PreGE2025 G55 mtapigwa mawe na wananchi huko mtaani kama wazo lenu ni kuzunguka nchi nzima kukwamisha No Reform, No Election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tume FEKI ya Uchafuzi na G55 Wakija kitaa watapopolewa.

Watanzania wako serious this time.
Hehe ma keyboard warriors kipindi hiki mnakuaga wamoto sana ila kitaa aaah
 
Tume FEKI ya Uchafuzi na G55 Wakija kitaa watapopolewa.

Watanzania wako serious this time.

Nimeogopa sana nilipoona Polisi mmoja kule Darisalama anakimbizwa na madereva wa Bajaji na boda boda baada ya bajaji kuungua moto .
Yaani wanasema," mnasema nchi ina amani ,amani gani !!! Hii ndiyo amani wakamkimbiza bahati nzuri akaokolewa na wanajeshi na askari magereza akapakiwa kwenye basi lakini bado kuna kijana mmoja akangangania mlango anasema bora mniue .

Nikajiuliza sasa hiyo ni bajaji moja tu imewaka moto tena kwa ukaidi tu wa dereva kutotii sheria .Je, wakipigwa watu wanne au watano risasi wakafa itakuaje ??

CCM wasijaribu kutegemea mauaji kuzuia hasira za watu kudai hali yao ya kuchagua viongozi waadilifu wanaowaamini .Rais Samia atabeba gunia la misumari na lawama kubwa sana hata akistaafu atakosa amani na baadae watatawala watu watakaoandama sana familia yake na mali zake zitakosa thamani huku Tanganyika maana hatujazoea kuchukiana kwa sababu ya Rushwa.
 
G55 wanaanza press conference yao muda SI mrefu ila kama lengo lao kubwa ni kukwamisha kampeni ya NO REFORM, NO ELECTION kuweni makini, yatawatokea puani.

Hawa G55 walikuwepo kwenye kikao cha maamuzi ya kupitia no Reform No Election chini ya FAM ila hakuongea chochote licha ya kupewa nafasi. Leo wanapoanza kuja na press kupinga maamuzi ya kikao inaonyesha wazi Kuna mpango wa siri wa kukwamisha jitihada kupitia hawa viongozi wachache wenye tamaa, uchumi wa madaraka na vyeo na kutokujali maslahi ya wengi ambayo ni mabadiliko ya kweli ya siasa za Tanzania.

Kiufupi ni kuwa kama lengo lao ni vyeo, madaraka na pesa basi hawa G55 wanaweza kabisa kwenda Chauma, ACT wazalendo, NCCR mageuzi na Sau ili kutimiza malengo yao ila ndani ya CDM kwasasa kinachoendelea ni no Reform No Election.

Anayepinga hili aondoke tu Ila jitihada za kwenda kwa wananchi eti kwenda kuwaeleza kwamba eti ni sawa kabisa kwenda kwenye uchaguzi huu kwa hali iliyopo na kwamba eti mnampinga Lisu, mjiangalie sana, linaweza kutokea jambo ambalo lipo nje ya upeo wa mawazo yenu, be careful.
Hakika watachafuliwa mapema sana huku kitaa tumeshamuelewa Lisu na timu yake no reforms no election
 
Unaongea na Mtu ambaye akisema ameamua.
Mara ya ngapi hio........ma keyboard warriors kwa mtu asiewajua anaweza akadhani ni watu fulani serious sana na watata.......nyie mtaishia mitandaoni tu......Samia ataapishwa kwa mara nyingine na maisha yatasonga mbele mtasaka lingine tena maana mnakuaga na season zenu kama isidingo
 
Cdm kama chama washikilie msimamo wao wa vikao halali vya chama. Chaguzi zetu ni za kuhuni, hao G55 ni kundi la Mbowe lililopewa fedha na ccm ili kuhakikisha Tundu Lisu hashindi uchaguzi. Sasa wamepigwa chini wanakuja na plan B ya kupinga kushiriki chaguzi za kuhuni chini ya ccm. Ni hivi, NRNE.
 
Unajuaje? Moyo wa mtu ni msitu, they can change the direction of the wind! do not take it for granted!Nani atawapiga mawe?
Hahahahha yaani Mrema na Ntobi ndio wabadili upepo? Mzee unachekesha sana. Kama Mbowe na legacy yote ile alistaafishwa nani wa kumpinga Lissu ashinde? Wangekuwa wapole tu wakubali yaishe wajenge chama wasubiri uchaguzi wa 2029 ndio wamtoe kama watashinda.
 
Cdm kama chama washikilie msimamo wao wa vikao halali vya chama. Chaguzi zetu ni za kuhuni, hao G55 ni kundi la Mbowe lililopewa fedha na ccm ili kuhakikisha Tundu Lisu hashindi uchaguzi. Sasa wamepigwa chini wanakuja na plan B ya kupinga kushiriki chaguzi za kuhuni chini ya ccm. Ni hivi, NRNE.
Huwa najiuliza sana kama Mbowe angeshinda chadema ilikua inaelekea wapi? Tungeshakua TLP maana waliomzunguka wote ni opportunists
 
Kuna kundi kubwa la CHADEMA walikuwa makamanda uchwara wachumia tumbo tu.
 
