FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

Ninafikiri huyu ni Samia mwenyewe anajipigia promo..maana post zake ni kujikweza tuuu mwanzo mwisho.

Fanya kazi mama, ni wajibu wako. Huna sababu ya kujinadi kiasi hicho.
Kibaya kinajitembeza ila kizuri siku zote hujiuza.
Una fikra kama zangu
Huyu jamaa ni either samia mwenyewe au msaidizi wake wa karibu huwa anamtuma aje alete uharo wake humu
 
Kesho utasema Rais Samia hajafanya kitu,

Leo fahamu tu mwaka huu atalipa madeni TZS 11T ,ili unapolaumu jua kabisa hili pia lilifanyika
Yaani wewe leo ukope mwenyewe, kesho nikusifie kulilipa deni ulokopa mwenyewe?mimi ntakua Kichaa!!
 
Una fikra kama zangu
Huyu jamaa ni either samia mwenyewe au msaidizi wake wa karibu huwa anamtuma aje alete uharo wake humu
Poleni sana,

Bahati mbaya sana mimi hakuna kiongozi yeyote anayenifahamu wala kunituma isipokuwa naipenda Sana Tanzania yangu,

Sina nchi nyingine mimi zaidi ya Tanzania,

nitafia hapa na kuzikwa hapa, ,

Ninaowatoto wadogo natamani wakute Tanzania iliyoimara yenye upendo na amani,

Nikimuangalia Rais Samia nayaona yote haya kwake ndio maana nitamsemea wakati wote nipatapo nafasi,

Mimi silipwi hata mia, wala situmwi na yeyote,

Mimi naamini zaidi kwenye facts hasa namba siamini kwenye uongo na unafiki

uwe na amanib tele,

#KAZIIENDELEE
 
Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya anaendelea kulipa madeni mbalimbali kwa watu binafsi au taasisi na kwakuanzia tu mwaka huu pekee analipa madeni yenye thamani ya Jumla ya fedha TZS11.17623Trilioni.

Watanzania mnapoambiwa Rais Samia ni levels zingine muelewe tu na mumuombee mzigo huu mabegani mwake ni mzito sana na unahitaji neema ya Mungu kuufikisha, Angalia hii

1 . Mama ametoa TZS 111.41BL ili kuwalipa watumishi wa Serikali wanaoidai Serikali,malipo haya yataongeza ari na nguvu zaidi kwa watumishi hawa katika kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kuwatumikia Watanzania ambao ndio waajiri wao, Je! hili si jambo jema?

2. Mama ametoa Jumla ya fedha TZS 264.23BL kwaajili ya kuwalipa wakandarasi wetu mbalimbali wa nje na ndani waliokuwa wanaidai Serikali ili kuongeza imani na uaminifu kwao katika kuendelea kutoa huduma kwa Serikali yetu ya JMT, Je! hili si jambo jema?

3. Mama ametoa Jumla ya fedha TZS 70.49BL kwaajili ya kuwalipa Wazabuni mbalimbali waliotoa bidhaa na huduma kwa Serikal,wote mtakumbuka Wazabuni wengi walikuwa wanalalamika kudaiwa mikopo benki naamini wamefuraha sasa na Wataendelea kutekeleza ilani ya CCM ya 2020-2025 bila kinyongo, Je! hili si jambo jema?

4. Mama ametoa TZS 2.17BL ili kuwalipa watoa huduma mbalimbali waliokuwa wanaidai Serikali kutoka katika Wizara mbalimbali,Hakika mama huyu anajicho la pekee kama hujaelewa unakwenda wapi na Rais Samia basi ni wazi wewe utakuwa hujui unakotaka kwenda-Je! hili si jambo jema?

5. Mama ametoa Jumla ya fedha TZS 67.93BL kwaajili ya hukumu na fidia mbalimbali ambazo Serikali inadaiwa baada ya kushindwa kesi mbalimbali ili kutengeneza imani kwa wawekezaji wa ndani na nje pamoja na watu binafsi,Je! hili si jambo jema?

6. Mama ametoa jumla ya fedha TZS 10.66Trilioni ili kulipia deni la Serikali pamoja na mikopo mingine hakika mzigo ni mkubwa ila kwa uwezo wa Manani kupitia Rais Samia tutafika tena kwa kuwahi, Je! hili si jambo jema?

View attachment 2003891
Wewe chawa komaa lakini too late , Magufuli kaondoka kasanua kila kitu ,hayupo mdanganyika yoyote tena nchini,mnaangaliwa tu kwenye bainokla,muda ukifika hamtoamini kitakachotokea
 
Kakopa nani mkuu,Ila fahamu mwaka huu mengi yamelipwa so relax
Nimelarax sana mkuu. Kwa ushauri tu.mnakosea sana kusema Mama kalipa hiki ama kile, kwa muktadha huu mnamtwisha mama Mzigo hata usio wake. Kwa mfano kulaumu Rais badala ya Serikali iliyochini ya chama hamuoni kama mnakosea?.Fikililieni Vizuri!!
 
