CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
- #41
Good, Crde karibu sana hapa tuchakate mada,Madeni mpaka China na USA wanadaiwa. Hawapati madeni kwa nia ya kujifurahisha tu ni katika kutimizamalengo ya muda mfupi na mrefu.
Watu hawataki kuamini yanayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan