PreGE2025 G55 mtapigwa mawe na wananchi huko mtaani kama wazo lenu ni kuzunguka nchi nzima kukwamisha No Reform, No Election

PreGE2025 G55 mtapigwa mawe na wananchi huko mtaani kama wazo lenu ni kuzunguka nchi nzima kukwamisha No Reform, No Election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tume FEKI ya Uchafuzi na G55 Wakija kitaa watapopolewa.

Watanzania wako serious this time.
Kwani wewe ni Mtanzania? Wewe kwenu Rwanda, wacha kuchochea ghasia hapa. Matatizo yetu tutayamaliza wenyewe
 
Kwani wewe ni Mtanzania? Wewe kwenu Rwanda, wacha kuchochea ghasia hapa. Matatizo yetu tutayamaliza wenyewe
Mtanzania kudai HAKI zake anakuwa "Mnyarwanda"?hebu angalia hii Video fupi ili ujue HAKI zetu za kuchagua viongozi tuwatakao zinavyoporwa na CCM na vyombo vya dola angalia please ni dakika 5 tu

 
Waanze kususia biashara zao zote .
Pamoja na za maswahiba wao wa CCM.

Tufanye biashara na wafanya biashara wa ACT Wazalendo maana wana mitaji ya halali na ya haki na wale Chadema wenye nia ya kuleta mabadliko ili nchi iwe na haki ,usawa ,amani ,umoja na kuheshimu kura za wananchi kuchagua viongozi wa kuwatumikia .

Kuanzia sasa iwe ni marufuku kununua bidhaa za G55 na za Makada wa CCM hata kupanda mabasi yao na bodaboda zao iwe ni haramu ili wajue nguvu ya umma ipo mpaka kwenye uchumi wao.

Kwa hiyo waacheni wajipitishe ili wajulikane baada ya hapo watu kuanzia chini mpaka juu wakifuatilia biashara zao hata kama ni saluni au kuku wa mayai hakuna kununua . Wakimuuzia mtu kwa bei ya jumla hakuna kununua .

Wanafunga sheria za kulipana mpaka wenza wa viongozi kwa haraka haraka halafu kutunga sheria tu ya kuondoa Usimamizi wa uchaguzi kwa Wakurugenzi wa halmashauri na Rais apelekewe majina ya watu kutoka taasisi mbalimbali wakiwemo majaji na wawakilishi wa vyama kuunda tume hilo liwe ni jambo la kihaini ????
Hapana wanataka kutuachia nchi ya hovyo wakati wao watakaporudi nchini kwao kupumzika .
Tutasusia mpaka biashara za Azam maana naye ameshajionyesha kuwa ni Chawa wa madalali wa rasilimali za Tanganyika .


No Reforms no Election
Hizi ndio akili za nyumbu yaani wewe unafaa sana kuitwa nyumbu. Eti kususia biashara wewe una biashara gani hapo ulipo. Eti ususie biashara za Azam!!
 
Usimlinganishe Magufuli na Msaliti Lissu mtetea ushoga!
Lissu hafai kabisa kwa nafasi kubwa. Tofauti ya TL na Magufuli ni ndogo sana. Wote wamekaaa kidikteta na ni wabinafsi kwenye maamuzi. TL anafaa tu kuwa mtu wa kutumwa lakini siyo kiti kikubwa cha nchi. BIG NO for Tundu Lissu. Mkishindwa tuleteeni John Mnyika
 
Mleta mada akili huna kwenye demokrasia tunashindana kwa hoja sio kwa kurushiana mawe kama huna hoja ya kujibu

Hao G55 wana hoja za kupinga no reform no election kwa nini muwapige mawe?

Chadema mnaipinga CCM kwa hiyo wana CCM wapige mawe sababu mnawapinga?

Wewe mleta mada akili kichwani hazimo.ns hujui maana ya demokrasia ni nini? Na uhuru wa kutoa mawazo ni nini? Mwehu mkubwa wewe
We ni mpuuzi tu, huu siyo muda wa kutoa maoni huu ni muda wa kutekeleza makubaliano ya chama, wananchi wameshasikia hoja za chadema na wameelewa, kwa akili ya kawaida unategemea hawa wasaliti warudi kwa wananchi kuwafundisha kuwa eti no reform no election ni ujinga? Watapigwa mawe Bure, acha kuwadanganya...hoja nonsense kwa sasa ni nonsense, walipewa muda wa kutoa hoja wakanyamaza, wamefufukia wapi sasahivi? au unadhani wananchi ni wajinga? Wameshahongwa hao na wananchi wamejua
 
G55 wanaanza press conference yao muda SI mrefu ila kama lengo lao kubwa ni kukwamisha kampeni ya NO REFORM, NO ELECTION kuweni makini, yatawatokea puani.

Hawa G55 walikuwepo kwenye kikao cha maamuzi ya kupitia no Reform No Election chini ya FAM ila hakuongea chochote licha ya kupewa nafasi. Leo wanapoanza kuja na press kupinga maamuzi ya kikao inaonyesha wazi Kuna mpango wa siri wa kukwamisha jitihada kupitia hawa viongozi wachache wenye tamaa, uchumi wa madaraka na vyeo na kutokujali maslahi ya wengi ambayo ni mabadiliko ya kweli ya siasa za Tanzania.

Kiufupi ni kuwa kama lengo lao ni vyeo, madaraka na pesa basi hawa G55 wanaweza kabisa kwenda Chauma, ACT wazalendo, NCCR mageuzi na Sau ili kutimiza malengo yao ila ndani ya CDM kwasasa kinachoendelea ni no Reform No Election.

Anayepinga hili aondoke tu Ila jitihada za kwenda kwa wananchi eti kwenda kuwaeleza kwamba eti ni sawa kabisa kwenda kwenye uchaguzi huu kwa hali iliyopo na kwamba eti mnampinga Lisu, mjiangalie sana, linaweza kutokea jambo ambalo lipo nje ya upeo wa mawazo yenu, be careful.
Njaa inaweza fanya chochote.Ukiwa na njaa akili yako huwainahamia kwa aliyebeba chakula.
 
Hao G55. Mimi nawaita K55.Maana yake ni Kenge55. Kwa ssbabu kwenye msafara wa mamba na kenge wamo
 
Back
Top Bottom