FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

WATOTO WA UJERUMANI HAWA SIJUI WATAACHA LINI ILI TUKAJEGE UKUTA KWENYE HIFATHI ZA WANYAMA PAMOJA NA KUWEKA SCHEMU ZA UMWAGILIAJI

1. MBUGA YA MIKUMI

2.HIFADHI YA KATAVI

3. MLIMA KILIMANJARO

4. HIFATHI YA SEREGETI
Nijambo jema ila gharama ni kubwa sana lakini Mirerani case study haisapoti hayo mengine
 
Daah madeni ya watumishi,
Daah madeni ya wazabuni,
Daah madeni ya wakandarasi
Daah madeni ya watoa huduma

Kweli haya yaliachwa na Mwl, Mwinyi,Mkapa na JK,??!!

KWANINI HAMTAKI KUONA UIMARA WA MAMA?
madeni ni madeni ,yy kalipa hayo na Tena atakopa world bank ,au I MF, n.k ,pia atayaacha na mwngne naye anaweza lipa ,na asmalize .nchi hii haijawahi kukosa madeni. inshort tunataka kuona vitu vyakuon3kana,inshu ya madeni iache Kama ilivyo
 
Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya anaendelea kulipa madeni mbalimbali na kwa kuanzia tu mwaka huu pekee analipa madeni yenye Jumla ya TZS11.17623Trilioni.
===
Daah am speechless,

Mbona mama anapatia sana,
Kwanini wengine walishindwa?
Niko na mama wakati wote mniombee
 
madeni ni madeni ,yy kalipa hayo na Tena atakopa world bank ,au I MF, n.k ,pia atayaacha na mwngne naye anaweza lipa ,na asmalize .nchi hii haijawahi kukosa madeni. inshort tunataka kuona vitu vyakuon3kana,inshu ya madeni iache Kama ilivyo
Unadhani kama asingekuta madeni asingeweza kupeleka kwenye maendeleo hiyo pesa?
Hii ni roho mbaya tuu
 
Eti mama katoa pesa utafikiri za kwake!
Hii lugha ilianza kipindi cha mwendazake, si kuwahi hata siku moja huko nyuma kipindi cha akina Nyerere, Mwinyi, Mkapa na wengineo kusikia eti fulani katoa. Tulizoea kusikia serikali imetoa, na pia hakukuwa na kitu kinaitwa serikali ya awamu fulani, noo ilikuwa ni SERIKALI basi.
 
Mazoea hujenga tabia ila pia tuko sahihi tunaosema hivi kwani tunamaanisha Rais Samia kama Taasisi sio Rais Samia kama Rais Samia
 
Mazoea hujenga tabia ila pia tuko sahihi tunaosema hivi kwani tunamaanisha Rais Samia kama Taasisi sio Rais Samia kama Rais Samia
Kwani kwa sasa ukisema "Rais amekemea"..... Wewe unaelewaje?
 
Kwani kwa sasa ukisema "Rais amekemea"..... Wewe unaelewaje?
Naelewa kuwa ni taasis,

Yupo DP atakemea kama yeye,
Yupo PM atakemea kama yeye
Wapo mawaziri watakemea kama yeye nakuendelea
 
Eti mama katoa, wee jamaa unaonekana una umama mwingi sana.....
 
Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya anaendelea kulipa madeni mbalimbali kwa watu binafsi au taasisi na kwakuanzia tu mwaka huu pekee analipa madeni yenye thamani ya Jumla ya fedha TZS11.17623Trilioni.

View attachment 2003891
Yaani Waliotengeneza tatizo, leo hii ujifanye unawashukuru kwa kupambanio tatizo walilolitengeneza wenyewe!! Ccm ni kundi lililoasisi madeni makubwa ya nchi. Hivyo wakipambania kulipa ni Jukumu lao!
 
Nani chanzo cha yote hayo? Serikali ya CCM au serikali iliyotokana na Upinzani!? Kujitekenya wenyewe na kucheka wenyewe
 
Hakuna shaka mwenye account hii ni mwigulu n

Uandishi umefanana kama ule wa kwenye madaraja na mawe makubwa barabara zote nchi zima"mwigulu raisi 2015".
Mwigulu mwenyewe ataka urais ni ngumu sana kumbrand mwenzake ila sijui kama ni kweli
 
Yaani Waliotengeneza tatizo, leo hii ujifanye unawashukuru kwa kupambanio tatizo walilolitengeneza wenyewe!! Ccm ni kundi lililoasisi madeni makubwa ya nchi. Hivyo wakipambania kulipa ni Jukumu lao!
Kesho utasema Rais Samia hajafanya kitu,

Leo fahamu tu mwaka huu atalipa madeni TZS 11T ,ili unapolaumu jua kabisa hili pia lilifanyika
 
Back
Top Bottom