G Malisa: Kamati Kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao ndani ya chama viongozi wa UVCCM waliokubali teuzi mpya

Sidhani kama suala la Kheri James kuteuliwa kuwa DC lilikuwa la utashi wa Kheri James kukubali ama kukataa, ninavyoelewa Rais ana mamlaka makubwa ya kumuhamisha ama kumtoa mteuzi katika nafasi yoyote akihitaji hivyo. Tuache ujuaji
Mama ataongoza hi nchi hata bila vurugu kwasababu mambo yake iko kwenye 'silent mode' hana chuki au visasi hata kama hampendi mtu.
 
Kamati kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao viongozi wakuu wa umoja wa vijana baada ya viongozi hao kukubali uteuzi wa nafasi nyingine. Viongozi hao ni Mwenyekiti Kheri James, Makamu Mwenyekiti Tabia Maulid na Katibu mkuu Raymond Mangwala.

Wamevuliwa vyeo vyao kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi za CCM no.22 toleo la mwaka 2020 ambazo zinazuia kiongozi kuwa na nafasi mbili (kwenye chama na serikali). Tayari nafasi ya Katibu Mkuu imejazwa na Kenani Kihongosi, na nafasi nyingine zitajazwa baadae.

#MyTake:
Mama anaendelea kuupiga mwingi. Anapanga safu yake kwa akili kubwa sana. Akina Kheri walipoteuliwa kuwa MaDC hawakujua ni mtego. Wakakubali "kichwakichwa" na hatimaye wameliwa vichwa.

M/kiti wa UVCCM hata Katibu wake ni fursa kubwa kuliko UDC. Mkiti anaingia kwenye vikao vya Kamati kuu na halmashauri kuu ya chama. Katibu anaingia kwenye vikao vya sekretarieti. Hakuna siri yoyote ambayo Rais ataongea kwenye chama bila kujua. Akiongea kwenye Kamati kuu, Kheri atasikia na akiongea kwenye Sekretarieti, Raymond atasikia.

Sasa kaamua kuwapiga kanzu. Kuanzia leo Kheri hatakaa ajue chochote kinachojadiliwa na CCM taifa. Atasikia mambo ya CCM Kibangu au Kibamba kwa mangi (wilaya aliyopewa kuongoza). Na huko pia hana uhakika kwa sababu muda wowote mama anaweza kumtengua akitaka kufanya hivyo.

Kwahiyo mdogo wangu Kheri yupo kwenye wakati mgumu sana. Angekua na uwezo angeomba siku zirudi nyuma aukatae UDC ili abaki Mwenyekiti wa vijana, nafasi ambayo ilimpa fursa nyingi ambazo hawezi kuziota akiwa DC.

Mabilioni ya bajeti ya UVCCM yalipita kwake kwa ajili ya approval. Miradi yote inayosimamiwa na UVCCM kuanzia lile ghorofa la vijana pale Lumumba hadi zile fremu za kitimoto pale Iringa, zilikua chini yake.

Kheri alikua anaogopwa na Wabunge viti maalumu wa UVCCM kuliko wanavyoogopa Corona. Hii ni kwa sababu yeye ndiye alikua anapitia mkeka wa wagombea na kukata majina. Sasa hawezi kukata hata jina hata la mgombea udiwani.

Mwaka jana nilikutana na msafara wake mkoani Shinyanga. Polisi barabarani walijipanga kwa nidhamu eti M/kiti UVCCM anapita. Alipewa ulinzi mkali na king'ora kilimuongoza. Leo vyote vimeyeyuka kwa kutegwa na UDC. Mama anaupiga kama N'golo Kante.!

View attachment 1826928
Muda ni mwalim.mzuri....sana sana hawezi kukatqa U DC ilihali miaka nayo inaenda mbio kuna ukomo pia hawezi kumkatalia mwenyekiti na pia Rais chama sio chake .....walikuwepo wakapita....
 
Bora Heri na Raymond wapole sana huyo Kenan hajawai kuwa na shoo ndogo Arusha nzima tunamjua alikuwa mkuu wa wilaya wa mfano ,kama vijana tutamkumbuka sana,ukizingua anakuzingua tena akopeshi ,uteuzi safi wa mzalendo kwelikweli
 
Aise vijana wa CDM wana shida. Baada ya hapa atakayeingia ni UVCCM ambaye naye kazi yake ni kuipigania CCM kwa kila namna. After all, huyu Herry James asingerudi kwenye hiyo nafasi uchaguzi ujao ndani ya CCM. Sasa kipi bora, amalize mda wake akae benchi au hivi alivyopata UDC. Chongoro hadi anakuwa katibu mkuu alikuwa DC. So mwingine anaweza kuwa na mtazamo kuwa Herry James anaendelea kusogea na kukuwa kiuongozi kwani kwani ni kama ame graduate!
Na ameingia Kihongosi yule wa Arusha waliekuwa wanamnanga ambae nae ni mteule wa Jpm!

Yani Malisa alivyoandika ni kama vile baada ya kuwatoa hao sasa wanateuliwa wana chadema,

Hawa vijana wa Mbowe siku hizi wanajiona kama wako madarakani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawa akili zitawarudi 2025
 
Andiko la chuki tu na hakuna kingine, Mama ameupiga mwingi sababu ya kubadili timu? Hivi hawa madogo wanajua wanataka nini kweli?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hawa vijana wa Mbowe ni balaa tupu!

Katika bavicha Malisa nilikuwa naona anajielewa, kumbe nae kopo tu
 
Kamati kuu ya CCM imewavua nyadhifa zao viongozi wakuu wa umoja wa vijana baada ya viongozi hao kukubali uteuzi wa nafasi nyingine. Viongozi hao ni Mwenyekiti Kheri James, Makamu Mwenyekiti Tabia Maulid na Katibu mkuu Raymond Mangwala.

