PreGE2025 G55 mtapigwa mawe na wananchi huko mtaani kama wazo lenu ni kuzunguka nchi nzima kukwamisha No Reform, No Election

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Waje tu! Tunawasubiri hao g55 tuwaone!
 
wajinga hawana hoja kama hawaelewi mawe yananawahusu maana wananchi wataamua kw hao wasaliti
 
Dah! Kwa style hii kuyapata mabadiliko ya kweli ktk nchi yetu itachukua muda sana.NRNE ilikua ni lango ya kuyapata mabadiliko kama watu wangeshikamana na kutekelezwa vzr. Hii code hata CCM wanaijua kwa hiyo watafanya juu chini CHADEMA wavurugane ili wao wabakie salama.
 
Mapinduzi matukufu ya kuiondoa Serikali ya Sultani wa Zanzibar ilikuwa ni Wananchi tu walijikusanya sasa hiyo inaenda kutokea Tanganyika.

Trust me, mdogo mdogo tu hatuwezi kunyimwa HAKI zetu za kuchagua Viongozi wetu.
View attachment 3294704
Hao walikua wanapigania maslahi yao hawakua wanafanya hayo kwa maslahi ya mabeberu......
 
Binadamu linapokuja swala la tumbo huwa anachangnyikiwa na kukosa muelekeo kabisa.
Mwanadamu asiyejielewa ndo hufanya hayo. Hao wametuchezea sana ila hatukuwajua,
watu wameuawa wengine wamepotea na wengine ni walemavu,alafu kibaka mwenye njaa nasema twende hivyo hivyo nasema tusikubaliane na wanaoendekeza njaa na uchu wa madaraka.
 
Usiwatue waache waje wakome !! Labda wahutubie wakiwa ndani ya gari la washawasha... watu wameshaamua tayari No Reform habari ya TZ kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…