Gaddafi wanted to Islamise all Africans and this was the only problem with him

🔹 Alikuwa amemwaandaa Idd Amin kuwa amiri wa Afrika mashariki ndio maana alituma askari wake kuja kuwapiga Watanzania waliokuwa wanaongozwa na Mkatoliki

🔹 Alikusanya machangudoa kwenda kuichefua ardhi ya wakatoliki huko Italy kwa kuwaandamanisha hukuwakiwa wamembeba msaafu na kuwa wanaimba mitaani Islam ndio dini pekee

🔹 Misaada yake yote ilikuwa kujenga misikiti kwenye nchi za kiafrika.

🔹 Alisapoti wanasiasa na kuwashawishi kwa fedha nyingi wabadili dini ili wake wagombee uraisi na kuwasapoti

🔹 Alisapoti Sana vikundi vya kidini kisirisiri vilivyokuwa vinalingania dini yake

🙆 Ni kiongozi wa hovyo kuliko wote kuwahi kutokea Africa
 
Nyerere hakuwahi kusaidia wahalifu
kama lugha ingekuwa inapanda ungesoma hii ya mgalatia mwenzako ujue jinsi Nyerere alivyokuwa mshenzi wa kumsaidia Obote aliyeuwa waganda wengi kuliko Amin
Lakini mbuzi galatia hii lugha ilikupita kushoto
 
Wewe hakuna hata wa kukuahidi tende. Ukiwa muislam una impact gani kwenye huo uislam?
Labda Mwamposa anaweza kuahidiwa kitu siyo wewe hata mia huna eti nusu ya utajiri wa dubai, labda Dubai ya gamboshi kwenye matunguli.
Kwaiyo Mwamposa mnaweza kumpa pesa ili awe muislam 🤣🤣🤣🤣

Kweli toeni tu pesa kushawishi watu maarufu maana kikubwa alichowaahidi allah waja wake ni papuchi 72 na mito ya pombe
 
mtu mweusi sio wakumpigania,mwisho wa siku atakutia kasoro za udini,ukabila au siasa.
walimuuwa Thomas Sankara,Patrice Lumumba na Gadafi.
[emoji115]
wote hao wametiwa kasoro za udini,siasa na ukabila.
shithole countries.
Wewe utakuwa ndiyo wale wafuasi wa unyonge yaani Jiwe
 
Waislam ni watu wa ajabu sana.
 
Mbona kama alikuwa kama Jiwe
 
Wa ajabu kushinda hawa waliobarikiwa na papa mshogaji

View attachment 2936769
Ningekuwekea hapa Ushoga wa mtu fulani maarufu sana alioufanya wazi wazi.
Ila kwakuwa ni Mwezi wa Mzee Ramadhani na sio jukwaa la Dini sipendi kuwaudhi wenye staha zao hapa.
Hao uliowaweka sio Manabii wala mitume na wako katika jamii zote.
Ni wahalifu kama wahalifu wengine.
Bakia kwenye mada usijifanye mjuaji sana.
 
Rafiki wakubwa wa Gadafi wa kiafrika walikuwa Maraisi WAKRISTO, na nchi alizozisaidia nyingi zina idadi kubwa ya wakristo, k.m. Mugabe & Zimbabwe, Museveni & Uganda, Kibaki/Uhuru & Kenya, na hatujaona akiwashawishi kuingia uislamu. Hizo zilikuwa fitina za Nchi za Magharibi. Tuatacha lini uzembe wa kuamini propaganda za wazungu wasiotupenda.
 
Kama alikuwa kiongozi mzuri mbona Walibya walimuua ?
Ni kichwa pekee ataamini Gadafi aliuawa na walibya, jiulize kwanini Obama alijutia uamuzi wa kuivamia libya
 
Yaani wapumbavu hamuwezi kuisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…