Gaddafi wanted to Islamise all Africans and this was the only problem with him

Gaddafi wanted to Islamise all Africans and this was the only problem with him

Unawezaje kumsaidia mhalifu kama idd amini alafu ukaaminika,

Sina records za uhalifu wa mseven au obote
Amin kampindua Obote 1971,Obote kakimbilia tz,na akina museven,wanaanza kushambulia Uganda na kurudi,Amin baada ya kupindua aliikosea nini tz!?
 
Muammar Gaddafi did express aspirations for Africa to embrace Islam to some extent. He promoted his vision of a united Africa under Islamic principles.

Also,

Expressing his desire about islamic principles is not a problem, if he wanted it to be implemented for people accepting Islam as their religion.
Kwenye hii diversity kama angetumia nguvu asingeweza. By the way, wakristu na waislamu wameshapambana sana miaka ya nyuma na hawakupata mshindi. Leo kuna wajinga wengine wanafikiri wao wa akili sana walazimishe wengine kufuata dini zao kwa lazima na watafanikiwa.
Wanaenda makaburini wanaicha dunia ilivyo kama ilivyokuwa
 
Gadafi alikuwa na matatizo makubwa. Alikuwa na falsafa za ajabu, akiwahamasisha waislam kuwa wazaliane sana eti huko mbeleni kutakuwa na vita kati ya Wakristo na Waislam, na hivyo waislam wazaliane sana ili kushinda hiyo vita.

Nchini mwake, kila familia iliyozaa watoto zaidi ya wanne, kila mtoto baada ya hao wanne wa mwanzo, kulikuwa na zawadi toka Serikalini. Aliamini kuwa siku moja Ulaya nzima na America zitakaliwa na kutawaliwa na waislam.
 
Uislam wa Gaddafi haufikii wa hayati mzee ruksa, Gaddafi alikua bize na kujikwamua kwenye minyororo ya mabeberu wa WB na IMF,alikua na uchumi wake tofauti,alitaka kukata mirija ya mabeberu kuinyonya Africa ambapo Libya isingeathiriwa Tena na vikwazo vya mabeberu,Ila nyie waabudu maajabu huko kwenye visinagogi vyenu mnalishana chuki na unamtazama Gaddafi kwa jicho la dini na kufunga jicho la yakini
 
Back
Top Bottom