Pre GE2025 Gambo ajibu mapigo ya Makonda "mimi nimeenda shule"

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nafuu makonda sababu ana sauti ya mamlaka ila huyu tuliye nae sijui
 
Tayari ameshaliwa kichwa, kwa ugeni anao pokea RC toka ngazi za juu na kusifia utendaji kazi wake, kwa namna ambavyo Lema Amepima na kuona Hana chake labda aende arumeru, machame au moshi mjini

Nahitimisha kwa kusema Mashaka ana mashaka na wakati ujao, kwa kuwa wakati ujao haumtaki ni kama vile roho Inaacha mwili maneno yanakuwa mengi mno
 
Nje ya mada basi Leo nimepita mahali kuna jamaa nimemkuta kamfumania mkewe
Nikasikia jamaa anasema kwa Sauti

"Yani wewe mwanamke nimekuvumilia na hilo pua lako kubwa Kama pumbu za mtoto mdogo afu bado unanisaliti"🀣watu pale wote Hoi vicheko" πŸ™Œ
 
Wamepelekea na January hukoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sasa ifike mahali elimu ya Makonda,iwekwe hadharani.

Tusipofanya hili jambo mapema tutakuja kuzalisha waziri mkuu kilaz...a
 
Hatari kweli kweli...

ChoiceVariable MamaSamia2025
 
Kwa mtazamo wangu, ukiwa msomi wala huna haja ya kujitangaza bali matendo yako yatawaonyesha watu kuwa wewe ni msomi!! Kwa majibu ya namna hii na kujigamba kwingi, hapo shule hamna! Zaidi anaendeshwa na mihemuko!!!
Kama mtu hana Elimu si Mbaya kumwambia hana Elimu kwa kutumia elimu yako
 
Kumeanza kuchangamka.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Kwa hao wawili hakuna wa Lumshinda Lema bila kusaidiwa na tume pamoja na mapolisi kuiba kura
 
Hawa jamaa kwanini hawaheshimiani..
Ni nani anayepaswa anza kumsujudia mwenzake!?

Wakutanishwe. Itamwagika damu.
 
Sisi kazi yetu ni kuchochea kuni tu
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…