Gabon: Mtoto wa Rais Ali Bongo na Katibu Mkuu Kiongozi wadaiwa kukutwa na zaidi ya Tsh. Bilioni 16.6 kwenye mabegi nyumbani

Gabon: Mtoto wa Rais Ali Bongo na Katibu Mkuu Kiongozi wadaiwa kukutwa na zaidi ya Tsh. Bilioni 16.6 kwenye mabegi nyumbani

Kalime wewe kama rahisi

Museveni ukifuatilia hotuba yake miaka ile anapindua nchi Uganda utasema yes huyu ndio kiongozi lakini hadi leo Uganda ni shida tupu.

Nenda kamfauatilie Robert Mugabe miaka ile anaingia ikulu ya Zimbabwe utasema nchi inaenda kuwa na maendeleo ya kufa mtu lakini holaaaaa.

Cuba kwa Fidel Castro ni hivo hivo.

Kenya wameuana vibaya sana kwaajili ya katiba mpya wakaipata, lakini bado Wakenya wanalia na katiba mpya, maandamano kila kukicha.

Wakati mwingine huwa ni kujilisha matango pori tu.

Tufanye kazi kwa bidii kupigania familia zetu

Sent using Jamii Forums mobile app

Wakati mwingine hizi huwa ni propaganda tu za kujaribu kuhalalisha kilichotokea.
Ila ubadhirifu wa Mali za imma sio propaganda.
 
Habari!!
Sina maneno mengi.Angalieni hiyo clip muone jinsi tunavyoumizwa na hao wanaoitwa waheshimiwa.Huyo ni Waziri wa fedha wa Gabon aliyedakwa akijaribu kutoroka na hayo maburungutu ya hela.Gabon kwa sasa ipo kwenye mamlaka ya wanajeshi baada ya kufanya mapinduzi jana.Sasa huyu ni Waziri tu;vipi wale wa ngazi za juu? Hiyo ndio Afrika.View attachment 2734530
[emoji848][emoji848][emoji848],Nimeishiwa neno,mweeh.THIS IS AFRIKA.lakini si ajabu Sana, Kama Kuna kiongozi wa Nchi Fulani anatoa mil.5 Kwaajili ya upuuzi na kusahau Kuna shule hazina hata matundu ya vyoo.
 
Wala tusiwashangae hao utakuta na sisi kwetu $ zimeadimika kumbe kuna watu wamezifanya magodoro
Waseme suu tuje kuwakagua majumbani kwao

Wewe viongozi gani hawana vision kabisa yaani kila mwaka ngonjera zile zile

Huyo aliekamatwa na hela zote hizo utakuta house girl wake anamuomba hela ya kumtibia mama yake anasema sina hela za kuchezea
Mbwa hawa wana majibu na sisi tunao wengi tu
Akipata cheo kidogo na dharau zinaanza unaingia ofisini badala akukaribishe na Salaam anakuambia Sema shida yako

Kuna mmoja nilitokwa povu mpaka akaona huyu mwisho atanizaba Kofi 😄
 
Upekuzi uliofanywa na Vikosi vya Usalama nyumbani kwa Ian Ghislain Ngoulou ikiwa ni muda mfupi baada ya mapinduzi ya Kijeshi, vimebaini kiasi hicho cha Fedha zilizofichwa katika Mabegi makubwa.

Jeshi lililofanya mapinduzi na kumuondoa Rais Ali Bongo limesema Viongozi wote waliomatawa watashtakiwa kwa Ubadhirifu mkubwa wa Fedha za Umma, Kuendesha Magenge ya Ufisadi, Kughushi na Kutumia Saini ya Rais, Rushwa na Biashara ya Dawa za Kulevya.

Hadi sasa, Jeshi linawashikiliwa watu wa karibu wa Ali Bongo akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wa Baraza la Siasa, Msemaji wa Rais, Naibu Katibu Mkuu Kiongozi, Katibu Mkuu wa Chama Tawala na Mtoto wa Rais.

