Mbona Libya kapotezwa? Au yeye alikuwa na mafuta ya mawese?Ukiwa na mafuta duniani uwezi ukafa njaa hata siku moja msituongopee kabisa maana wewe ukisusa kununua wenzako wananunua na maisha yanaendelea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Libya kapotezwa? Au yeye alikuwa na mafuta ya mawese?Ukiwa na mafuta duniani uwezi ukafa njaa hata siku moja msituongopee kabisa maana wewe ukisusa kununua wenzako wananunua na maisha yanaendelea.
Aliyekwambia mafuta yanatumika kwenye magari Tu ni Nani ivi izi akili mnatoa wapii unajua maana ya crude oil au unakuja kuruka ruka Tu uku hujamaliza kunywa uji au unaisi RUSSIA kuwa msambazaji mkubwa WA mbolea duniani anabaatisha unaisi mitambo mikubwa itaendeshaa na mionzi ya jua izi ndege zitaruka na maji embu lala uamke tena Rusia na nchi zinazochimba mafuta bado zitakuwa tegemezi kwenye uchumi WA dunia Hadi 2075 ndyo mabadiliko makubwa yataanza kuonekana na kuachana na mafuta na Badoo yatakuwa yanatumika kwenye maeneo flani flaniMahitaji ya mafuta yataendelea kupungua duniani kutokana na kuongezeka kwa teknolojia bila kujali swala la Russia na Ukraine na ndio maana mataifa ya kiarabu tayari yameanza kujipanga.
Kufikia mwaka 2035 Ulaya, Marekani, Canada, Japan na Australia watapiga marufuku utengenezaji wa magari yote yanayotumia nishati ya mafuta.
Hivyo mataifa yanayotegemea mafuta kama njia kuu ya kujiingizia mapato yatakuwa na wakati mgumu sana kwani mapato yao yataporomoka.
Magari yanakuja ya kutumia nishati ya umeme na jua na pia majumbani umeme wa jua ndio utakaotumika na kupelekea makampuni kama Tanesco kufa.
Angalia hii binadamu unajua kwanini Russia anauza mafuta bei chee China na India Ila anauza Kwa bei ya soko Kwa nchi za ulaya, kabla ya hii vita India alikuwa ananunua asilimia 3 Tu ya mafuta ya urusi China alikuwa hafiki asilimia 50 kupunguza bei Kwa izi nchi Kwanza ni nchi zenye mahitaji makubwa ya mafuta kuliko nchi za ulaya Kwa pamoja pili kuchukua soko jipya pa India ambalo ni kubwa kupunguza bei kutawafanya wakimbilie kwake saivi wanaongea na indoona veitnam ili kufungua masoko mapya mshaambiwa Rusia siyo Zimbabwe watarukaruka watarudi wenyewe ningeona wajanja kama wangekata gesi kabisaDynamics za soko, demand ikupungua lazima bei inashuka . Sisemi mimi, kanuni za soko.
Shabiki wa ushoga ni baba yako mzazi alokuzaaKweli Tanzania elimu yetu inahitaji mageuzi makubwa. Nadhani ushabiki wako wa ushoga umekufanya kuandika utumbo huu...!!!
Wakiacha kununua mafuta ya Russia,tegemea wizi wa mafuta na mauaji(vita) ya kutisha kwenye nchi zenye mafuta. Hao ni mashetani wasiojali. Tatizo Russia hawawezi mletea ubabe. Mtokoma ninyi mnaowaona miungu watu.
Na ukumbuke, kuna bidhaa ukiwa nayo, wewe ndio utatafutwa na wateja. Sio kutafuta wateja.
