kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
JPM katutoka, ndiye anaejua kiwango cha elimu cha Makonda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, Mh Mrisho Mashaka Gambo (MB) kwao ni URU Kilimanjaro alikozikwa mama yake mzazi Rehema Paulo Momburi?Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amejibu mashambulizi yanayohusiana na wito ulioibuliwa na baadhi ya madiwani wa jiji la Arusha wakimuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo.
Gambo amesema kuwa yeye anatekeleza majukumu yake kama mbunge kwa ufanisi na kujivunia elimu yake, akisisitiza kuwa hakuna aliye na haki ya kumzuia kufanya kazi aliyopewa na wananchi.
Soma, Pia: Kumekucha: Madiwani Arusha waomba Paul Makonda agombee Ubunge jimbo la Arusha Mjini
"Tofauti kati ya mtu aliyeenda shule na mtu ambaye shule yake ni ya mashaka ipo wazi," alisema akisisitiza kuwa ni muhimu kwa kiongozi kuwa na elimu ya kweli ili kuhakikisha kuwa anatekeleza majukumu yake ipasavyo na kusisitiza kuwa
"Ni lazima ifike mahali uoneshe tofauti ya mtu ambaye amekwenda shule na mtu ambaye shule yake ni ya kubabaisha au ni ya mashaka. Kwa sisi ambao tuna uhakika na shule zetu, kila jambo linapotokea tunahitaji kutafakari na kufikiria na kuangalia athari ya kila kinachofanyika," aliongeza.
Katika kujibu wito wa baadhi ya madiwani ambao walimuomba Makonda achukue fomu ya kugombea ubunge, Gambo amesema kuwa hakuna mtu anayekatazwa kugombea ubunge, lakini akasisitiza kuwa mbunge anachaguliwa na wananchi na sio madiwani.
"Kama mtu ana ndoto ya kuwa mbunge, aache njia za mkato. Asubiri utaratibu na aje kwenye uchaguzi, aone kama ngoma ya kitoto inakesha," alisema kwa kujiamini.
Gambo amebainisha u pia shutuma za kwamba watu wanajaribu kutumia mamlaka zao kuingilia mchakato wa uchaguzi na kutaka kumchafua.
"Kuna watu wanaona kazi inakwenda na wananchi wanatukubali, wanataka kutumia mamlaka yao kutuchafua na kuleta ajenda zisizo na msingi.
Mbunge huyo pia amekosoa vikali hali ya baadhi ya wanasiasa kutoa machozi kwa sababu ya kushindwa kupata fedha walizokuwa wakitarajia kutumika kinyume na utaratibu.
"Kama kuna mtu analia kwa kupoteza fedha alizokuwa akitarajia, machozi hayo ni ya halali kwa sababu walijua wazi kuwa wangezitumia kwa manufaa yao binafsi," aliongeza.
Kwa kumalizia, Gambo amekumbusha kuwa yeye ni mbunge anayetekeleza majukumu yake kwa manufaa ya wananchi wa Arusha Mjini, na hakutakuwa na mtu yeyote atakayemzuia kufanya hivyo kwa kufuata utaratibu.
View attachment 3249376
Debe tupu haliachi kutika. Usomi wa vyeti ni moja ya matatizo makubwa tuliyo nayo nchini mwetu. Miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia wimbi la viongozi wa serikali wakihaha kupata vyeti vya elimu ya ngazi ya udakitari, sio kwa ajili ya kutafuta umahiri katika utendaji wao wa kazi, bali wanapotajwa majina yao yaanze na dokta. Kama moto wa nyika usambaavyo, na waliosomea ufundi mchundo wakataka majina yao yanapotajwa litangulie neno Eng. Na sasa wahasibu wanakazana majina yao yatanguliwe na neno CPA. Kijana Maxiwel Cikumbutso wa Zimbabwe ametufungua macho. Kusoma hakuna maana kama kusoma huko hakutaleta unafuu na kuboresha maisha ya jamii inayotuzungukaKwa mtazamo wangu, ukiwa msomi wala huna haja ya kujitangaza bali matendo yako yatawaonyesha watu kuwa wewe ni msomi!! Kwa majibu ya namna hii na kujigamba kwingi, hapo shule hamna! Zaidi anaendeshwa na mihemuko!!!
