Gaddafi wanted to Islamise all Africans and this was the only problem with him

Gaddafi wanted to Islamise all Africans and this was the only problem with him

Alikuwa mjinga sana,kwake yeye dini ndio ilikuwa kila kitu.
Alipoanza alikuwa na fikra hizo ndogo. Ulimwengu ukamfundisha lazima ashirikiane na hata sisi makafiri ili mambo yake yaende.
Kwani waliomuua hawakuwa na dini yake? Udini unaleta shida na taharuki bila sababu. Kama yeye alivyomfanya King Farouk sijui nani
 
Yaani wewe jamaa pamoja na offer ya ½ ya rasilimali za Dubai ili uingie DINI YA AMANI NA HAKI unaona haifai bora ufe ukiwa KAFFIR!

Wewe ukishikwa kichwa chako mali yao.
Na bado kuna offer za watoto wazuri 72 kuna mito ya pombe lakini pamoja na hayo yote siko tayari nitoke nuruni niende kwenye giza totoro.
 
Back
Top Bottom