Gael Bigirimana wakati yupo Newcastle, Simba ilikuwa na kikosi hiki...

Gael Bigirimana wakati yupo Newcastle, Simba ilikuwa na kikosi hiki...

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Haya pimeni wenyewe huyo babu wakati yupo kijana na wenzake vijana walikuwa hawa kikosini Simba...
54F50EE1-83A5-4BC6-AEF1-054FDFC07E25.jpeg
 
Kwa hiyo Samatta naye kumbe ni babu! Na kama akina Yondani, Kaseja, Nyoso na Ramadhani Chombo wanaendelea kucheza! Shida iko wapi kwa huyo Bigirimana!
Bony Siasa imemshinda amekuwa mchambuzi saizi,maana kila swala la mpira anadakia
 
Haya pimeni wenyewe huyo babu wakati yupo kijana na wenzake vijana walikuwa hawa kikosini Simba...View attachment 2285620
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
 
FB_IMG_1657390645988.jpg

Hiyo 2010 Gael B ndio kwanza alikuwa na miaka 16,2013 alipofikisha miaka 19 akaitwa kwenye kikosi cha uingereza U- 20 na mafundi wenzake Eric Dier, John Stones,Ross Barkley,James ward-Prowse na Harry Kane
 
Back
Top Bottom