Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
Watasema cdm na ccm watahakikisha hii kitu inaenda kama wabunge wa cov19 walivyotinga bungeni. Kuna watu kaz yao ni kutumia mpenyo kupata kipato.Hakuna kukaa chini maana maamuzi ya NO REFORMS NO ELECTION sio ya Lissu kama wanavyotaka tuamini bali ya vikao halali ikiwemo mkutano mkuu chini ya Mbowe.
Kwanza Vibali vya hiyo mikutano wanapewa kwa tiketi ya chama gani?
Maana kibali cha mikusanyiko kinatolewa kwa chama kilichosajiliwa
Narudia tena wakae wayamalize kwa amani. Maamuzi ya Chama sio msahafu Kama ambavyo katiba siyo msahafu inaweza badilishwa!!Hakuna kukaa chini maana maamuzi ya NO REFORMS NO ELECTION sio ya Lissu kama wanavyotaka tuamini bali ya vikao halali ikiwemo mkutano mkuu chini ya Mbowe.
Kwanza Vibali vya hiyo mikutano wanapewa kwa tiketi ya chama gani?
Maana kibali cha mikusanyiko kinatolewa kwa chama kilichosajiliwa
Mbowe kafanyaje?Sikuwah kujua km mbowe ni mjinga ivi
Jw ipo na Lissu?Lissu Dunia inaenda kukujua mara dufu wewe heche mnyika na lema hao mbwa walindwe na polisi maana Jw Iko na LISU.
Pesa za kuzunguka nchi nzima tena kwa helicopter ni nyingi sijui wafadhili ndio wapo nyuma ya kuigawa Chadema?View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi. Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Waanze usiku huu huu wala wasingoje kesho. Ikibidi waandamane na Nchimbi na Makala. Msimamo wa cdm kama chama uko palepale. No reform no Election fullstop.View attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi. Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
View attachment 3294480

Narudia tena wakae wayamalize kwa amani. Maamuzi ya Chama sio msahafu Kama ambavyo katiba siyo msahafu inaweza badilishwa!!
You are too child for this!!Acha ulaghai. Maamuzi ya Mkutano Mkuu yamepitishwa January 20, iweje Leo muanze kuyapinga?. Acheni siasa za udalali.
Sidhani kama watakuwa na uhalali wa kufanya mikutano.Wao siyo viongozi wa chamaView attachment 3294480
Habari nilizopata kwa Chanzo changu cha kuaminika, kambi hii inatangaza kuanza mikutano nchi nzima kuongea na wana CHADEMA na wananchi juu ya msimamo wa Kutaka reforms na kushiriki uchaguzi. Maandalizi yote yako tayari na watakuwa na magari kila mkoa na helkopita 2.
Uko sahihi sana tatizo ninaloliona ni uongozi mpya hautaki ushauri, wana kibur, dharau kupitia kwa wapuuzi wachacheMimi naombea tu CHADEMA wakae chini wamalize tofauti zao kwa amani si vizuri kugawana fito maana hiki chama tumekitoa mbali na imetugharimu mengi sana kuijenga. Japo kuna watu siwapendi kwa matendo Yao ya hivi karibuni but haiwezi kulingana na thamani ya kuiona CDM ikiangamia!!