Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,191
- 4,220
Mkapa alisoma NdandaView attachment 3047302
Karibu Kigonsera ukutane na Ngungulu karibu Mbinga Ruvuma hapa wamepita kina Majaliwa Kassim, B W Mkapa nk wanakijiji wa hapo wanapaita hapo Boda π
Naona uniform tofauti, sisi tulikuwa tunavaa khaki. Chama langu ukweli.Umbwe-Kilimanjaro
View attachment 3047339
Kilimanjaro naona ina shule nyingi nzuri jmnKibosho Girl's Secondary School. To Know, To Love & To Act.
Gen Z hii ndiyo shule ya wasichana, ilikuwa na watoto warembo sana. View attachment 3052644View attachment 3052645View attachment 3052646
Ilikuwepo huko nyumaNgoja nisubirie Tosamaganga na Songea Boys.
Form 1-6 ?Mkapa alisoma Ndanda