Imekuwa hivyo ndugu ??!Unajitoa ufahamu. Kuna watu walifukuzwa kazi kwa sababu ya vyeti feki hilo haujui ? Kutumia cheti cha mtu mwingine ni kosa, ni heri mara 10 yule mbunge wa darasa la saba D ambae anajua kusoma na kuandika kuliko mwizi wa vyeti.
Acha mahaba Mrembo, Utapakatwa kwa miguu miwili yari yako.
Kweli kabisa !Yule alimpa hadi kimada wake mmoja ukuu wa wilaya.
Hivi vyeo mimi huwa naona aidha vifutwe au viwe vinapatikana kwa ushindani wa wazi na merit.
Hata poti wangu Lukas Mwashambwa analowa kwa machozi!Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amejibu mashambulizi yanayohusiana na wito ulioibuliwa na baadhi ya madiwani wa jiji la Arusha wakimuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo.
Gambo amesema kuwa yeye anatekeleza majukumu yake kama mbunge kwa ufanisi na kujivunia elimu yake, akisisitiza kuwa hakuna aliye na haki ya kumzuia kufanya kazi aliyopewa na wananchi.
Soma, Pia: Kumekucha: Madiwani Arusha waomba Paul Makonda agombee Ubunge jimbo la Arusha Mjini
"Tofauti kati ya mtu aliyeenda shule na mtu ambaye shule yake ni ya mashaka ipo wazi," alisema akisisitiza kuwa ni muhimu kwa kiongozi kuwa na elimu ya kweli ili kuhakikisha kuwa anatekeleza majukumu yake ipasavyo na kusisitiza kuwa
"Ni lazima ifike mahali uoneshe tofauti ya mtu ambaye amekwenda shule na mtu ambaye shule yake ni ya kubabaisha au ni ya mashaka. Kwa sisi ambao tuna uhakika na shule zetu, kila jambo linapotokea tunahitaji kutafakari na kufikiria na kuangalia athari ya kila kinachofanyika," aliongeza.
Katika kujibu wito wa baadhi ya madiwani ambao walimuomba Makonda achukue fomu ya kugombea ubunge, Gambo amesema kuwa hakuna mtu anayekatazwa kugombea ubunge, lakini akasisitiza kuwa mbunge anachaguliwa na wananchi na sio madiwani.
"Kama mtu ana ndoto ya kuwa mbunge, aache njia za mkato. Asubiri utaratibu na aje kwenye uchaguzi, aone kama ngoma ya kitoto inakesha," alisema kwa kujiamini.
Gambo amebainisha u pia shutuma za kwamba watu wanajaribu kutumia mamlaka zao kuingilia mchakato wa uchaguzi na kutaka kumchafua.
"Kuna watu wanaona kazi inakwenda na wananchi wanatukubali, wanataka kutumia mamlaka yao kutuchafua na kuleta ajenda zisizo na msingi.
Mbunge huyo pia amekosoa vikali hali ya baadhi ya wanasiasa kutoa machozi kwa sababu ya kushindwa kupata fedha walizokuwa wakitarajia kutumika kinyume na utaratibu.
"Kama kuna mtu analia kwa kupoteza fedha alizokuwa akitarajia, machozi hayo ni ya halali kwa sababu walijua wazi kuwa wangezitumia kwa manufaa yao binafsi," aliongeza.
Kwa kumalizia, Gambo amekumbusha kuwa yeye ni mbunge anayetekeleza majukumu yake kwa manufaa ya wananchi wa Arusha Mjini, na hakutakuwa na mtu yeyote atakayemzuia kufanya hivyo kwa kufuata utaratibu.
View attachment 3249376
BagMbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amejibu mashambulizi yanayohusiana na wito ulioibuliwa na baadhi ya madiwani wa jiji la Arusha wakimuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo.
Gambo amesema kuwa yeye anatekeleza majukumu yake kama mbunge kwa ufanisi na kujivunia elimu yake, akisisitiza kuwa hakuna aliye na haki ya kumzuia kufanya kazi aliyopewa na wananchi.
