Gabon: Mtoto wa Rais Ali Bongo na Katibu Mkuu Kiongozi wadaiwa kukutwa na zaidi ya Tsh. Bilioni 16.6 kwenye mabegi nyumbani

Kalime wewe kama rahisi


Wakati mwingine hizi huwa ni propaganda tu za kujaribu kuhalalisha kilichotokea.
Ila ubadhirifu wa Mali za imma sio propaganda.
 
[emoji848][emoji848][emoji848],Nimeishiwa neno,mweeh.THIS IS AFRIKA.lakini si ajabu Sana, Kama Kuna kiongozi wa Nchi Fulani anatoa mil.5 Kwaajili ya upuuzi na kusahau Kuna shule hazina hata matundu ya vyoo.
 
Wala tusiwashangae hao utakuta na sisi kwetu $ zimeadimika kumbe kuna watu wamezifanya magodoro
Waseme suu tuje kuwakagua majumbani kwao

Wewe viongozi gani hawana vision kabisa yaani kila mwaka ngonjera zile zile

Huyo aliekamatwa na hela zote hizo utakuta house girl wake anamuomba hela ya kumtibia mama yake anasema sina hela za kuchezea
Mbwa hawa wana majibu na sisi tunao wengi tu
Akipata cheo kidogo na dharau zinaanza unaingia ofisini badala akukaribishe na Salaam anakuambia Sema shida yako

Kuna mmoja nilitokwa povu mpaka akaona huyu mwisho atanizaba Kofi 😄
 
 
waje na huku, tena waanze na yule anaye kaa Chanika kule
 
Ukimkagua nape au ridhiwan na mwigulu lazima ukutane na hivyo vitu
 
Halafu hapa kwetu wanatuiba tukiwakosoa wanakuwa wakali wanatka tuwakosoe kwa hekima kwa hekima shuwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…