Hehe ma keyboard warriors kipindi hiki mnakuaga wamoto sana ila kitaa aaahTume FEKI ya Uchafuzi na G55 Wakija kitaa watapopolewa.
Watanzania wako serious this time.
Unaongea na Mtu ambaye akisema ameamua.Hehe ma keyboard warriors kipindi hiki mnakuaga wamoto sana ila kitaa aaah
Tume FEKI ya Uchafuzi na G55 Wakija kitaa watapopolewa.
Watanzania wako serious this time.
Hakika watachafuliwa mapema sana huku kitaa tumeshamuelewa Lisu na timu yake no reforms no electionG55 wanaanza press conference yao muda SI mrefu ila kama lengo lao kubwa ni kukwamisha kampeni ya NO REFORM, NO ELECTION kuweni makini, yatawatokea puani.
Hawa G55 walikuwepo kwenye kikao cha maamuzi ya kupitia no Reform No Election chini ya FAM ila hakuongea chochote licha ya kupewa nafasi. Leo wanapoanza kuja na press kupinga maamuzi ya kikao inaonyesha wazi Kuna mpango wa siri wa kukwamisha jitihada kupitia hawa viongozi wachache wenye tamaa, uchumi wa madaraka na vyeo na kutokujali maslahi ya wengi ambayo ni mabadiliko ya kweli ya siasa za Tanzania.
Kiufupi ni kuwa kama lengo lao ni vyeo, madaraka na pesa basi hawa G55 wanaweza kabisa kwenda Chauma, ACT wazalendo, NCCR mageuzi na Sau ili kutimiza malengo yao ila ndani ya CDM kwasasa kinachoendelea ni no Reform No Election.
Anayepinga hili aondoke tu Ila jitihada za kwenda kwa wananchi eti kwenda kuwaeleza kwamba eti ni sawa kabisa kwenda kwenye uchaguzi huu kwa hali iliyopo na kwamba eti mnampinga Lisu, mjiangalie sana, linaweza kutokea jambo ambalo lipo nje ya upeo wa mawazo yenu, be careful.
Mara ya ngapi hio........ma keyboard warriors kwa mtu asiewajua anaweza akadhani ni watu fulani serious sana na watata.......nyie mtaishia mitandaoni tu......Samia ataapishwa kwa mara nyingine na maisha yatasonga mbele mtasaka lingine tena maana mnakuaga na season zenu kama isidingoUnaongea na Mtu ambaye akisema ameamua.
Imeisha iyoHakika watachafuliwa mapema sana huku kitaa tumeshamuelewa Lisu na timu yake no reforms no election
Hahahahha yaani Mrema na Ntobi ndio wabadili upepo? Mzee unachekesha sana. Kama Mbowe na legacy yote ile alistaafishwa nani wa kumpinga Lissu ashinde? Wangekuwa wapole tu wakubali yaishe wajenge chama wasubiri uchaguzi wa 2029 ndio wamtoe kama watashinda.Unajuaje? Moyo wa mtu ni msitu, they can change the direction of the wind! do not take it for granted!Nani atawapiga mawe?
Huwa najiuliza sana kama Mbowe angeshinda chadema ilikua inaelekea wapi? Tungeshakua TLP maana waliomzunguka wote ni opportunistsCdm kama chama washikilie msimamo wao wa vikao halali vya chama. Chaguzi zetu ni za kuhuni, hao G55 ni kundi la Mbowe lililopewa fedha na ccm ili kuhakikisha Tundu Lisu hashindi uchaguzi. Sasa wamepigwa chini wanakuja na plan B ya kupinga kushiriki chaguzi za kuhuni chini ya ccm. Ni hivi, NRNE.
