Gaddafi wanted to Islamise all Africans and this was the only problem with him

Gaddafi wanted to Islamise all Africans and this was the only problem with him

Keeping constant (ceteris paribus) other things, Gaddafi was a good leader.

But his hidden agenda was to Islamise all Africans. He disliked so much christians.
that was very difficult and very wrong plans of his 🐒
 
Uislam wa Gaddafi haufikii wa hayati mzee ruksa, Gaddafi alikua bize na kujikwamua kwenye minyororo ya mabeberu wa WB na IMF,alikua na uchumi wake tofauti,alitaka kukata mirija ya mabeberu kuinyonya Africa ambapo Libya isingeathiriwa Tena na vikwazo vya mabeberu,Ila nyie waabudu maajabu huko kwenye visinagogi vyenu mnalishana chuki na unamtazama Gaddafi kwa jicho la dini na kufunga jicho la yakini

Inawezekana wewe ndiyo umejaa fikra za kidini. Sisi wengine tulikwishajikomboa kwenye hizo fikra za kijinga miaka mingi, ndiyo maana hata familia zetu zina michanganyiko mikubwa ya kiimani. Hatuunganishwi wala kutenganishwa na fikra za kiimani.

Mimi nimeweka iliyokuwa falsafa ya Gadafi iliyokuwa imelalia kwenye fikra duni za kidini. Sijawahi kumchukia Gadafi au mtu yeyote kwa sababu ya imani yake, bali kwa matendo yake.

Hadafi alikuwa katili kwa kila aliyehoji uongozi wake. Ndiyo maana alifuta hata bunge nchini mwake. Aliua kila aliyehoji. Fuatilia historia ya utawala wake. Hata askari aliyemwua alikuwa na chuki binafsi dhidi ya Gadafi kutokana na Gadafi kumkamata ndugu yake pamoja na watu wengine, jumla watu 250, kuwapeleka gerezani, kisha kuwachukua usiku kwa siri, kuwaua na kuwazika kwenye kaburi moja. Askari wote walipewa amri ya kumkamata Gadafi ili ashtakiwe, siyo kumwua. Askari aliyemwua, alipofikishwa mahakamani kwa kosa la kumwua Gadafi, akijitetea alisema kuwa hakuona sababu ya Gadafi kushtakiwa wakati yeye Gadafi aliwaua watu wengine akiwemo kaka yake, bila ya kuwashtaki kwenye mahakama yoyote. Hata alipohukumiwa kunyongwa hadi kufa alisema kuwa alikuwa ameridhika, na anafurahi kwa kuwa amelipiza kisasi kwa Gadafi kwa mauaji aliyoyafanya kwa watu wengine.

Gadafi alionekana mtu mzuri kwa watu wa chini wasioweza kuhoji chochote. Lakini kwa wenye akili wote, alionekana ni dikteta mkubwa. Tena aliweka mfumo wa hovyo wa utawala usioeleza nani anashika madaraka ya nchi kama Rais hayupo, kama wanavyofanya madikteta wote Duniani.
 
Nimeuliza alimsaidia Obote Kama nani!?..Obote ambaye hata kwenye msiba wa Nyerere hakuja
Nyerere alimsaidia Obote kwenye nini? Kumpa hifadhi ya ukimbizi?

Sababu pekee inayotajwa kama sababu ya ukaribu wa Obote na Nyerere ni EAC. Nyerere alimwamini zaidi Obote kuliko hata Mzee Jomo Kenyatta kwenye masuala ya EAC.
 
Gadafi alikuwa na matatizo makubwa. Alikuwa na falsafa za ajabu, akiwahamasisha waislam kuwa wazaliane sana eti huko mbeleni kutakuwa na vita kati ya Wakristo na Waislam, na hivyo waislam wazaliane sana ili kushinda hiyo vita.

Nchini mwake, kila familia iliyozaa watoto zaidi ya wanne, kila mtoto baada ya hao wanne wa mwanzo, kulikuwa na zawadi toka Serikalini. Aliamini kuwa siku moja Ulaya nzima na America zitakaliwa na kutawaliwa na waislam.
Mkuu wewe kwa jicho la tatu unauonaje huo utabiri?? Unafanikiwa? Rejea reaction ya nchi za ulaya dhidi ya ueneaji wa kasi wa uislam ulaya!
 
