Pre GE2025 Gambo ajibu mapigo ya Makonda "mimi nimeenda shule"

Pre GE2025 Gambo ajibu mapigo ya Makonda "mimi nimeenda shule"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tayari ameshaliwa kichwa, kwa ugeni anao pokea RC toka ngazi za juu na kusifia utendaji kazi wake, kwa namna ambavyo Lema Amepima na kuona Hana chake labda aende arumeru, machame au moshi mjini

Nahitimisha kwa kusema Mashaka ana mashaka na wakati ujao, kwa kuwa wakati ujao haumtaki ni kama vile roho Inaacha mwili maneno yanakuwa mengi mno
Moshi mjini? unachekkesha
Hapo Kuna mtifuano wa kimya kimya Kati ya tarimo na ibraline..najua tu mtifuano utajitokeza hazarani vere soon ...aende akajaribu arumeru labda..
 
Back
Top Bottom