Upekuzi101
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 478
- 1,025
G55 wanaanza press conference yao muda SI mrefu ila kama lengo lao kubwa ni kukwamisha kampeni ya NO REFORM, NO ELECTION kuweni makini, yatawatokea puani.
Hawa G55 walikuwepo kwenye kikao cha maamuzi ya kupitia no Reform No Election chini ya FAM ila hakuongea chochote licha ya kupewa nafasi. Leo wanapoanza kuja na press kupinga maamuzi ya kikao inaonyesha wazi Kuna mpango wa siri wa kukwamisha jitihada kupitia hawa viongozi wachache wenye tamaa, uchumi wa madaraka na vyeo na kutokujali maslahi ya wengi ambayo ni mabadiliko ya kweli ya siasa za Tanzania.
Kiufupi ni kuwa kama lengo lao ni vyeo, madaraka na pesa basi hawa G55 wanaweza kabisa kwenda Chauma, ACT wazalendo, NCCR mageuzi na Sau ili kutimiza malengo yao ila ndani ya CDM kwasasa kinachoendelea ni no Reform No Election.
Anayepinga hili aondoke tu Ila jitihada za kwenda kwa wananchi eti kwenda kuwaeleza kwamba eti ni sawa kabisa kwenda kwenye uchaguzi huu kwa hali iliyopo na kwamba eti mnampinga Lisu, mjiangalie sana, linaweza kutokea jambo ambalo lipo nje ya upeo wa mawazo yenu, be careful.