============

Videos quickly became viral on social networks and other electronic exchange platforms. More than 4 billion Fcfa have just been found at the home of Ian Ghislain Ngoulou, ex-director of cabinet of Nourredin Bongo Valentin.

Yan Ghislain Ngoulou
This discovery was made this Wednesday August 30, following a search by the public prosecutor, André Patrick Roponat.

A few hours before the said search, the Committee on Transition and Restoration of Institutions ( CTRI ) had announced the arrest of Ian Ghislain Ngoulou. The latter as well as Cyriac Mvourandjiami ( ex director of political cabinet of Ali Bongo ), Jessy Ella Ekogha ( ex spokesperson for the Presidency of the Republic ), Mohamed Ali Saliou ( ex deputy director of cabinet of Ali Bongo ), Steeve Nzeko Dieko ( ex Secretary General of the CEO ), Nourredin Bongo Valentin and Abdoul Oceni were arrested for the acts of high treason against state institutions.

These personalities are also prosecuted for the acts involving massive misappropriation of public funds, international financial embezzlement in organized gangs, forgery and use of forgeries, falsification of the signature of the President of the Republic, active corruption and drug trafficking.

Moreover, the CTRI has announced that all those involved in these cases will answer « for their actions.
FB_IMG_1693487941948.jpg
 
waje na huku, tena waanze na yule anaye kaa Chanika kule
 
Kwa mujibu wa video ilisambazwa mtandaoni kutoka Nchini Gabon, imedaiwa kuwa Upekuzi uliofanywa na Vikosi vya Usalama nyumbani kwa Ian Ghislain Ngoulou ikiwa ni muda mfupi baada ya mapinduzi ya Kijeshi, vimebaini kiasi hicho cha Fedha zilizofichwa katika Mabegi makubwa.

======

Videos quickly became viral on social networks and other electronic exchange platforms. More than 4 billion Fcfa have just been found at the home of Ian Ghislain Ngoulou, ex-director of cabinet of Nourredin Bongo Valentin.

Yan Ghislain Ngoulou
This discovery was made this Wednesday August 30, following a search by the public prosecutor, André Patrick Roponat.

A few hours before the said search, the Committee on Transition and Restoration of Institutions ( CTRI ) had announced the arrest of Ian Ghislain Ngoulou. The latter as well as Cyriac Mvourandjiami ( ex director of political cabinet of Ali Bongo ), Jessy Ella Ekogha ( ex spokesperson for the Presidency of the Republic ), Mohamed Ali Saliou ( ex deputy director of cabinet of Ali Bongo ), Steeve Nzeko Dieko ( ex Secretary General of the CEO ), Nourredin Bongo Valentin and Abdoul Oceni were arrested for the acts of high treason against state institutions.

These personalities are also prosecuted for the acts involving massive misappropriation of public funds, international financial embezzlement in organized gangs, forgery and use of forgeries, falsification of the signature of the President of the Republic, active corruption and drug trafficking.

Moreover, the CTRI has announced that all those involved in these cases will answer « for their actions.
Ukimkagua nape au ridhiwan na mwigulu lazima ukutane na hivyo vitu
 
Habari!!
Sina maneno mengi.Angalieni hiyo clip muone jinsi tunavyoumizwa na hao wanaoitwa waheshimiwa.Huyo ni Waziri wa fedha wa Gabon aliyedakwa akijaribu kutoroka na hayo maburungutu ya hela.Gabon kwa sasa ipo kwenye mamlaka ya wanajeshi baada ya kufanya mapinduzi jana.Sasa huyu ni Waziri tu;vipi wale wa ngazi za juu? Hiyo ndio Afrika.View attachment 2734530
Halafu hapa kwetu wanatuiba tukiwakosoa wanakuwa wakali wanatka tuwakosoe kwa hekima kwa hekima shuwani
 
Back
Top Bottom