Gael Bigirimana wakati yupo Newcastle, Simba ilikuwa na kikosi hiki...

Gael Bigirimana wakati yupo Newcastle, Simba ilikuwa na kikosi hiki...

Je , Samatta unamweka wapi mbona bado anaupiga tena Ulaya hebu tusubiri mchezaji mwenyewe atuthibitishie uwanjani
Samatta mwenyewe ni mzigo tu kwenye timu zake we angalia hata kiwango chake timu ya taifa
 
Harry Kane anacheza EPL yeye kaja kucheza mpira wa makaratasi Tanzania😆😆
Vipindi vya maisha tu Mzee wangu,kwenye hicho kikosi kuna wengine hata mpira wameacha kucheza na wengine hawajulikani walipo

Ligi ikianza hatutaki kusikia kuhusu Bahasha za GSM......endeleeni kusajili wachezaji maalum ya ajili ya kushusha daraja timu
 
Samatta kwa sasa ana miaka 28! Umri sawa kabisa na huyo Bigirimana wetu!
Samatta hawezo kuwa kamzidi Feisal miaka minne tu, Samatta age imeenda yule hakosi 32-33.

Hao akina Kagere wanaosema wana 36 naamini wana 40 kabisa, Africa ina kasumba ya watu wake kudanganya umri ila miili yao huwaumbua hatimae.
 
Galel alikua under 20 ya England na ki na Harry Kane mbona wenzake wanacheza tena yeye ndio mnamuona mzee peke yake?
 
Galel alikua under 20 ya England na ki na Harry Kane mbona wenzake wanacheza tena yeye ndio mnamuona mzee peke yake?
Wenzake wanacheza eeh, vipi yeye ?

Mchezaji mwenye potential unakataliwaje na vilabu vya ulaya ukiwa na miaka 28 tu? Hii haishangazi??
 
Kwa hiyo Samatta naye kumbe ni babu! Na kama akina Yondani, Kaseja, Nyoso na Ramadhani Chombo wanaendelea kucheza! Shida iko wapi kwa huyo Bigirimana!
We samatta unamuonaje? Aliosoma nao kwa Sasa wapo age ya 33+
 
Back
Top Bottom