FY2021/22 Serikali kutoa Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma

Tuseme ukweli pesa hiyo hajatoa mama, pesa hiyo wametoa watanzania kupitia kodi zao!! Mama kaidhinisha zitumike hivyo kwa mujibu wa nafasi yake. Mama angeitoa wapi pesa yote hiyo wakati mama siyo fisadi na hafanani kabisa na ufisadi?
 
Rais Samia ni taasisi mkuu,
 
Una kila dalili za upungufu wa akili. Jinga wewe.
 
Alipe trilioni 11, ila akope trilioni 1 IMF. Kwamba hiyo mikopo ilikuwa na masharti ya kinyang'au? Hivi nani katuroga sisi?
 
Watumishi wengi bado wanadai
 
Tuseme ukweli pesa hiyo hajatoa mama, pesa hiyo wametoa watanzania kupitia kodi zao!! Mama kaidhinisha zitumike hivyo kwa mujibu wa nafasi yake. Mama angeitoa wapi pesa yote hiyo wakati mama siyo fisadi na hafanani kabisa na ufisadi?
Rais ndio Rais namba moja Tanzania, Unaelewa maana ya hii?
 
si wewe wa kwanza kuimba mipasho na kunengua!! Vigelegele na kufuru vilivyofanyika awamu ya tano bado hamjifunzi tu? Sikio la kufa...
Umeona nani anatoa kufuru awamu ya Sita mkuu,

Kama hujui kusoma hata picha huoni?
 
Ni waj
Ni wajibu wake, kipindi hicho alikuwa Makamu wa Rais. Makamu wa Rais wa sasa alikuwa Waziri wa fedha na waziri mkuu ni Yule yule
 
Kama ni kweli pongezi zake na team yake. Kuna jambo la kujiuliza amewezaje wakati huko nyuma ilishindikana? Au wakati ndiyo umefika sasa?
 
Nadhani nijuhudi binafsi za mama huyu,

Anahangaika sana kuwapatia watu wake maendeleo
 
Ni waj

Ni wajibu wake, kipindi hicho alikuwa Makamu wa Rais. Makamu wa Rais wa sasa alikuwa Waziri wa fedha na waziri mkuu ni Yule yule
Uko sahihi mkuu ,Kuhusu ufahamu tu kama 11T angezielekeza kwenye miradi ingekuwaje ?
 
Jinga moja ww samia anapesa ya kulipa anatoa wapi acha u kanga boya wq pesa zinazolipa madeni ni pesa za kodi za wa Tanzania jinga moja kubwa ww
 
Nimekuelewa sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…