Njia pekee ya mkristo kukubali kuwa muislamu ni kutoujua uislamu ukoje kindani ndani.

Hakuna mkristo atakaekubali kuwa muislam kama akijua ukweli kwamba uislamu unasema atakayehama uislamu akatwe kichwa.
Mkuu usitie watu hofu! Tuambie ni waislamu wangapi wameuhama uislamu hapa nchi na kwingine Afrika ambao wamekatwa vichwa???

Kwani biblia haina vifungu vya kupiga watu kwa mawe hadi wafe???

Je kwenye ukristo wanaokiuka vifungu hivyo wanauwawa kwa mawe???
 
visinagogi
Sheikh Mazinde alikuwa anahubiri mambo yake ya kukashif Wakristu anawambia Waislam wenzake Sinagogi ni Msikiti...halafu anawadaganya wenzake Yesu aliingia kwenye Sinagogi na sinagogi ni Msikiti hivyo Yesu alikuwa Mwislam.

Kazi kweli kweli. Sijui yuko wapi siku hizi Mazinde na Mwaipopo
 
Uislam wa Gaddafi haufikii wa hayati mzee ruksa, Gaddafi alikua bize na kujikwamua kwenye minyororo ya mabeberu wa WB na IMF,alikua na uchumi wake tofauti,alitaka kukata mirija ya mabeberu kuinyonya Africa ambapo Libya isingeathiriwa Tena na vikwazo vya mabeberu,Ila nyie waabudu maajabu huko kwenye visinagogi vyenu mnalishana chuki na unamtazama Gaddafi kwa jicho la dini na kufunga jicho la yakini
👊💐🛡️
 
Mkuu usitie watu hofu! Tuambie ni waislamu wangapi wameuhama uislamu hapa nchi na kwingine Afrika ambao wamekatwa vichwa???

Kwani biblia haina vifungu vya kupiga watu kwa mawe hadi wafe???

Je kwenye ukristo wanaokiuka vifungu hivyo wanauwawa kwa mawe???
Anayesema ukibadili Dini ukiwa Muislam hukatwi kichwa ni wewe ama Quran?.
 
Moja yeye alichotaka kina kosa lolote?, Unless alilazimisha hio ndio mbaya..., pili alichukia Christians au Christianity.., Sababu kama vile Muslims sio necessarily sawa na Mafundisho ya Uislamu ndio hivyo hivyo kwa Christianity (Yaani ni bunch of hypocrites) kwahio kama Msemo unavyosema....;
“I like your Christ, I do not like your Christians. Your Christians are so unlike your Christ.”

Kwahio huwezi kusema unachukia Maaskofu au Mashee sababu wanataka watu wote wawe Imani zao...; Binafsi ndio maana naikubali Tanzania Nchi haina dini kila mtu kivyake wala kitaifa hatujadili Dini

Mkuu usitie watu hofu! Tuambie ni waislamu wangapi wameuhama uislamu hapa nchi na kwingine Afrika ambao wamekatwa vichwa???

Kwani biblia haina vifungu vya kupiga watu kwa mawe hadi wafe???

Je kwenye ukristo wanaokiuka vifungu hivyo wanauwawa kwa mawe???

Hakuna nchi duniani inayofata maneno ya biblia na kuyafanya sheria.

Ila kuna nchi kibao zinazofata maneno ya quran na hadith na kuzifanya sheria.

Makao makuu tu ya uislam tu saudi arabia huwa wanakata watu vichwa wanaohama uislamu.

Ni uongo kusema maneno ya biblia ndio sheria za nchi fulani.

Itaje nchi hata moja tu inayoua watu kwa sababu biblia imeandika wauwawe. Mimi nakuwekea ushahidi na wewe weka wa ukristo
Screenshot_20221018-091820_Firefox(2).jpg
 
Ghadafi hakuwa na faida yoyote kwa afrika .
Waafrika ni rahisi kurubuniwa na ela , na hapo ndiyo gadafi aliweza.
 
Back
Top Bottom