Soma, Pia: Kumekucha: Madiwani Arusha waomba Paul Makonda agombee Ubunge jimbo la Arusha Mjini
"Tofauti kati ya mtu aliyeenda shule na mtu ambaye shule yake ni ya mashaka ipo wazi," alisema akisisitiza kuwa ni muhimu kwa kiongozi kuwa na elimu ya kweli ili kuhakikisha kuwa anatekeleza majukumu yake ipasavyo na kusisitiza kuwa
"Ni lazima ifike mahali uoneshe tofauti ya mtu ambaye amekwenda shule na mtu ambaye shule yake ni ya kubabaisha au ni ya mashaka. Kwa sisi ambao tuna uhakika na shule zetu, kila jambo linapotokea tunahitaji kutafakari na kufikiria na kuangalia athari ya kila kinachofanyika," aliongeza.
Katika kujibu wito wa baadhi ya madiwani ambao walimuomba Makonda achukue fomu ya kugombea ubunge, Gambo amesema kuwa hakuna mtu anayekatazwa kugombea ubunge, lakini akasisitiza kuwa mbunge anachaguliwa na wananchi na sio madiwani.
"Kama mtu ana ndoto ya kuwa mbunge, aache njia za mkato. Asubiri utaratibu na aje kwenye uchaguzi, aone kama ngoma ya kitoto inakesha," alisema kwa kujiamini.
Gambo amebainisha u pia shutuma za kwamba watu wanajaribu kutumia mamlaka zao kuingilia mchakato wa uchaguzi na kutaka kumchafua.
"Kuna watu wanaona kazi inakwenda na wananchi wanatukubali, wanataka kutumia mamlaka yao kutuchafua na kuleta ajenda zisizo na msingi.
Mbunge huyo pia amekosoa vikali hali ya baadhi ya wanasiasa kutoa machozi kwa sababu ya kushindwa kupata fedha walizokuwa wakitarajia kutumika kinyume na utaratibu.
"Kama kuna mtu analia kwa kupoteza fedha alizokuwa akitarajia, machozi hayo ni ya halali kwa sababu walijua wazi kuwa wangezitumia kwa manufaa yao binafsi," aliongeza.
Kwa kumalizia, Gambo amekumbusha kuwa yeye ni mbunge anayetekeleza majukumu yake kwa manufaa ya wananchi wa Arusha Mjini, na hakutakuwa na mtu yeyote atakayemzuia kufanya hivyo kwa kufuata utaratibu.
View attachment 3249376
😳😳😳..Mama Abduli na Bashite ndio hawakwenda shule, walipata zero form four.
Angejigunia uchapa kazi, uadilifu, elimu kwa maana ya kuelimika na siyo kwenda shule.Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, amejibu mashambulizi yanayohusiana na wito ulioibuliwa na baadhi ya madiwani wa jiji la Arusha wakimuomba Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo.
Gambo amesema kuwa yeye anatekeleza majukumu yake kama mbunge kwa ufanisi na kujivunia elimu yake, akisisitiza kuwa hakuna aliye na haki ya kumzuia kufanya kazi aliyopewa na wananchi.
Soma, Pia: Kumekucha: Madiwani Arusha waomba Paul Makonda agombee Ubunge jimbo la Arusha Mjini
"Tofauti kati ya mtu aliyeenda shule na mtu ambaye shule yake ni ya mashaka ipo wazi," alisema akisisitiza kuwa ni muhimu kwa kiongozi kuwa na elimu ya kweli ili kuhakikisha kuwa anatekeleza majukumu yake ipasavyo na kusisitiza kuwa
"Ni lazima ifike mahali uoneshe tofauti ya mtu ambaye amekwenda shule na mtu ambaye shule yake ni ya kubabaisha au ni ya mashaka. Kwa sisi ambao tuna uhakika na shule zetu, kila jambo linapotokea tunahitaji kutafakari na kufikiria na kuangalia athari ya kila kinachofanyika," aliongeza.
Katika kujibu wito wa baadhi ya madiwani ambao walimuomba Makonda achukue fomu ya kugombea ubunge, Gambo amesema kuwa hakuna mtu anayekatazwa kugombea ubunge, lakini akasisitiza kuwa mbunge anachaguliwa na wananchi na sio madiwani.
"Kama mtu ana ndoto ya kuwa mbunge, aache njia za mkato. Asubiri utaratibu na aje kwenye uchaguzi, aone kama ngoma ya kitoto inakesha," alisema kwa kujiamini.
Gambo amebainisha u pia shutuma za kwamba watu wanajaribu kutumia mamlaka zao kuingilia mchakato wa uchaguzi na kutaka kumchafua.
