Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hawana hoja, wamepoteza mwelekeoRonaldo anatafutwa na Chelsea at 38, ni mbumbumbu wa Tanzania tu wanaoweza kubeza usajiri wa Bigirimana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana hoja, wamepoteza mwelekeoRonaldo anatafutwa na Chelsea at 38, ni mbumbumbu wa Tanzania tu wanaoweza kubeza usajiri wa Bigirimana.
Hasira za nini maisha umeyakosea mwenyewe unakasirikia watu!? Ungekua na akili usinge andika huu uharo humuMbona kama huna akili?
HahahaaaaHasira za nini maisha umeyakosea mwenyewe unakasirikia watu!? Ungekua na akili usinge andika huu uharo humu
Huyo ana jingineKwa hiyo Samatta naye kumbe ni babu! Na kama akina Yondani, Kaseja, Nyoso na Ramadhani Chombo wanaendelea kucheza! Shida iko wapi kwa huyo Bigirimana!
Wana bahati hawa wangeshuka darajaNyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
Mkuu kama huna akili?😂Hasira za nini maisha umeyakosea mwenyewe unakasirikia watu!? Ungekua na akili usinge andika huu uharo humu
Miaka 4 mechi 13 goli mojaNaombeni profile yake..hapo castle kakaa muda gani..kafunga magol mangapi?vp team nyinginr alizochezea aliperfom kwa kiwango gani?asije akawa ni kama machupi morison tuliemgawia uto bure kabxa
AKIKUJIBU niite nipo pale NAKUNYWA togwa...Kwa hiyo Samatta naye kumbe ni babu! Na kama akina Yondani, Kaseja, Nyoso na Ramadhani Chombo wanaendelea kucheza! Shida iko wapi kwa huyo Bigirimana!
Unataka nikukaze?Mkuu kama huna akili?[emoji23]
Mkuu kama huna akili? 😂😂Unataka nikukaze?
Mpaka sasa umeona nini?Ngoja tuone uwanjani..