Wewe chawa komaa lakini too late , Magufuli kaondoka kasanua kila kitu ,hayupo mdanganyika yoyote tena nchini,mnaangaliwa tu kwenye bainokla,muda ukifika hamtoamini kitakachotokea
Acha kumtaja mpendwa wetu kwenye mambo ya shari na uongo, mwache apumzike,

Amesanua nini?
 
Nimelarax sana mkuu. Kwa ushauri tu.mnakosea sana kusema Mama kalipa hiki ama kile, kwa muktadha huu mnamtwisha mama Mzigo hata usio wake. Kwa mfano kulaumu Rais badala ya Serikali iliyochini ya chama hamuoni kama mnakosea?.Fikililieni Vizuri!!
Mbona mambo yakienda vibaya mnamlaumu yeye?

Why yakiwa vizuri asiwe yeye pia?

Kwani kunashida gani hapo?
 
Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya anaendelea kulipa madeni mbalimbali kwa watu binafsi au taasisi na kwakuanzia tu mwaka huu pekee analipa madeni yenye thamani ya Jumla ya fedha TZS11.17623Trilioni.

Watanzania mnapoambiwa Rais Samia ni levels zingine muelewe tu na mumuombee mzigo huu mabegani mwake ni mzito sana na unahitaji neema ya Mungu kuufikisha, Angalia hii

1 . Mama ametoa TZS 111.41BL ili kuwalipa watumishi wa Serikali wanaoidai Serikali,malipo haya yataongeza ari na nguvu zaidi kwa watumishi hawa katika kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kuwatumikia Watanzania ambao ndio waajiri wao, Je! hili si jambo jema?

2. Mama ametoa Jumla ya fedha TZS 264.23BL kwaajili ya kuwalipa wakandarasi wetu mbalimbali wa nje na ndani waliokuwa wanaidai Serikali ili kuongeza imani na uaminifu kwao katika kuendelea kutoa huduma kwa Serikali yetu ya JMT, Je! hili si jambo jema?

3. Mama ametoa Jumla ya fedha TZS 70.49BL kwaajili ya kuwalipa Wazabuni mbalimbali waliotoa bidhaa na huduma kwa Serikal,wote mtakumbuka Wazabuni wengi walikuwa wanalalamika kudaiwa mikopo benki naamini wamefuraha sasa na Wataendelea kutekeleza ilani ya CCM ya 2020-2025 bila kinyongo, Je! hili si jambo jema?

4. Mama ametoa TZS 2.17BL ili kuwalipa watoa huduma mbalimbali waliokuwa wanaidai Serikali kutoka katika Wizara mbalimbali,Hakika mama huyu anajicho la pekee kama hujaelewa unakwenda wapi na Rais Samia basi ni wazi wewe utakuwa hujui unakotaka kwenda-Je! hili si jambo jema?

5. Mama ametoa Jumla ya fedha TZS 67.93BL kwaajili ya hukumu na fidia mbalimbali ambazo Serikali inadaiwa baada ya kushindwa kesi mbalimbali ili kutengeneza imani kwa wawekezaji wa ndani na nje pamoja na watu binafsi,Je! hili si jambo jema?

6. Mama ametoa jumla ya fedha TZS 10.66Trilioni ili kulipia deni la Serikali pamoja na mikopo mingine hakika mzigo ni mkubwa ila kwa uwezo wa Manani kupitia Rais Samia tutafika tena kwa kuwahi, Je! hili si jambo jema?

View attachment 2003891

Analipa madeni kisha amekopa 1.3t! Uza ubongo huo bro. Hiyo 1Ot aliyotoa kamlipa nani na kaitoa wapi? Kama makusanyo kwa mwaka mwaka ni 23t, na matumizi ni 20t+, hiyo 10t kaitoa wapi wakati hana hata mwaka madarakani? Hivi umetuonaje mpigaji propaganda mfu?
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya anaendelea kulipa madeni mbalimbali kwa watu binafsi au taasisi na kwakuanzia tu mwaka huu pekee analipa madeni yenye thamani ya Jumla ya fedha TZS11.17623Trilioni.

Watanzania mnapoambiwa Rais Samia ni levels zingine muelewe tu na mumuombee mzigo huu mabegani mwake ni mzito sana na unahitaji neema ya Mungu kuufikisha, Angalia hii

1 . Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 111.41BL ili kuwalipa watumishi wa Serikali wanaoidai Serikali,malipo haya yataongeza ari na nguvu zaidi kwa watumishi hawa katika kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kuwatumikia Watanzania ambao ndio waajiri wao, Je! hili si jambo jema?

2. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 264.23BL kwaajili ya kuwalipa wakandarasi wetu mbalimbali wa nje na ndani waliokuwa wanaidai Serikali ili kuongeza imani na uaminifu kwao katika kuendelea kutoa huduma kwa Serikali yetu ya JMT, Je! hili si jambo jema?

3. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 70.49BL kwaajili ya kuwalipa Wazabuni mbalimbali waliotoa bidhaa na huduma kwa Serikal,wote mtakumbuka Wazabuni wengi walikuwa wanalalamika kudaiwa mikopo benki naamini wamefuraha sasa na Wataendelea kutekeleza ilani ya CCM ya 2020-2025 bila kinyongo, Je! hili si jambo jema?

4. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 2.17BL ili kuwalipa watoa huduma mbalimbali waliokuwa wanaidai Serikali kutoka katika Wizara mbalimbali,Hakika mama huyu anajicho la pekee kama hujaelewa unakwenda wapi na Rais Samia basi ni wazi wewe utakuwa hujui unakotaka kwenda-Je! hili si jambo jema?

5. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 67.93BL kwaajili ya hukumu na fidia mbalimbali ambazo Serikali inadaiwa baada ya kushindwa kesi mbalimbali ili kutengeneza imani kwa wawekezaji wa ndani na nje pamoja na watu binafsi,Je! hili si jambo jema?

6. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 10.66Trilioni ili kulipia deni la Serikali pamoja na mikopo mingine hakika mzigo ni mkubwa ila kwa uwezo wa Manani kupitia Rais Samia tutafika tena kwa kuwahi, Je! hili si jambo jema?

View attachment 2003891
Pacha hongera sana mkuu,

Kazi unayofanya ni kubwa kwa mustakabali wa nchi wa leo na kesho,

Hakuna kama Samia na huo ndio ukweli,
 
Analipa madeni kisha amekopa 1.3t! Uza ubongo huo bro. Hiyo 1Ot aliyotoa kamlipa nani na kaitoa wapi? Kama makusanyo kwa mwaka mwaka ni 23t, na matumizi ni 20t+, hiyo 10t kaitoa wapi wakati hana hata mwaka madarakani? Hivi umetuonaje mpigaji propaganda mfu?bona

Mbona kaandika anaendelea kulipa wewe unaionaje hiyo?
 
Analipa madeni kisha amekopa 1.3t! Uza ubongo huo bro. Hiyo 1Ot aliyotoa kamlipa nani na kaitoa wapi? Kama makusanyo kwa mwaka mwaka ni 23t, na matumizi ni 20t+, hiyo 10t kaitoa wapi wakati hana hata mwaka madarakani? Hivi umetuonaje mpigaji propaganda mfu?
Nilishakwambia njoo CCM
 
Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya anaendelea kulipa madeni mbalimbali kwa watu binafsi au taasisi na kwakuanzia tu mwaka huu pekee analipa madeni yenye thamani ya Jumla ya fedha TZS11.17623Trilioni.

Watanzania mnapoambiwa Rais Samia ni levels zingine muelewe tu na mumuombee mzigo huu mabegani mwake ni mzito sana na unahitaji neema ya Mungu kuufikisha, Angalia hii

1 . Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 111.41BL ili kuwalipa watumishi wa Serikali wanaoidai Serikali,malipo haya yataongeza ari na nguvu zaidi kwa watumishi hawa katika kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili kuwatumikia Watanzania ambao ndio waajiri wao, Je! hili si jambo jema?

2. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 264.23BL kwaajili ya kuwalipa wakandarasi wetu mbalimbali wa nje na ndani waliokuwa wanaidai Serikali ili kuongeza imani na uaminifu kwao katika kuendelea kutoa huduma kwa Serikali yetu ya JMT, Je! hili si jambo jema?

3. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 70.49BL kwaajili ya kuwalipa Wazabuni mbalimbali waliotoa bidhaa na huduma kwa Serikal,wote mtakumbuka Wazabuni wengi walikuwa wanalalamika kudaiwa mikopo benki naamini wamefuraha sasa na Wataendelea kutekeleza ilani ya CCM ya 2020-2025 bila kinyongo, Je! hili si jambo jema?

4. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 2.17BL ili kuwalipa watoa huduma mbalimbali waliokuwa wanaidai Serikali kutoka katika Wizara mbalimbali,Hakika mama huyu anajicho la pekee kama hujaelewa unakwenda wapi na Rais Samia basi ni wazi wewe utakuwa hujui unakotaka kwenda-Je! hili si jambo jema?

5. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 67.93BL kwaajili ya hukumu na fidia mbalimbali ambazo Serikali inadaiwa baada ya kushindwa kesi mbalimbali ili kutengeneza imani kwa wawekezaji wa ndani na nje pamoja na watu binafsi,Je! hili si jambo jema?

6. Mama ametoa Jumla ya fedha kiasi cha TZS 10.66Trilioni ili kulipia deni la Serikali pamoja na mikopo mingine hakika mzigo ni mkubwa ila kwa uwezo wa Manani kupitia Rais Samia tutafika tena kwa kuwahi, Je! hili si jambo jema?

View attachment 2003891
Hakika huyu mama anastahili pongezi,
Tuache maitikadi tujali hiki anachokifanya Rais wetu kipenzi,
10trl madeni ya mwaka khaaa
 
Back
Top Bottom