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Humjui Mchina ,Mchina ambaye nchi nyingi za Afrika zinajutia mikopo ya Mchina kugharamia miundo mbinu. Ukweli wa mambo Mchina ni opportunist of worst kind taking advantage ya kuboronga kwa Vladimir Putin pale Ukraine. Mchina na India kwa kutambua soko la Ulaya limeota mbawa wamepangia mbabe Putin bei ya mafuta kwa style ya TAKE IT OR LEAVE IT, offer is not negotiable my dear comrade.Angalia hii binadamu unajua kwanini Russia anauza mafuta bei chee China na India Ila anauza Kwa bei ya soko Kwa nchi za ulaya, kabla ya hii vita India alikuwa ananunua asilimia 3 Tu ya mafuta ya urusi China alikuwa hafiki asilimia 50 kupunguza bei Kwa izi nchi Kwanza ni nchi zenye mahitaji makubwa ya mafuta kuliko nchi za ulaya Kwa pamoja pili kuchukua soko jipya pa India ambalo ni kubwa kupunguza bei kutawafanya wakimbilie kwake saivi wanaongea na indoona veitnam ili kufungua masoko mapya mshaambiwa Rusia siyo Zimbabwe watarukaruka watarudi wenyewe ningeona wajanja kama wangekata gesi kabisa
Sijui watu tatizo ni shule au ni nini, kwani kati ya muuzaji na mnunuzi, anayemhitaji mwenzie zaidi ni nani? Si anayeuza? Tafsir ya kuuza ni kwamba wewe una uhitaji, usipokuwa na uhitaji huwezi kuuza.
Russia ktk hili ndio muathirika zaidi, ni vile tu nchini kwake vyombo vya habari vyote vimezimwa kutoa ripoy negative ktk hii inayoitwa operation.
Hawa vijana wanaojiita mashabiki wa putin wanapaswa kutazama hili sakata kwa mapana.
Mama ntilie wa kumwaga ,mmoja akizungua wengi wanasubiri kupokea mteja mupya.Mnunuzi yeye sio muhitaji? We ukigoma kununua chakula unamkomoa mwenye chakula au wewe
Good comment.Kweli Tanzania elimu yetu inahitaji mageuzi makubwa. Nadhani ushabiki wako wa ushoga umekufanya kuandika utumbo huu...!!!
Wakiacha kununua mafuta ya Russia,tegemea wizi wa mafuta na mauaji(vita) ya kutisha kwenye nchi zenye mafuta. Hao ni mashetani wasiojali. Tatizo Russia hawawezi mletea ubabe. Mtokoma ninyi mnaowaona miungu watu.
Na ukumbuke, kuna bidhaa ukiwa nayo, wewe ndio utatafutwa na wateja. Sio kutafuta wateja.
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
G7 kila siku wanakuja na jipya, kwani mwaka 2012 si ndio wali Isolate Russia from G8 zikabaki hizo G7.Hahahahahah G1 mnyama kutoka Kremlin anawapeleka mputa mputa hao machoko wa NATO
hii kweli mkuu maana sijaona logic ya G7 ku impose sanction mwaka huu, wakati walikua washa impose sanction miaka 10 iliyopita?Wanapiga marufuku hadharani halafu wanapita mlango wa nyuma wanayanunua 😀
Hujuwi siukae kimya tu. Mali za nchi ninmali ya Mungu na kamwe usitumie mali ambazo ni natural kuumiza watu. Putin sio kiongozi ni mtu hatari ktk dunia ya sasa na niseme ukweli kwa ajili ya Mungu hapaswi kuendelea kuwa Rais wa Russian federation. Hata wananchi wake hakuna anaye furahia huu ujinga anaufanya sorryHununui mafuta alafu bado Una nunua gesi kutoka kwake kweli western mwaka huu wamepatikana unanunua ngano, mafuta ya Kula, makaa ya mawe, gesi si angeacha kununua vyote tuone kama wao ni jeurii sana
Hapaswi wewe kama nani !!!??Hujuwi siukae kimya tu. Mali za nchi ninmali ya Mungu na kamwe usitumie mali ambazo ni natural kuumiza watu. Putin sio kiongozi ni mtu hatari ktk dunia ya sasa na niseme ukweli kwa ajili ya Mungu hapaswi kuendelea kuwa Rais wa Russian federation. Hata wananchi wake hakuna anaye furahia huu ujinga anaufanya sorry
Kwamaana hiyo wew unamaamuzi bora kuliko Mungu mwenyewe?Hujuwi siukae kimya tu. Mali za nchi ninmali ya Mungu na kamwe usitumie mali ambazo ni natural kuumiza watu. Putin sio kiongozi ni mtu hatari ktk dunia ya sasa na niseme ukweli kwa ajili ya Mungu hapaswi kuendelea kuwa Rais wa Russian federation. Hata wananchi wake hakuna anaye furahia huu ujinga anaufanya sorry
Kawaumiza au wamejiumiza? Si wamegoma wenyewe kununua sembe kwa Mangi, unataka awashikie bango? au ulitaka agawe bure?Hujuwi siukae kimya tu. Mali za nchi ninmali ya Mungu na kamwe usitumie mali ambazo ni natural kuumiza watu. Putin sio kiongozi ni mtu hatari ktk dunia ya sasa na niseme ukweli kwa ajili ya Mungu hapaswi kuendelea kuwa Rais wa Russian federation. Hata wananchi wake hakuna anaye furahia huu ujinga anaufanya sorry
US kupitia Rais wao Bush Jr na Obama walikuja na sera zao za kuinvest kwenye nishati mbadala wa mafuta, ndio ikawa mwanzo wa discovery ya magali ya Tesla na rise ya Elon Musk, but still US ndio nchi pekee Duniani inayo consume mafuta mengi zaidi ya baro milion 20.Mahitaji ya mafuta yataendelea kupungua duniani kutokana na kuongezeka kwa teknolojia bila kujali swala la Russia na Ukraine na ndio maana mataifa ya kiarabu tayari yameanza kujipanga.
