo huo bro. Hiyo 1Ot aliyotoa kamlipa nani na kaitoa wapi? Kama makusanyo kwa mwaka mwaka ni 23t, na matumizi ni 20t+, hiyo 10t kaitoa wapi wakati hana hata mwaka madarakani? Hivi umetuonaje mpigaji propaganda mfu?
 
Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya anaendelea kulipa madeni mbalimbali kwa watu binafsi au taasisi na kwakuanzia tu mwaka huu pekee analipa madeni yenye thamani ya Jumla ya fedha TZS11.17623Trilioni.

Watanzania mnapoambiwa Rais Samia ni levels zingine muelewe tu na mumuombee mzigo huu mabegani mwake ni mzito sana na unahitaji neema ya Mungu kuufikisha, Angalia hii

1 . Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 111.41BL ili kuwalipa watumishi wa Serikali wanaoidai Serikali,malipo haya yataongeza ari na nguvu zaidi kwa watumishi hawa katika kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kuwatumikia Watanzania ambao ndio waajiri wao, Je! hili si jambo jema?

2. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 264.23BL kwaajili ya kuwalipa wakandarasi wetu mbalimbali wa nje na ndani waliokuwa wanaidai Serikali ili kuongeza imani na uaminifu kwao katika kuendelea kutoa huduma kwa Serikali yetu ya JMT, Je! hili si jambo jema?

3. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 70.49BL kwaajili ya kuwalipa Wazabuni mbalimbali waliotoa bidhaa na huduma kwa Serikal,wote mtakumbuka Wazabuni wengi walikuwa wanalalamika kudaiwa mikopo benki naamini wamefuraha sasa na Wataendelea kutekeleza ilani ya CCM ya 2020-2025 bila kinyongo, Je! hili si jambo jema?

4. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 2.17BL ili kuwalipa watoa huduma mbalimbali waliokuwa wanaidai Serikali kutoka katika Wizara mbalimbali,Hakika mama huyu anajicho la pekee kama hujaelewa unakwenda wapi na Rais Samia basi ni wazi wewe utakuwa hujui unakotaka kwenda-Je! hili si jambo jema?

5. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 67.93BL kwaajili ya hukumu na fidia mbalimbali ambazo Serikali inadaiwa baada ya kushindwa kesi mbalimbali ili kutengeneza imani kwa wawekezaji wa ndani na nje pamoja na watu binafsi,Je! hili si jambo jema?

6. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 10.66Trilioni ili kulipia deni la Serikali pamoja na mikopo mingine hakika mzigo ni mkubwa ila kwa uwezo wa Manani kupitia Rais Samia tutafika tena kwa kuwahi, Je! hili si jambo jema?

316658ce7f9d5000c44620b6fe87a53d.jpg
Watanzania acheni kufanya wenzenu wajinga, ametoa kutoka wapi wakati ni kodi na hiyo mikopo tutalipa wenywe? wananchi tunakatwa kodi kubwa, kuna tozo kama zote kwenye simu, tozo kwenye kununua luku, achilia mbali zile za kimya kimya kwenye manunuzi ya petrol na VAT.
 
Urais ni taasisi mjomba mbona wagumu kuelewa nyie khaaa
 
Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya anaendelea kulipa madeni mbalimbali kwa watu binafsi au taasisi na kwakuanzia tu mwaka huu pekee analipa madeni yenye thamani ya Jumla ya fedha TZS11.17623Trilioni.

Watanzania mnapoambiwa Rais Samia ni levels zingine muelewe tu na mumuombee mzigo huu mabegani mwake ni mzito sana na unahitaji neema ya Mungu kuufikisha, Angalia hii

1 . Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 111.41BL ili kuwalipa watumishi wa Serikali wanaoidai Serikali,malipo haya yataongeza ari na nguvu zaidi kwa watumishi hawa katika kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kuwatumikia Watanzania ambao ndio waajiri wao, Je! hili si jambo jema?

2. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 264.23BL kwaajili ya kuwalipa wakandarasi wetu mbalimbali wa nje na ndani waliokuwa wanaidai Serikali ili kuongeza imani na uaminifu kwao katika kuendelea kutoa huduma kwa Serikali yetu ya JMT, Je! hili si jambo jema?

3. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 70.49BL kwaajili ya kuwalipa Wazabuni mbalimbali waliotoa bidhaa na huduma kwa Serikal,wote mtakumbuka Wazabuni wengi walikuwa wanalalamika kudaiwa mikopo benki naamini wamefuraha sasa na Wataendelea kutekeleza ilani ya CCM ya 2020-2025 bila kinyongo, Je! hili si jambo jema?

4. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 2.17BL ili kuwalipa watoa huduma mbalimbali waliokuwa wanaidai Serikali kutoka katika Wizara mbalimbali,Hakika mama huyu anajicho la pekee kama hujaelewa unakwenda wapi na Rais Samia basi ni wazi wewe utakuwa hujui unakotaka kwenda-Je! hili si jambo jema?

5. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 67.93BL kwaajili ya hukumu na fidia mbalimbali ambazo Serikali inadaiwa baada ya kushindwa kesi mbalimbali ili kutengeneza imani kwa wawekezaji wa ndani na nje pamoja na watu binafsi,Je! hili si jambo jema?

6. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 10.66Trilioni ili kulipia deni la Serikali pamoja na mikopo mingine hakika mzigo ni mkubwa ila kwa uwezo wa Manani kupitia Rais Samia tutafika tena kwa kuwahi, Je! hili si jambo jema?

316658ce7f9d5000c44620b6fe87a53d.jpg
Yaap mama,

Tuko nawewe mama go-go,
 
Mama hongera sana,
 
Samia mwisho wake ni 2015.

Hayo madeni yameletwa na chama gani? Hata yeye bado ataacha madeni mengi tu, kwa hiyo atakae chukua nchi baada yake na yeye ajisifu, sio? Ama hiyo mikopo atailipa kabla hajaondoka?

Ccm hata wakipewa miaka 1000 ngonjera ni hizi hizi.
Amka usingizini, ni 2021 hii.
 
Back
Top Bottom