Wamevuliwa vyeo vyao kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi za CCM no.22 toleo la mwaka 2020 ambazo zinazuia kiongozi kuwa na nafasi mbili (kwenye chama na serikali). Tayari nafasi ya Katibu Mkuu imejazwa na Kenani Kihongosi, na nafasi nyingine zitajazwa baadae.

#MyTake:
Mama anaendelea kuupiga mwingi. Anapanga safu yake kwa akili kubwa sana. Akina Kheri walipoteuliwa kuwa MaDC hawakujua ni mtego. Wakakubali "kichwakichwa" na hatimaye wameliwa vichwa.

M/kiti wa UVCCM hata Katibu wake ni fursa kubwa kuliko UDC. Mkiti anaingia kwenye vikao vya Kamati kuu na halmashauri kuu ya chama. Katibu anaingia kwenye vikao vya sekretarieti. Hakuna siri yoyote ambayo Rais ataongea kwenye chama bila kujua. Akiongea kwenye Kamati kuu, Kheri atasikia na akiongea kwenye Sekretarieti, Raymond atasikia.

Sasa kaamua kuwapiga kanzu. Kuanzia leo Kheri hatakaa ajue chochote kinachojadiliwa na CCM taifa. Atasikia mambo ya CCM Kibangu au Kibamba kwa mangi (wilaya aliyopewa kuongoza). Na huko pia hana uhakika kwa sababu muda wowote mama anaweza kumtengua akitaka kufanya hivyo.

Kwahiyo mdogo wangu Kheri yupo kwenye wakati mgumu sana. Angekua na uwezo angeomba siku zirudi nyuma aukatae UDC ili abaki Mwenyekiti wa vijana, nafasi ambayo ilimpa fursa nyingi ambazo hawezi kuziota akiwa DC.

Mabilioni ya bajeti ya UVCCM yalipita kwake kwa ajili ya approval. Miradi yote inayosimamiwa na UVCCM kuanzia lile ghorofa la vijana pale Lumumba hadi zile fremu za kitimoto pale Iringa, zilikua chini yake.

Kheri alikua anaogopwa na Wabunge viti maalumu wa UVCCM kuliko wanavyoogopa Corona. Hii ni kwa sababu yeye ndiye alikua anapitia mkeka wa wagombea na kukata majina. Sasa hawezi kukata hata jina hata la mgombea udiwani.

Mwaka jana nilikutana na msafara wake mkoani Shinyanga. Polisi barabarani walijipanga kwa nidhamu eti M/kiti UVCCM anapita. Alipewa ulinzi mkali na king'ora kilimuongoza. Leo vyote vimeyeyuka kwa kutegwa na UDC. Mama anaupiga kama N'golo Kante.!

View attachment 1826928
Kwa hii thinking ya Malisa hua nashangaa anapowekwa kwenye daraja la juu la "wenye akili kubwa " kuliko kina Nick wa pili, Jokate nk kwamba yeye alipaswa zaidi kuwa DC kwa kuwa yuko juu yao.
Katika hali ya kawaida unapoteuliwa na mwenyekiti wako kwenda kutumika sehemu nyingine utapinga vipi? UVCCM sio taasisi kamili bali ni mkono wa CCM overall boss ni mwenyekiti wa CCM taifa/rais ambaye ndo hivo kakupa uDC. No option zaidi ya kutii (kwa vyama/taasisi zenye nidhamu)
Pili, kusimanga masurufu, ukwasi, madaraka na heshima atayoikosa sasa kwa kuwa kawa "demoted" kwenda uDC inaturudisha kwenye general psyche ya kiTz ambayo nayo malisa kumbe anayo; kuwa uongozi si uongozi kama haukupi hayo anayomsimangia Kheri kuyakosa sasa kwenye uDC.

Sioni ajabu yoyote hapo..alikuwa chair UVCCM alistahili heshima na makandokando yanayoendana na hadhi hiyo, sasa kaenda kwenye uDC akapate heshima inayoendana na hadhi ya cheo kipya.
 
Malisa- UNACHOYO, MAONO MAFUPI NA AKILI MBOVU.
 
Kudo kwa kuonyesha ujinga wa Malisa.
 
Hizo kanuni za mwaka jana tu hapa wakati wote wakiwa viongozi wa chama, ata mimi huku Vingunguti nilijua kama wale kuteuliwa ukuu wa wilaya kutafanya Mwenyekiti na Katibu wa Chama watakuja wengine sembuse wenyewe walioko hapo!
 
Rais hajateua UVCCM mbona? Au msimamo wa chama umebadilika?
 
Wanaomshauri huyu mama ni ma master was siasa aisee, wanajua kukorokocha, hatumii nguvu lakini matokeo yanasomeka ubaoni.

She know the game and how to play it, she is the master
Mbona Chadema wanashangilia sana maamuzi anayoyafanya Mama utafikiri Chadema na ndo wanufaika wakubwa wa haya mabadiliko? Kwambe Kheri James mlimchukia nae akiharibu chama, Bashiru nae akiharibu Chama, Polepole akiharibu chama na Hayati akiwa kama Mwenyekiti akiharibu chama lakini hizi kauli wanasema Chadema sio CCM wenyewe wenye Chama chao..!! Utasikia wanasema sasa mama ndiyo anarudisha ile CCM yenyewe! Hipi? Ile iliyokatamalaki Rushwa?
 
huo ni utaratibu wa kawaida. kwa kukubali teuzi inammana kuwa wameshuka. badala ya kusimamia wao watasimamiwa watekeleze
 
Back
Top Bottom