Mleta mada akili huna kwenye demokrasia tunashindana kwa hoja sio kwa kurushiana mawe kama huna hoja ya kujibu

Hao G55 wana hoja za kupinga no reform no election kwa nini muwapige mawe?

Chadema mnaipinga CCM kwa hiyo wana CCM wapige mawe sababu mnawapinga?

Wewe mleta mada akili kichwani hazimo.ns hujui maana ya demokrasia ni nini? Na uhuru wa kutoa mawazo ni nini? Mwehu mkubwa wewe
 
Mara ya ngapi hio........ma keyboard warriors kwa mtu asiewajua anaweza akadhani ni watu fulani serious sana na watata.......nyie mtaishia mitandaoni tu......Samia ataapishwa kwa mara nyingine na maisha yatasonga mbele mtasaka lingine tena maana mnakuaga na season zenu kama isidingo
Mapinduzi matukufu ya kuiondoa Serikali ya Sultani wa Zanzibar ilikuwa ni Wananchi tu walijikusanya sasa hiyo inaenda kutokea Tanganyika.

Trust me, mdogo mdogo tu hatuwezi kunyimwa HAKI zetu za kuchagua Viongozi wetu.
 
Huwa najiuliza sana kama Mbowe angeshinda chadema ilikua inaelekea wapi? Tungeshakua TLP maana waliomzunguka wote ni opportunists
Huyu Mbowe nilimstukia muda mrefu baada ya ujio wa Lowassa. Alikigeuza chama kama duka lake. Sasa yeye na genge lake wana kazi ya kufanya marejesho ya pesa za ccm walizopewa kuhakikisha Lisu hawi mwenyekiti wa cdm.
 
G55 wanaanza press conference yao muda SI mrefu ila kama lengo lao kubwa ni kukwamisha kampeni ya NO REFORM, NO ELECTION kuweni makini, yatawatokea puani.

Hawa G55 walikuwepo kwenye kikao cha maamuzi ya kupitia no Reform No Election chini ya FAM ila hakuongea chochote licha ya kupewa nafasi. Leo wanapoanza kuja na press kupinga maamuzi ya kikao inaonyesha wazi Kuna mpango wa siri wa kukwamisha jitihada kupitia hawa viongozi wachache wenye tamaa, uchumi wa madaraka na vyeo na kutokujali maslahi ya wengi ambayo ni mabadiliko ya kweli ya siasa za Tanzania.

Kiufupi ni kuwa kama lengo lao ni vyeo, madaraka na pesa basi hawa G55 wanaweza kabisa kwenda Chauma, ACT wazalendo, NCCR mageuzi na Sau ili kutimiza malengo yao ila ndani ya CDM kwasasa kinachoendelea ni no Reform No Election.

Anayepinga hili aondoke tu Ila jitihada za kwenda kwa wananchi eti kwenda kuwaeleza kwamba eti ni sawa kabisa kwenda kwenye uchaguzi huu kwa hali iliyopo na kwamba eti mnampinga Lisu, mjiangalie sana, linaweza kutokea jambo ambalo lipo nje ya upeo wa mawazo yenu, be careful.
We bwege km huna akili katafute ht ya kuazima. Hilo chadomo yenu muda wa kuzikwa umekaribia, mnaendesha siasa za kishamba haipo duniani. Nani wa kuwapiga mawe? Nyie kwl nyumbu wa Serengeti. Kwanza mwananchi gani anawaelewa? Nyie ni km mazuzu yaliyojifungia sehemu
 
Ndo uwezo wako wa kufikiria ulipoishia, sina haja ya kubishana na wewe kiazi
 
Wanaojiita G55 wapimwe akili kama wanafikiri sawasawa, kama uchaguzi wa nafasi za chini kabisa (wenyeviti wa mitaa, vijiji na vitongoji) wameporwa kwa kishindo je ubunge na madiwani ndio kutakuwa na uhuru, haki na uwazi!?!
We umepima ya kwako? Acheni siasa za kishamba. Huyo kibaraka wenu atazika hilo chadomo chenu
 
Mleta mada akili huna kwenye demokrasia tunashindana kwa hoja sio kwa kurushiana mawe kama huna hoja ya kujibu

Hao G55 wana hoja za kupinga no reform no election kwa nini muwapige mawe?

Chadema mnaipinga CCM kwa hiyo wana CCM wapige mawe sababu mnawapinga?

Wewe mleta mada akili kichwani hazimo.ns hujui maana ya demokrasia ni nini? Na uhuru wa kutoa mawazo ni nini? Mwehu mkubwa wewe
Hoja huwa kati ya mwanasiasa na mwanasiasa, linapokuja suala la mwanasiasa na mwananchi hapa ni vita vya kimaslahi, huwezi kwenda na hoja unapodaiwa maslahi
 
Back
Top Bottom