Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisoma hapaa miaka 20 iliyo pita.kweli kumependeza,ilaa sasa wanafunzi wasasa nivimeo,sio ile iliboru ya enzi yetu
wamejenga mfano wa majengo ya kawaida ya ulaya kabisa. hii nchi ilitakiwa tumwachie mjeremani akae kidogo walau miaka 30 ndio atupatie uhuru. tuliwahi sana.
ujenzi wa vitofali kama ivi hatuwezi kutumia sasahivi kwenye mijengo ya serikali, au hadi mzungu.Kigonsera boys hapo walipita kina Majaliwa na Mkapa
View attachment 3052381View attachment 3052392View attachment 3052404View attachment 3052407View attachment 3052408View attachment 3052409
Hapana nilienda Karatu Sec ambayo kutafuniwa hakupoUlikimbilia kwenye mserereko wa one (kut..f...niwa)
Hapo sawa mkuuHapana nilienda Karatu Sec ambayo kutafuniwa hakupo
Hii sasa ni shule.Marian boys-Pwani
View attachment 3052252
Hapo sawaHapo vipi mkuu Hance Mtanashati ?
Chai,Kibosho Girl's Secondary School. To Know, To Love & To Act.
Gen Z hii ndiyo shule ya wasichana, ilikuwa na watoto warembo sana. View attachment 3052644View attachment 3052645View attachment 3052646
Ruka sana disko hapa na vitoto vya zoo.Iringa girls Secondary School
View attachment 3052320
Shule ina nidhamu sana hiiView attachment 3052247
Shule ambayo inatikisa miaka na miaka cha ajabu wasomi wanaotokaga hapa hatukutani nao huku majuu ST FRANCIS GIRLS
Dah Uzi mzma sijaona shule zangu , chàng'ombe ( DUCE) na Tarime boys
Mleta mada hajui Kuna Shule inaitwa Tosamaganga (Tupa Mawe). Shule iliyo na majengo imara na Bora kuzidi bahadhi ya vyuo vikuu hapa TZ.Ngoja nisubirie Tosamaganga na Songea Boys.
TumefikiwaBenjamin William mkapa Secondary school- Dar es salaam
View attachment 3046740