Kufikia mwaka 2035 Ulaya, Marekani, Canada, Japan na Australia watapiga marufuku utengenezaji wa magari yote yanayotumia nishati ya mafuta.
Hivyo mataifa yanayotegemea mafuta kama njia kuu ya kujiingizia mapato yatakuwa na wakati mgumu sana kwani mapato yao yataporomoka.
Magari yanakuja ya kutumia nishati ya umeme na jua na pia majumbani umeme wa jua ndio utakaotumika na kupelekea makampuni kama Tanesco kufa.
Sio kweli, naona huelewi kabisa future ya nishati ya mafuta ambayo tayari inawafanya hata waarabu waanze kujipanga.US kupitia Rais wao Bush Jr na Obama walikuja na sera zao za kuinvest kwenye nishati mbadala wa mafuta, ndio ikawa mwanzo wa discovery ya magali ya Tesla na rise ya Elon Musk, but still US ndio nchi pekee Duniani inayo consume mafuta mengi zaidi ya baro milion 20.
Ambapo discovery ya magali ya Tesla yanayotumia umeme, tulitegemea consumption ya mafuta ingepungua kwa US.
Kabla ya miaka ya 2010, consumption ya mafuta kwa US ilikua karibu baro milion 2, baada ya mwaka 2010 consumtion iliongezeka zaidi hadi baro milion 10.
Kwa data hizo wew manzese sijui chalambe ukuje na taarifa ya mahitaji ya mafuta kupungua wakati watu wanalia njaa sababu ya mafuta hayohayo au mwenzetu waishi Dunia ya wapi?
Subiri mwaka 2030 utaona soko la Hydrocarbons itakavyoshuka.Aliyekwambia mafuta yanatumika kwenye magari Tu ni Nani ivi izi akili mnatoa wapii unajua maana ya crude oil au unakuja kuruka ruka Tu uku hujamaliza kunywa uji au unaisi RUSSIA kuwa msambazaji mkubwa WA mbolea duniani anabaatisha unaisi mitambo mikubwa itaendeshaa na mionzi ya jua izi ndege zitaruka na maji embu lala uamke tena Rusia na nchi zinazochimba mafuta bado zitakuwa tegemezi kwenye uchumi WA dunia Hadi 2075 ndyo mabadiliko makubwa yataanza kuonekana na kuachana na mafuta na Badoo yatakuwa yanatumika kwenye maeneo flani flani
Hujawahi uza hata karanga ktk maisha yakoKama urussi ana jeuri angegoma kuwauzia hizo bidhaa nchi za magharibi.
Yani watu wakuwekee vikwazo, washike Mali yako, wamsaidie na silaha adui yako alafu kisha bado unafanya nao biashara.
Hapa urussi kashikishwa ukuta
Hili jamaa siyo zima kichwaniKama urussi ana jeuri angegoma kuwauzia hizo bidhaa nchi za magharibi.
Yani watu wakuwekee vikwazo, washike Mali yako, wamsaidie na silaha adui yako alafu kisha bado unafanya nao biashara.
Hapa urussi kashikishwa ukuta