Mapinduzi matukufu ya kuiondoa Serikali ya Sultani wa Zanzibar ilikuwa ni Wananchi tu walijikusanya sasa hiyo inaenda kutokea Tanganyika.Mara ya ngapi hio........ma keyboard warriors kwa mtu asiewajua anaweza akadhani ni watu fulani serious sana na watata.......nyie mtaishia mitandaoni tu......Samia ataapishwa kwa mara nyingine na maisha yatasonga mbele mtasaka lingine tena maana mnakuaga na season zenu kama isidingo
Huyu Mbowe nilimstukia muda mrefu baada ya ujio wa Lowassa. Alikigeuza chama kama duka lake. Sasa yeye na genge lake wana kazi ya kufanya marejesho ya pesa za ccm walizopewa kuhakikisha Lisu hawi mwenyekiti wa cdm.Huwa najiuliza sana kama Mbowe angeshinda chadema ilikua inaelekea wapi? Tungeshakua TLP maana waliomzunguka wote ni opportunists
We bwege km huna akili katafute ht ya kuazima. Hilo chadomo yenu muda wa kuzikwa umekaribia, mnaendesha siasa za kishamba haipo duniani. Nani wa kuwapiga mawe? Nyie kwl nyumbu wa Serengeti. Kwanza mwananchi gani anawaelewa? Nyie ni km mazuzu yaliyojifungia sehemuG55 wanaanza press conference yao muda SI mrefu ila kama lengo lao kubwa ni kukwamisha kampeni ya NO REFORM, NO ELECTION kuweni makini, yatawatokea puani.
Hawa G55 walikuwepo kwenye kikao cha maamuzi ya kupitia no Reform No Election chini ya FAM ila hakuongea chochote licha ya kupewa nafasi. Leo wanapoanza kuja na press kupinga maamuzi ya kikao inaonyesha wazi Kuna mpango wa siri wa kukwamisha jitihada kupitia hawa viongozi wachache wenye tamaa, uchumi wa madaraka na vyeo na kutokujali maslahi ya wengi ambayo ni mabadiliko ya kweli ya siasa za Tanzania.
Kiufupi ni kuwa kama lengo lao ni vyeo, madaraka na pesa basi hawa G55 wanaweza kabisa kwenda Chauma, ACT wazalendo, NCCR mageuzi na Sau ili kutimiza malengo yao ila ndani ya CDM kwasasa kinachoendelea ni no Reform No Election.
Anayepinga hili aondoke tu Ila jitihada za kwenda kwa wananchi eti kwenda kuwaeleza kwamba eti ni sawa kabisa kwenda kwenye uchaguzi huu kwa hali iliyopo na kwamba eti mnampinga Lisu, mjiangalie sana, linaweza kutokea jambo ambalo lipo nje ya upeo wa mawazo yenu, be careful.
Mamako ndio atapopolewaTume FEKI ya Uchafuzi na G55 Wakija kitaa watapopolewa.
Watanzania wako serious this time.
Ndo uwezo wako wa kufikiria ulipoishia, sina haja ya kubishana na wewe kiaziWe bwege km huna akili katafute ht ya kuazima. Hilo chadomo yenu muda wa kuzikwa umekaribia, mnaendesha siasa za kishamba haipo duniani. Nani wa kuwapiga mawe? Nyie kwl nyumbu wa Serengeti. Kwanza mwananchi gani anawaelewa? Nyie ni km mazuzu yaliyojifungia sehemu
We umepima ya kwako? Acheni siasa za kishamba. Huyo kibaraka wenu atazika hilo chadomo chenuWanaojiita G55 wapimwe akili kama wanafikiri sawasawa, kama uchaguzi wa nafasi za chini kabisa (wenyeviti wa mitaa, vijiji na vitongoji) wameporwa kwa kishindo je ubunge na madiwani ndio kutakuwa na uhuru, haki na uwazi!?!
We kunguru una ujasiri gani? Kukaa nyuma ya keyboard?Ni watu wa Mbeya tu ndio wana uthubutu wa kuwatembezea mkong'oto hao jamaa.
Au nasema uongo enyi Watanzania waoga?
Hoja huwa kati ya mwanasiasa na mwanasiasa, linapokuja suala la mwanasiasa na mwananchi hapa ni vita vya kimaslahi, huwezi kwenda na hoja unapodaiwa maslahiMleta mada akili huna kwenye demokrasia tunashindana kwa hoja sio kwa kurushiana mawe kama huna hoja ya kujibu
Hao G55 wana hoja za kupinga no reform no election kwa nini muwapige mawe?
Chadema mnaipinga CCM kwa hiyo wana CCM wapige mawe sababu mnawapinga?
Wewe mleta mada akili kichwani hazimo.ns hujui maana ya demokrasia ni nini? Na uhuru wa kutoa mawazo ni nini? Mwehu mkubwa wewe