Gadner G. Habash arudi rasmi Clouds FM

Nilwai fanya nao kazi hawa Fina Masoud na Gadner in those days.
Kama wamerudi ni jambo jema sana Clouds itaimalika sana
 
Unawafahamu vizuri Masoud Kipanya na Fina Mango au ndio umewasikia leo? Maana watu wa mikoani mna tabu sana mshazoea matangazo ya redio Abood.
...hahaha huyo alikua anaskiliza Radio Kwizela Ngara Mugiini... clouds kaanza kuisikiliza juzi iliposambaa mikoani...
hii sasa ndio powerbreakfast... huyo hando alikua vuvuzela tu pale.... nitammiss pj tu kwa uchambuzi wa magazeti..
 
Nasikiliza clouds fm hapa naona Gadna yupo ndani ya nyumba..

Mbona mimi namsikia now clouds fm 88.4? Upo unasikiliz redio kweli?

Gadna yupo clouds sasa hivi... Duuuuh .. Kweli mikataba..
Taji liundi naye kaondoka kule efm.. Kaandika kwenye ukurasa wake wa fb..
Sikuweza kuamini kuwa umekuwa muongo kiasi hiki mkuu? Hata kama ni April fools umejiondolea credibility yako kwangu. Poor Ivuga
 
Mbona mimi namsikia now clouds fm 88.4? Upo unasikiliz redio kweli?
Usije ukaingizwa chaka hapo clouds kuna mtu ni copy kabisa ya sauti ya Gadner, kuwa makini. Subiri jumatatu kama ni kweli na wakiwekwa wote basi utaacha kushangaa, maana mimi nilijuwa Gadner amerudi clouds siku nyingi kumbe siyo yeye.
 
Sikuweza kuamini kuwa umekuwa muongo kiasi hiki mkuu? Hata kama ni April fools umejiondolea credibility yako kwangu. Poor Ivuga
Usimlaumu without know how, kama una access ya kusikiliza clouds fungulia huyo jamaa ni Gadner mtupu, ingawa mimi sina redio kwa muda huu lakini nilishaingia chaka siku nyingi nikajuwa Gadner alisharudi clouds.
 
Nilikuwa sijui kama leo ni "Siku ya wajinga" lakini taarifa hizi ni kweli tupu na nimethibitishiwa na mmoja ktk wale wanaondoka Clouds sasa hivi

Mlidhani GENTAMYCINE Nakurupuka. Mngejua Mwenyezi Mungu Kawapeni ZAWADI Halafu Mnaichezea. Labda Nikifa Ndiyo Mtagundua UMUHIMU Wangu Na KUNIKUMBUKA.
 
Usije ukaingizwa chaka hapo clouds kuna mtu ni copy kabisa ya sauti ya Gadner, kuwa makini. Subiri jumatatu kama ni kweli na wakiwekwa wote basi utaacha kushangaa, maana mimi nilijuwa Gadner amerudi clouds siku nyingi kumbe siyo yeye.
Inawezekana brother...
 
Sikuweza kuamini kuwa umekuwa muongo kiasi hiki mkuu? Hata kama ni April fools umejiondolea credibility yako kwangu. Poor Ivuga
Mkuu soma hio post ya matola hapo juu, mini mara nyingi huwa sisikilizi redio kutokana na nature ya kaZi yangu. Pole mkuu kwa yote.
Matoka kasema kuna jamaa wanafanana sana sauti na G
 
Mimi ningefurahi zaidi kama wangerudisha na watangazaji wa zamani wa Choice FM
 
Yes hapo CLOUDS ilikuwa juu sana, hawa walikuwa watangazaji bora Clouds:
  • M.L Chris,
  • Bobby,
  • Fina Mango,
  • Masoud Kipanya,
  • Jimmy Kabwe,
  • Seven Mosha,
  • Terrence, wengine nimewasahau majina.
    O.J na Jimmy Kabwe sasa wako Choice FM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…