Gadner G. Habash arudi rasmi Clouds FM

Gadner G. Habash arudi rasmi Clouds FM

Nilwai fanya nao kazi hawa Fina Masoud na Gadner in those days.
Kama wamerudi ni jambo jema sana Clouds itaimalika sana
 
Unawafahamu vizuri Masoud Kipanya na Fina Mango au ndio umewasikia leo? Maana watu wa mikoani mna tabu sana mshazoea matangazo ya redio Abood.
...hahaha huyo alikua anaskiliza Radio Kwizela Ngara Mugiini... clouds kaanza kuisikiliza juzi iliposambaa mikoani...
hii sasa ndio powerbreakfast... huyo hando alikua vuvuzela tu pale.... nitammiss pj tu kwa uchambuzi wa magazeti..
 
Nasikiliza clouds fm hapa naona Gadna yupo ndani ya nyumba..

Mbona mimi namsikia now clouds fm 88.4? Upo unasikiliz redio kweli?

Gadna yupo clouds sasa hivi... Duuuuh .. Kweli mikataba..
Taji liundi naye kaondoka kule efm.. Kaandika kwenye ukurasa wake wa fb..
Sikuweza kuamini kuwa umekuwa muongo kiasi hiki mkuu? Hata kama ni April fools umejiondolea credibility yako kwangu. Poor Ivuga
 
Hakuna Mgomo Mkuu Ila Mazoea Yalizidi Pasipo UELEDI Halafu Usisahau Kuwa Clouds Sasa Inakwenda Kuwa Ya KIMATAIFA Hivyo Inataka Pia Kuwa Na Watangazaji Wenye Exposure Kubwa Na Ya Kutosha Ni Siyo Wa Ambao Walikuwa Wamejazana Hapo.[/QUO
Huyu Gadna mpaka umri unaenda bado anawapigia magoti akina Ruge! Miaka yote aliyo kaa clouds pesa alikuwa anawekeza kwenye ni ni? Haitakuwa ajabu kusikia hata nyumba hana maisha yote aliishi kwa kutembelea nyota ya Komando! Dah, nooma sana.
 
Mbona mimi namsikia now clouds fm 88.4? Upo unasikiliz redio kweli?
Usije ukaingizwa chaka hapo clouds kuna mtu ni copy kabisa ya sauti ya Gadner, kuwa makini. Subiri jumatatu kama ni kweli na wakiwekwa wote basi utaacha kushangaa, maana mimi nilijuwa Gadner amerudi clouds siku nyingi kumbe siyo yeye.
 
Sikuweza kuamini kuwa umekuwa muongo kiasi hiki mkuu? Hata kama ni April fools umejiondolea credibility yako kwangu. Poor Ivuga
Usimlaumu without know how, kama una access ya kusikiliza clouds fungulia huyo jamaa ni Gadner mtupu, ingawa mimi sina redio kwa muda huu lakini nilishaingia chaka siku nyingi nikajuwa Gadner alisharudi clouds.
 
Nilikuwa sijui kama leo ni "Siku ya wajinga" lakini taarifa hizi ni kweli tupu na nimethibitishiwa na mmoja ktk wale wanaondoka Clouds sasa hivi

Mlidhani GENTAMYCINE Nakurupuka. Mngejua Mwenyezi Mungu Kawapeni ZAWADI Halafu Mnaichezea. Labda Nikifa Ndiyo Mtagundua UMUHIMU Wangu Na KUNIKUMBUKA.
 
Usije ukaingizwa chaka hapo clouds kuna mtu ni copy kabisa ya sauti ya Gadner, kuwa makini. Subiri jumatatu kama ni kweli na wakiwekwa wote basi utaacha kushangaa, maana mimi nilijuwa Gadner amerudi clouds siku nyingi kumbe siyo yeye.
Inawezekana brother...
 
Sikuweza kuamini kuwa umekuwa muongo kiasi hiki mkuu? Hata kama ni April fools umejiondolea credibility yako kwangu. Poor Ivuga
Mkuu soma hio post ya matola hapo juu, mini mara nyingi huwa sisikilizi redio kutokana na nature ya kaZi yangu. Pole mkuu kwa yote.
Matoka kasema kuna jamaa wanafanana sana sauti na G
 
Naomba Nianze Kwa KUSISITIZA Kuwa UZI Huu Hauhusiani Na Tarehe Ya Leo Na Dhana Nzima Ya Siku Ya Leo Ya WAJINGA Ila Naomba Muipokee Hii TAARIFA Kwa UMUHIMU Wake Mkubwa Kwani Ina UKWELI Wa 100%.

Ni Kwamba Muda Si Mfupi Mtangazaji Wa Zamani Wa Clouds FM Gadner G. Habash Ambaye Baadae Hadi Hivi Sasa Alikuwa Akitangaza Kituo Cha Redio Cha E FM Ametoka Kumalizana Na Uongozi Wa Clouds Media Group Na Kwamba Sasa Ni RASMI Kuwa Kuanzia Jumatatu Ijayo Atakuwa Akitangaza Katika Kipindi Cha JAHAZI.

Pongezi Kwake Gadner G. Habash Na Uongozi Mzima Wa Clouds Media Group Kwani Hakika Sasa Tutaanza Kuiona Ile Clouds Ya KITEGA UCHUMI Yenye Mafundi Watupu Akina Fina Na Kipanya Katika Power Breakfast Na Gadner Katika Jahazi.

Naomba Kuwasilisha Na Nirudie Tena Kusisitiza Kuwa TAARIFA HII HAINA CHEMBE YOYOTE YA DHANA NZIMA YA SIKU YA WAJINGA Kwani UKWELI Ndio Huo.
Mimi ningefurahi zaidi kama wangerudisha na watangazaji wa zamani wa Choice FM
 
Ila kiukweli naikumbuka Clouds fm ya Fina na masoud POWER BREAKFAST
Midmorning jam JIDE
The TWELVE O'CLOCK with BOOGIE MASTER
Doctor Beat M.L CHRIS,FAT BLACK,na BONNIE LOVE kwenye 1&2
Drive home show na BOBBY
AFRICA BAMBATAA na OTHMAN NJAID O.J na Chales MUHAMIJI
Lucy Devine nae usiku
HAPA NDIPO WHEN CLOUDS WAS CLOUDS
ila power breakfast ya FINA NA MASOUD AND DR.BEAT WAS MY FAVOURITE
pia kipindi cha weekend- REMEMBERING FRIDAY-M.L CHRIS
Yes hapo CLOUDS ilikuwa juu sana, hawa walikuwa watangazaji bora Clouds:
  • M.L Chris,
  • Bobby,
  • Fina Mango,
  • Masoud Kipanya,
  • Jimmy Kabwe,
  • Seven Mosha,
  • Terrence, wengine nimewasahau majina.
    O.J na Jimmy Kabwe sasa wako Choice FM.
 
Back
Top Bottom