"Kuna watu wanaona kazi inakwenda na wananchi wanatukubali, wanataka kutumia mamlaka yao kutuchafua na kuleta ajenda zisizo na msingi.
Mbunge huyo pia amekosoa vikali hali ya baadhi ya wanasiasa kutoa machozi kwa sababu ya kushindwa kupata fedha walizokuwa wakitarajia kutumika kinyume na utaratibu.
"Kama kuna mtu analia kwa kupoteza fedha alizokuwa akitarajia, machozi hayo ni ya halali kwa sababu walijua wazi kuwa wangezitumia kwa manufaa yao binafsi," aliongeza.
Kwa kumalizia, Gambo amekumbusha kuwa yeye ni mbunge anayetekeleza majukumu yake kwa manufaa ya wananchi wa Arusha Mjini, na hakutakuwa na mtu yeyote atakayemzuia kufanya hivyo kwa kufuata utaratibu.
View attachment 3249376
Sawa mama watoto nimekuelewa nisamahe, nipo chini ya miguu yako lakini sikuchunguliiI
Imekuwa hivyo ndugu ??!
Unaweza ukatoa maoni yako bila kudhalilisha wengine na ukaeleweka !
Usiitafute ban humu sio Facebook au X !
Ficha ujinga wako aisee! Madiwani ndio wanachagua mbunge!?Shule siyo hoja kwenye ubunge, hata kwenye darasa la 7 anaruhusiwa kwahiyo kama madiwani hawakutani shule yako siyo hoja, itakusaidia kufanya biashara zingine
Wewe uko tayari kutibiwa na Daktari aliyefoji vyeti!? Kama elimu haina thamani usiwapeleke watoto wako shule.Kwahiyo na hao wenye CV kubwa ya elimu wametufanyia nini?
Ficha ujinga wako wapi nimeandika madiwani ndo wanachagua? Kiazi weweFicha ujinga wako aisee! Madiwani ndio wanachagua mbunge!?
Kumbe huelewi mantiki ya ulichokiandika! Maana ya "Madiwani hawakutaki" ni nini!? Wao ndio walimchagua kuwa mbunge!? Punguza kuandika andika tu kusiko na mpango kama hata unachokiandika haukijui.Ficha ujinga wako wapi nimeandika madiwani ndo wanachagua? Kiazi wewe
We ni kilaza.Kumbe huelewi mantiki ya ulichokiandika! Punguza kuandika andika tu kusiko na mpango.
Maana ya "kama madiwani hawakutaki" ni nini!? Je madiwani ndio walimchagua!? We kilaza usiandike andike tu usichokielewa, sometimes sio mbaya kubaki msomaji comments tu.We ni kilaza
Madiwani ni wawakilishi wa nani? Hao madiwani wanayo nguvu ya ushawishi kwa hao wananchi wao siasa ni ushawishi watu wakijengewa imani flan ndo upepo utakavyoenda ila kwakua processor yako ya ubongo ina tatizo huwezi kuelewa.Maana ya "kama madiwani hawakutaki" ni nini!? Je madiwani ndio walimchagua!? We kilaza usiandike andike tu usichokielewa, sometimes sio mbaya kubaki msomaji comments tu.
Gambo ni masaa ya mbele sana Kwa huyo😆😆Gambo haogopi kutekwa?
Kama madiwani ni wawakilishi wa wananchi , mbunge ni muwakilishi wa nani!? Sio kazi ya madiwani kuamua nani awe mbunge au huyu hafai kuwa mbunge, hiyo ni kazi ya wananchi. Hata Rais ana nguvu ya kulivunja Bunge pia, je wabunge wanakuwa hawafai!?Madiwani ni wawakilishi wa nani? Hao madiwani wanayo nguvu ya ushawishi kwa hao wananchi wao siasa ni ushawishi watu wakijengewa imani flan ndo upepo utakavyoenda ila kwakua processor yako ya ubongo ina tatizo huwezi kuelewa.
Ni sawa na wabunge wa Ccm waseme hadharani kuwa hawamtaki Rais aliepo na wanapendekeza mtu flan awe Rais, lazima kuna nguvu ya ushawishi ataipoteza Rais aliepo, licha ya kuwa Rais hachaguliwi na wabunge, kwahiyo punguza kuwa kiazi.