PreGE2025 G55 mtapigwa mawe na wananchi huko mtaani kama wazo lenu ni kuzunguka nchi nzima kukwamisha No Reform, No Election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tume FEKI ya Uchafuzi na G55 Wakija kitaa watapopolewa.

Watanzania wako serious this time.
Kwani wewe ni Mtanzania? Wewe kwenu Rwanda, wacha kuchochea ghasia hapa. Matatizo yetu tutayamaliza wenyewe
 
Kwani wewe ni Mtanzania? Wewe kwenu Rwanda, wacha kuchochea ghasia hapa. Matatizo yetu tutayamaliza wenyewe
Mtanzania kudai HAKI zake anakuwa "Mnyarwanda"?hebu angalia hii Video fupi ili ujue HAKI zetu za kuchagua viongozi tuwatakao zinavyoporwa na CCM na vyombo vya dola angalia please ni dakika 5 tu

Your browser is not able to display this video.
 
Hizi ndio akili za nyumbu yaani wewe unafaa sana kuitwa nyumbu. Eti kususia biashara wewe una biashara gani hapo ulipo. Eti ususie biashara za Azam!!
 
Usimlinganishe Magufuli na Msaliti Lissu mtetea ushoga!
Lissu hafai kabisa kwa nafasi kubwa. Tofauti ya TL na Magufuli ni ndogo sana. Wote wamekaaa kidikteta na ni wabinafsi kwenye maamuzi. TL anafaa tu kuwa mtu wa kutumwa lakini siyo kiti kikubwa cha nchi. BIG NO for Tundu Lissu. Mkishindwa tuleteeni John Mnyika
 
We ni mpuuzi tu, huu siyo muda wa kutoa maoni huu ni muda wa kutekeleza makubaliano ya chama, wananchi wameshasikia hoja za chadema na wameelewa, kwa akili ya kawaida unategemea hawa wasaliti warudi kwa wananchi kuwafundisha kuwa eti no reform no election ni ujinga? Watapigwa mawe Bure, acha kuwadanganya...hoja nonsense kwa sasa ni nonsense, walipewa muda wa kutoa hoja wakanyamaza, wamefufukia wapi sasahivi? au unadhani wananchi ni wajinga? Wameshahongwa hao na wananchi wamejua
 
Njaa inaweza fanya chochote.Ukiwa na njaa akili yako huwainahamia kwa aliyebeba chakula.
 
Hao G55. Mimi nawaita K55.Maana yake ni Kenge55. Kwa ssbabu kwenye msafara wa mamba na kenge wamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…