Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Hivi Maestro yuko wapi?Nasubiri Maestro na Jeff Leah nao warudi kuokoa kipindi cha michezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Maestro yuko wapi?Nasubiri Maestro na Jeff Leah nao warudi kuokoa kipindi cha michezo
Nliishia la tano mkuuKabla Sijakujibu Naomba Kwanza Nijue Kiwango Chako Cha ELIMU Ili Nisiwe Napata Kazi Ya Ziada au Kupoteza Muda Kukujibu.
Mnazingua sasaNasikiliza clouds fm hapa naona Gadna yupo ndani ya nyumba..
EfmHivi Maestro yuko wapi?
Sikuwezi kwa ubishi.Nasikiliza clouds fm hapa naona Gadna yupo ndani ya nyumba..
...hahaha huyo alikua anaskiliza Radio Kwizela Ngara Mugiini... clouds kaanza kuisikiliza juzi iliposambaa mikoani...Unawafahamu vizuri Masoud Kipanya na Fina Mango au ndio umewasikia leo? Maana watu wa mikoani mna tabu sana mshazoea matangazo ya redio Abood.
Nasikiliza clouds fm hapa naona Gadna yupo ndani ya nyumba..
Mbona mimi namsikia now clouds fm 88.4? Upo unasikiliz redio kweli?
Sikuweza kuamini kuwa umekuwa muongo kiasi hiki mkuu? Hata kama ni April fools umejiondolea credibility yako kwangu. Poor IvugaGadna yupo clouds sasa hivi... Duuuuh .. Kweli mikataba..
Taji liundi naye kaondoka kule efm.. Kaandika kwenye ukurasa wake wa fb..
Hakuna Mgomo Mkuu Ila Mazoea Yalizidi Pasipo UELEDI Halafu Usisahau Kuwa Clouds Sasa Inakwenda Kuwa Ya KIMATAIFA Hivyo Inataka Pia Kuwa Na Watangazaji Wenye Exposure Kubwa Na Ya Kutosha Ni Siyo Wa Ambao Walikuwa Wamejazana Hapo.[/QUO
Huyu Gadna mpaka umri unaenda bado anawapigia magoti akina Ruge! Miaka yote aliyo kaa clouds pesa alikuwa anawekeza kwenye ni ni? Haitakuwa ajabu kusikia hata nyumba hana maisha yote aliishi kwa kutembelea nyota ya Komando! Dah, nooma sana.
Nimeona leo mods wamemoderate threads na post mbalimbali za kupotosha lakini huh Uzi umewashinda. Ngoja tusubiri hiyo Jumatatu kama Captein akirudi basis sawaaJamaa yupo EFM na anamuhoji Vanesa Mdee now.Acheni uwongo.
Usije ukaingizwa chaka hapo clouds kuna mtu ni copy kabisa ya sauti ya Gadner, kuwa makini. Subiri jumatatu kama ni kweli na wakiwekwa wote basi utaacha kushangaa, maana mimi nilijuwa Gadner amerudi clouds siku nyingi kumbe siyo yeye.Mbona mimi namsikia now clouds fm 88.4? Upo unasikiliz redio kweli?
Usimlaumu without know how, kama una access ya kusikiliza clouds fungulia huyo jamaa ni Gadner mtupu, ingawa mimi sina redio kwa muda huu lakini nilishaingia chaka siku nyingi nikajuwa Gadner alisharudi clouds.Sikuweza kuamini kuwa umekuwa muongo kiasi hiki mkuu? Hata kama ni April fools umejiondolea credibility yako kwangu. Poor Ivuga
Nilikuwa sijui kama leo ni "Siku ya wajinga" lakini taarifa hizi ni kweli tupu na nimethibitishiwa na mmoja ktk wale wanaondoka Clouds sasa hivi
Inawezekana brother...Usije ukaingizwa chaka hapo clouds kuna mtu ni copy kabisa ya sauti ya Gadner, kuwa makini. Subiri jumatatu kama ni kweli na wakiwekwa wote basi utaacha kushangaa, maana mimi nilijuwa Gadner amerudi clouds siku nyingi kumbe siyo yeye.
Mkuu soma hio post ya matola hapo juu, mini mara nyingi huwa sisikilizi redio kutokana na nature ya kaZi yangu. Pole mkuu kwa yote.Sikuweza kuamini kuwa umekuwa muongo kiasi hiki mkuu? Hata kama ni April fools umejiondolea credibility yako kwangu. Poor Ivuga
Mimi ningefurahi zaidi kama wangerudisha na watangazaji wa zamani wa Choice FMNaomba Nianze Kwa KUSISITIZA Kuwa UZI Huu Hauhusiani Na Tarehe Ya Leo Na Dhana Nzima Ya Siku Ya Leo Ya WAJINGA Ila Naomba Muipokee Hii TAARIFA Kwa UMUHIMU Wake Mkubwa Kwani Ina UKWELI Wa 100%.
Ni Kwamba Muda Si Mfupi Mtangazaji Wa Zamani Wa Clouds FM Gadner G. Habash Ambaye Baadae Hadi Hivi Sasa Alikuwa Akitangaza Kituo Cha Redio Cha E FM Ametoka Kumalizana Na Uongozi Wa Clouds Media Group Na Kwamba Sasa Ni RASMI Kuwa Kuanzia Jumatatu Ijayo Atakuwa Akitangaza Katika Kipindi Cha JAHAZI.
Pongezi Kwake Gadner G. Habash Na Uongozi Mzima Wa Clouds Media Group Kwani Hakika Sasa Tutaanza Kuiona Ile Clouds Ya KITEGA UCHUMI Yenye Mafundi Watupu Akina Fina Na Kipanya Katika Power Breakfast Na Gadner Katika Jahazi.
Naomba Kuwasilisha Na Nirudie Tena Kusisitiza Kuwa TAARIFA HII HAINA CHEMBE YOYOTE YA DHANA NZIMA YA SIKU YA WAJINGA Kwani UKWELI Ndio Huo.
Yes hapo CLOUDS ilikuwa juu sana, hawa walikuwa watangazaji bora Clouds:Ila kiukweli naikumbuka Clouds fm ya Fina na masoud POWER BREAKFAST
Midmorning jam JIDE
The TWELVE O'CLOCK with BOOGIE MASTER
Doctor Beat M.L CHRIS,FAT BLACK,na BONNIE LOVE kwenye 1&2
Drive home show na BOBBY
AFRICA BAMBATAA na OTHMAN NJAID O.J na Chales MUHAMIJI
Lucy Devine nae usiku
HAPA NDIPO WHEN CLOUDS WAS CLOUDS
ila power breakfast ya FINA NA MASOUD AND DR.BEAT WAS MY FAVOURITE
pia kipindi cha weekend- REMEMBERING FRIDAY-M.L CHRIS
Wewe umuhimu wako wanajua mashosti wenzio akina Nifah! Dume zima unaitwa shosti!! Utajagongwa mbugira weweMlidhani GENTAMYCINE Nakurupuka. Mngejua Mwenyezi Mungu Kawapeni ZAWADI Halafu Mnaichezea. Labda Nikifa Ndiyo Mtagundua UMUHIMU Wangu Na KUNIKUMBUKA.